ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wewe ni punguaniHakuna veta wala shule anayojenga zaidi ya kidarasa kimoja kwa hisani ya misaada ya kukubali tuna Covid.
Pesa zenyewe wanapiga wanagawa mashuleni visenti vichache vinavyowatesa wakuu wa shule kutekeleza miradi.
Tokeni hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Veta kama hizi 60 Zinaendelea na ujenzi Nchi nzima
View: https://www.instagram.com/p/CygHTxCqbP5/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==