Miezi 7 since October 7 2023: Hizi ni Video za matukio ya kikatili yaliyofanywa na magaidi wa Hamas, Israel wana kila sababu kudeal nao

We mimi na kuzaa wewe usinite bwana mdogo, afu nyie wakristo ndio mnaitetea Israel mkidai eti taifa teule, au uwongo.

Sa we unapindisha lugha sasa kwanza ulicho ongea ulikuwa unakusudia vingine, mnataka nyie wakristo muwe mnatukana Waislam tuwape mauwa au 😄

Mkitukana na sisi tunayajua matusi, msidhani ni nyie tu mnajua matusi.

Nenda basi Israel ukafie kwenye nchi yenu teule unabaki nini Tanzania, wakati si nchi teule 😄
Mimi sijawahi kuongelea hiyo Israeli wala uteule wake, sijaandika mambo ya ukristo wala matusi.

Kwa haya majibu yako wewe ni bwanamdogo, under 16 yrs kabisa.

Umeenda madrasa, mwalimu wako asieijua dini vizuri kakulisha utumbo unakuja kuhara mitandaoni.

Mtume Mohammed (S.W.A) kwenye maisha yake kuna mahali ametukana waliomtukana??
Toa hoja sio viroja bwanamdogo.
 
  • Thanks
Reactions: 511

Nikikuambia wewe akili zako nizakitoto unabisha, unataka nifananisha mimi na Mtume Muhammad au Yesu.

Wewe unaweza jifananisha na Yesu?

Mimi nilienda madrasa wewe bado hata mama yako hujazaliwa.
 
Dunia ya wapuuzi inawatetea wauaji hao. Wanyukwe tu, tena wafyagiliwe wote mpaka nje ya mipaka ya israel
 
b

baada ya mlichofanya 7th Oct mlitakwa wayaudi wawapongeze ? bila iron dome je zile rockets 5000 zilikuwa zinalenga wanajeshi tu ?
Mkuu ndicho nilichomuuliza niliyemjibu.je walitaka wapakwe mafuta waende harusini?
 
We mimi na kuzaa wewe usinite bwana mdogo, afu nyie wakristo ndio mnaitetea Israel mkidai eti taifa teule, au uwongo.

Sa we unapindisha lugha sasa kwanza ulicho ongea ulikuwa unakusudia vingine, mnataka nyie wakristo muwe mnatukana Waislam tuwape mauwa au 😄

Mkitukana na sisi tunayajua matusi, msidhani ni nyie tu mnajua matusi.

Nenda basi Israel ukafie kwenye nchi yenu teule unabaki nini Tanzania, wakati si nchi teule 😄
Hivi kwanini unahusisha ukristo na kupigana kwa Israel? Kwahiyo kwako Hamas ni waislam ndiyo walienda kurusha maroketi Ile tarehe 7?.
 
Hebu nionyesheni hizo video kuna raia kauliwa, ambaye c mwanajeshi haswa wanawake na watoto.

Nguruwe atabaki kuwa nguruwe Israel akiuwa watoto mnaona kitu cha kawaida, akiuwa wanawake mnaona kitu cha kawaida.

Hizo video hebu tuonyeshe wapi Hamasi kavunja hospital, shule, majumba na angeweza fanya vile, walicho fanya walienda camp za jeshi na kuteka walio wateka hawakuwauwa raia wala watoto au kurape.

Sio nyie mabwege mnashangilia rapes, mnashangilia vitoto vichanga afu mnajidai wafuasi wa Yesu.

Nyie ni wafuasi washetani. Yesu ndio kafundisha muwe watoto wakislam au wakiarabu na mrape, mvunje mashule yao, hospital zao nyie nadhani mko mbali sana na mafundisho ya Yesu ndio mana mnabudu jitu hata hamlijui eti Yesu 😄

Ndio mana mpaa mtakufa hamumjui Mungu kwa lana mlizo nazo mtabaki kuimba nyimbo Yesu ni Mungu wakati Yesu ni binadamu kama mimi na nyie.

Hizo ni lana aisay mnatembea nazo na mtabaki na ujinga uuo mpa mtakufa mkimuabudu Shetani
HAMAS walifanya kitu kibaya sana walivamia raia , na wanajificha kwa raia wanachopata ni stahiki yao tena nadhani wanastahili zaidi ya hapa ningekuwa BIBI netanyau nadhani kila siku usiku ningkuwa nadondosha makombora ya kuua watu elfu 10, kumi mpaka waishe wote tuanze na ardhi mpyaaaaa, au wanyimwe maji na chakula mpka wajifie wote waliohusika na wasiohusika li next time isijirudie
 
Nikikuambia wewe akili zako nizakitoto unabisha, unataka nifananisha mimi na Mtume Muhammad au Yesu.

