Miezi 7 since October 7 2023: Hizi ni Video za matukio ya kikatili yaliyofanywa na magaidi wa Hamas, Israel wana kila sababu kudeal nao

Mimi sijawahi kuongelea hiyo Israeli wala uteule wake, sijaandika mambo ya ukristo wala matusi.

Kwa haya majibu yako wewe ni bwanamdogo, under 16 yrs kabisa.

Umeenda madrasa, mwalimu wako asieijua dini vizuri kakulisha utumbo unakuja kuhara mitandaoni.

Mtume Mohammed (S.W.A) kwenye maisha yake kuna mahali ametukana waliomtukana??
Toa hoja sio viroja bwanamdogo.
 
Reactions: 511
Nikikuambia wewe akili zako nizakitoto unabisha, unataka nifananisha mimi na Mtume Muhammad au Yesu.

Wewe unaweza jifananisha na Yesu?

Mimi nilienda madrasa wewe bado hata mama yako hujazaliwa.
 
Dunia ya wapuuzi inawatetea wauaji hao. Wanyukwe tu, tena wafyagiliwe wote mpaka nje ya mipaka ya israel
 
b

baada ya mlichofanya 7th Oct mlitakwa wayaudi wawapongeze ? bila iron dome je zile rockets 5000 zilikuwa zinalenga wanajeshi tu ?
Mkuu ndicho nilichomuuliza niliyemjibu.je walitaka wapakwe mafuta waende harusini?
 
Hivi kwanini unahusisha ukristo na kupigana kwa Israel? Kwahiyo kwako Hamas ni waislam ndiyo walienda kurusha maroketi Ile tarehe 7?.
 
HAMAS walifanya kitu kibaya sana walivamia raia , na wanajificha kwa raia wanachopata ni stahiki yao tena nadhani wanastahili zaidi ya hapa ningekuwa BIBI netanyau nadhani kila siku usiku ningkuwa nadondosha makombora ya kuua watu elfu 10, kumi mpaka waishe wote tuanze na ardhi mpyaaaaa, au wanyimwe maji na chakula mpka wajifie wote waliohusika na wasiohusika li next time isijirudie
 
Nikikuambia wewe akili zako nizakitoto unabisha, unataka nifananisha mimi na Mtume Muhammad au Yesu.

Wewe unaweza jifananisha na Yesu?

Mimi nilienda madrasa wewe bado hata mama yako hujazaliwa.
Basi nenda tena madrasa, maana hamna kitu umejifunza huko.
 
wote hao ni magaidi.
both Hamas and Israel are terrorists. they are killing innocent people/children.
 
wakiristo wa jf mtapata sabu sana na waislam
Hivi huwa mnaomba dua kwa nani mnapotaka kuua
Kama yule mwarabu mwenzio alipokuwa anaomba dua kabla ya kumuua yule mwanamke?
Naomba nifafanulie hapo
 
Halafu eti mtu anawatetea hamas ndio mafreedom fighter na israel eti wauaji

Your browser is not able to display this video.
 
Walikosea sana kumchokoza. Saivi Myaudi yupo kama kapandwa na kichaa anapeleka moto tu.

Hivyo vikundi vinacost sana maisha ya watu wasio na hatia. Sina uhakika kama raia wanazitaka hizi vita. Lebanon inaenda kugeuka Gaza kisa hivi vikundi.
 
Mbona Urusi akifanya kwa Ukrain mnalalamika? Au kwa sababu ukrain wakiristo wapo wengi? Na Palestina waislam wapo wengi?
 
Hapo kwenye hizo video karibu Hamas wote walishakwenda na maji.
 
Mada ya k
Mada ya kipumbavu kabisa , wewe unajua unyama kiasi gani Wapalestina wanapitia kila siku chini ya serikali dhalimu ya mazayuni walowezi ?
Jielimishe ,acha uvivu wa kufuatilia mambo , wapalestina wanapitia unyama zaidi ya huo miaka 75 + hii tangia hao wavamizi maharamia waingie hapo kwenye Ardhi ya Palestina na kuanzisha taifa feki hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…