Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

Katika data ambazo huwa siziamini kabisa BOT ni hizi za mfumuko wa bei, naamini kabisa wanazimoderate vile watakavyo wao.
BOT wanatoa NBS ambao wamefanya investment kwenye miundo mbinu ya kukusanya data.

Kama unasema huamini data za mfumuko wa bei Tanzania, maana yake, hakuna data yoyote duniani ambayo inaweza ikakupa accurate picha ya inflation ya Tanzabia tofauti na data ya NBS.

Au labda utaje chanzo unachokiamini wewe
 
Katika data ambazo huwa siziamini kabisa BOT ni hizi za mfumuko wa bei, naamini kabisa wanazimoderate vile watakavyo wao.
Si wote wasikiao wanatakiwa waelewe, pia Si wote wasomao wanatakiwa kuelewa.!!!!

Mtu Fulani Alipewa waraka wa kifo chake, bila kujua aliupeleka Kwa Heshima kubwa,

Ujumbe ulipofika mahala husika, ulipokelewa, na ulipofunguliwa, KICHWA kilitengwa na kiwiliwili.
 
Uongo mwiiiingi na diagrams za rangirangi.

Hivi mpaka anatutoka yule dikteta tulikuwa uchumi level ipi vile? Sa100 ametupaisha hadi level gani mkuu?

Kikubwa afahamu kwamba sisi raia tuna akili pia
 
Ngoja nikimbie mwishoni kusoma comments [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Katika priority za usalama wa nchi yoyote makini uchumi unachukua nafasi ya juu, sambamba na ulinzi wa mipaka yake.

Kufikia adhma hizi security of energy supplies ni kitu muhimu sana hasa kwenye uchumi. Nchi aina hela za kigeni kuweza kuwapa watu waagize required demand ya mafuta halafu unasema wanafanya vizuri; Bangladesh walianza hivi hivi mpaka nchi ikasimama kwa muda hawana hela ya kuagiza bidhaa muhimu.

Source yenyewe ya data zako unatuambia umetengeneza mwenyewe si kwamba umetoa BoT au NBS; sasa hapo kutakuwa na nini cha kujadili.

Kwenye uchumi serikali ya ‘bi tozo’ ni big F
 
Katika jIna lako la kwanza ongeza neno MBWA.... malizia na hilo mushi........kwa heli ya kuandika utumbo wako hapa
 
We unajaza scale tu hapo na server.
Mikopo tumekopeshwa mpk basi
na wengine tunaweza sie kuwakopesha ila wametukopesha.
Hela sijui zinaenda wapi.
Kuna jamaa wanavimba mashavu tu huko na kung'ara vipara.
Siku ya malipo inakuja.
Tuendelee kunywa supu nyama ziko chini tukizikuta..
Zikipigwa nazo angalau supu ipo tumboni tutaishi tu.
 
Hiyo excel mkuu sema naona kama zinafifia maana nimezi snip ndo maana kama hazionekani vizuri
Ngoja nikuonyeshe moja hiyo ya cement consumption. Hizo graph ulitakiwa uzing'alishe kama hivi. Tunakuonyesha tu kwamba Bright and Genius Editors ni kiboko.




Bright and Genius Editors
Ni waandishi na wahariri wa documents mbalimbali
Tovuti: www.bgeditors.com
Barua pepe: contact@bgeditors.com
Namba ya simu/Whatsapp: +255687746471/+255612607426
 
Uongo mwiiiingi na diagrams za rangirangi.

Hivi mpaka anatutoka yule dikteta tulikuwa uchumi level ipi vile? Sa100 ametupaisha hadi level gani mkuu?

Kikubwa afahamu kwamba sisi raia tuna akili pia
2014 kikwete alituingiza uchumi wa kati yaani zaidi ya $1000 per capita, 2015 tukashuka halafu 2018 tukarudi Uchumi wa kati.

Toka 2014 mpaka Magu anafariki uchumi wetu uliongezeka kidogo sana ni almost flat,

2022$1,1924.05%
2021$1,1463.79%
2020$1,1045.07%
2019$1,0513.89%
2018$1,0123.66%
2017$9763.50%
2016$9431.48%
2015$929-8.28%
2014$1,0136.04%
Toka $1013 mpaka $1104 ni ongezeko la $91 kwa miaka 6.
 
Source zote Benki ya Dunia, IMF mpaka "Eye Test" zinaonesha Uchumi wetu unakua kwa kasi sasa hivi. Njoo Kariakoo Uone Frame zilivyopanda bei, Vilemba vya Milioni 70 vimerudi, Mzunguko mkubwa etc.
 
Sijakataa kuhusu mafuta kupanda bei

Ndio akiba ya dola inapungua, na nimegusia sababu na mwarobaini.

Unasema ajira hakuna, jiulize je unaajirika? Una vigezoo? Sawa hakuna za kutosha ila huwezi fananisha na kipindi kile cha uchumi kilema...
Kuna vijana wengi tu wenye elimu wamekosa ajira na kuamua kuwa bodaboda
Hii si sawa
Wakati uchumi ukikua kwenye makaratasi mtaani kinachotuokoa ni vikoba na mikopo nyonya damu

Wanaokopeshwa benki ni serikali na wafanyabishara wakubwa

Tangu mama aingie madarakani mafuta yamepanda toka 1800-3300
Kuna kodi na tozo mpya na zote hizi zinamwangukia mwananchi wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…