Lengo kuu ukiachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua watu ndani ya Israel wengi kadri iwezekanavyo, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha ili kuoata matokeo makubwa.
Mtanzania mwenzetu Mollel alienda Israel kwenye maafunzo ya Kilimo kwasababu Israel ni nchi inayofanya vizuri kwenye kilimo, kampuni kama Netafim inaongoza duniani kwa teknolojia ya umwagiliaji. Mollel alivamiwa akiwa hana hata wembe kisha kuuliwa kikatili, baadhi ya watanzania wenzetu walianza kuzusha Mollel ni askari kisa kavaa boxer ya kijeshi, yote hii ili kutetea magaidi waliomvamia (hisia za mrengo mkali wa kidini zilihusika).
View attachment 2983723
Magaidi waliingia barabarani na kuanza kulipua magari ya raia
View attachment 2983542
gaidi aliejificha aliishambulia familia nzima
View attachment 2983525jific
Hamas walifika nyumba mwanamke kajifungia ndani kaweka loki kwenye mlango, walrusha bomu la mkono kufyatua mlango, mwanamke huyo alipotoka alipigwa risasi kadhaa kichwani kisha kushindiliwa na kitako cha bunduki.
View attachment 2983497
Mzee huyu ashauliwa lakini wakamuongezea risasi za ziada kichwani close range
View attachment 2983501
Mashambulizi kwa taia waliokuwa wakiendesha vyombo vya moto barabarani
View attachment 2983508
View attachment 2983504
Mitaani ilikuwa ni mtafutano, kwenye video ya chini kuanzia sekunde ya 58 wanawake wamechoka kukimbia wakauliwa, haidi anapiga dua kabla hajamuua mwanamke wa pili.
View attachment 2983516
Ikumbukwe pia Hamas wanatumia raia wapalestina kama ngao, Kwa maksudi wanaweka mizinga ya kufyatulia makombora kwenye maghorofa wanayoshi watu, shule au kwenye mitaa yenye watu wengi, Israel ikijaribu kujilinda kwa kufyatua hata kombora moja tu la kuharibu mizinga, watu wengine walio kwenye majengo ama mtaani wanapoteza maisha au kuumia, Hamas wanasambaza video hizo za madhara, kwao ni mtaji wa kupata huruma, misaada, support, n.k. lakini wao ndio wanaoyatengeneza mazingira.
View attachment 2983768