🤔ULivyotaja tu JK ndio ameharibu kabisa...yaani JK yule aliyezingirwa na genge la mafisadi.
Mungu aepushie mbali matamanio yako.
Hongera kwa upembuzi yakinifu kwa takwimu. Tatizo ni kuwa chuki imetamalaki juu ya Dk Samia hutaona watu wakikosoa takwimu linganishi ulizotoa. Utaambulia kejeli kama tulivyoanza kuona kutokana na chuki kwa kiongozi aliyeko madarakani..purely pathetic!Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
Unapozungumzia masuala ya kiuchumi, huwa mara zote tunaangalia Zaidi ‘numbers’.
Wewe ni mjinga sana na hujui unachoongea,nakupa mfano maeneo 2 tuu ,Vitu vingi Samia alivyofanya alikuwa anamalizia pale alipoishia hayati, kwahiyo hamna jipya atoke tu MADARAKANI.
Huwa najaribu sana kuangalia logic ya hicho ulichosema. Kwa taarifa yako, nimefanya utafiti mwingi sana wa kuchambua uchumi wa Tanzania.Vitu vingi Samia alivyofanya alikuwa anamalizia pale alipoishia hayati, kwahiyo hamna jipya atoke tu MADARAKANI.
Ukiona wewe sio mtu wa kusumbuka kusoma ujue hili jukwaa halikuhusu nenda MMUUchumi upi mkuu sijajisumbua kusoma reli yako
Ukisoma uzi mpaka mwisho utapata picha ni kwanini dola imeadimika. Napinga hii hoja ya kusema Rais kaficha dola.Ktk hili hata Yeye mwenyewe aweza kukubishia!!!
Pesa ni MTU, ameamua kuficha dollar!!
Twende KAZI!!!
Watu wameanza kuwapuuza wanaharakati uchwara wanaotuchonganisha na Raisi wetu mpendwa
Naam naamini hivo, sioni kwamba eti Rais Samia emtupoteza kama baadhi ya watu wanavyotuaminishi.Mama anaenda vizuri ausikilize ushauri wa Kikwete tu
Soma uzi vizuri...Twambie Dollah ziko wapi?
Rudia kusoma, usikurupuke!!!Ukisoma uzi mpaka mwisho utapata picha ni kwanini dola imeadimika. Napinga hii hoja ya kusema Rais kaficha dola.
Kama wewe ni great thinker, achana na fikra za namna hii. Usichangie tu kwa sababu una bando, angalia na maana ya unachokichangia kwenye mada.
Kulingana na takwimu, ulischosema sio kweli.. leta takwimu na uchambuzi tupambane..Uongo.kipindi cha utawala wake tumerudi nyuma kimaendeleo miaka 60
Sema yuko slow kwenye maridhiano na vyama vya Upinzani na kwenye mchakato wa kupata katiba mpyaNaam naamini hivo, sioni kwamba eti Rais Samia emtupoteza kama baadhi ya watu wanavyotuaminishi.
Uki stick kwenye data na takwimu unaona kwamba, kuna watu wanabwabwaja.