Wewe unaweza jifananisha na Yesu?

Mimi nilienda madrasa wewe bado hata mama yako hujazaliwa.
Basi nenda tena madrasa, maana hamna kitu umejifunza huko.
 
wote hao ni magaidi.
both Hamas and Israel are terrorists. they are killing innocent people/children.
 
wakiristo wa jf mtapata sabu sana na waislam
Hivi huwa mnaomba dua kwa nani mnapotaka kuua
Kama yule mwarabu mwenzio alipokuwa anaomba dua kabla ya kumuua yule mwanamke?
Naomba nifafanulie hapo
 
Halafu eti mtu anawatetea hamas ndio mafreedom fighter na israel eti wauaji
Mnavyoambiwa hamas ni magaidi wasiojali maisha hata ya wapalestina muwe waelewa.

Wameweka mitambo ya kufyatulia makombora mitaani, kwenye makazi ya watu, mashuleni, hospitalini, n.k, Israel ikianza kushambuliwa ikijibu mnaaza kupiga kelele watoto wasio na hatia wameuliwa bila kujali kwamba hamas ndie chanzo.

Kwanini hamas wasifyatulie makombora yao huko sehemu za jangwani ?

Walikosea sana kumchokoza. Saivi Myaudi yupo kama kapandwa na kichaa anapeleka moto tu.

Hivyo vikundi vinacost sana maisha ya watu wasio na hatia. Sina uhakika kama raia wanazitaka hizi vita. Lebanon inaenda kugeuka Gaza kisa hivi vikundi.
 
Mbona Urusi akifanya kwa Ukrain mnalalamika? Au kwa sababu ukrain wakiristo wapo wengi? Na Palestina waislam wapo wengi?
 
Hapo kwenye hizo video karibu Hamas wote walishakwenda na maji.
 
Mada ya k
Lengo kuu ukiachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua watu ndani ya Israel wengi kadri iwezekanavyo, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha ili kuoata matokeo makubwa.

Mtanzania mwenzetu Mollel alienda Israel kwenye maafunzo ya Kilimo kwasababu Israel ni nchi inayofanya vizuri kwenye kilimo, kampuni kama Netafim inaongoza duniani kwa teknolojia ya umwagiliaji. Mollel alivamiwa akiwa hana hata wembe kisha kuuliwa kikatili, baadhi ya watanzania wenzetu walianza kuzusha Mollel ni askari kisa kavaa boxer ya kijeshi, yote hii ili kutetea magaidi waliomvamia (hisia za mrengo mkali wa kidini zilihusika).

View attachment 2983723

Magaidi waliingia barabarani na kuanza kulipua magari ya raia

View attachment 2983542

gaidi aliejificha aliishambulia familia nzima

View attachment 2983525jific

Hamas walifika nyumba mwanamke kajifungia ndani kaweka loki kwenye mlango, walrusha bomu la mkono kufyatua mlango, mwanamke huyo alipotoka alipigwa risasi kadhaa kichwani kisha kushindiliwa na kitako cha bunduki.

View attachment 2983497

Mzee huyu ashauliwa lakini wakamuongezea risasi za ziada kichwani close range

View attachment 2983501

Mashambulizi kwa taia waliokuwa wakiendesha vyombo vya moto barabarani

View attachment 2983508

View attachment 2983504

Mitaani ilikuwa ni mtafutano, kwenye video ya chini kuanzia sekunde ya 58 wanawake wamechoka kukimbia wakauliwa, haidi anapiga dua kabla hajamuua mwanamke wa pili.

View attachment 2983516

Ikumbukwe pia Hamas wanatumia raia wapalestina kama ngao, Kwa maksudi wanaweka mizinga ya kufyatulia makombora kwenye maghorofa wanayoshi watu, shule au kwenye mitaa yenye watu wengi, Israel ikijaribu kujilinda kwa kufyatua hata kombora moja tu la kuharibu mizinga, watu wengine walio kwenye majengo ama mtaani wanapoteza maisha au kuumia, Hamas wanasambaza video hizo za madhara, kwao ni mtaji wa kupata huruma, misaada, support, n.k. lakini wao ndio wanaoyatengeneza mazingira.

View attachment 2983768
Mada ya kipumbavu kabisa , wewe unajua unyama kiasi gani Wapalestina wanapitia kila siku chini ya serikali dhalimu ya mazayuni walowezi ?
Jielimishe ,acha uvivu wa kufuatilia mambo , wapalestina wanapitia unyama zaidi ya huo miaka 75 + hii tangia hao wavamizi maharamia waingie hapo kwenye Ardhi ya Palestina na kuanzisha taifa feki hilo
 
Back
Top Bottom