Wewe utakuwa huna ajira, na kama unayo then unapata hela ndogo.KWA HILI MAGUFULI HEKOO BABAAAA, IWE HIVYO, NCHI HII NI YETU YOTE HAIWEZEKANIKI MWALIMU ALIPWE LAKI NNE NA MTU WA PSPF ,BANDARINI WALIPWE MILIONI MOJA NA MAPOSHOPOSHO KIBAOO, Kwahili likifanyika nitamuunga mkono Rais Wangu Magufuli kabisaa,
Watafarijika na nini? Hivi hizi roho za korosho huwa munazipata wapi?
Kwa nini usijitahidi kufikia hapo juu mwenzako alipo ili uupate huo mshahara mkubwa and then wewe ufarijike!!!?
Yaani Unafarijika mshahara wa mwenzako kupunguzwa ili mlingane?
Acha uongo mybe hiyo Ni take home...salary inasnzia 1.2hiviMshahara wa TRA sio mkubwa kama watu wanavyofikiria. Ukiwa na degree mshahara ni 850,000/=.
Kusanya wewe tuone..Acha uongo kukusanya kodi nako kuna hitaji umasters tena
Wacha we....Nchi ni yetu sote, Kwa HILI nipo pamoja na Rais Magufuli ninampongeza sanaa.Mfanyakazi wa bandari elimu Yake ni diploma tu ,lakini analipwa mshahara mzito kuliko Mwalimu mwenye Digrii, MISHAHARA IANGALIWE UPYA KILA MMOJA TULIPWE SAWA KWA SAWA ,HEKOOO RAIS MAGUFULI
Kodi si ndo hizo mnakataa kulipa, na wakibanwa mabwana zenu walipe mnakimbilia kuwatetea eti wanaonewa.. Au unataka serikali itoe wapi pesa wakati Lissu anawatetea wanaotuibia madini?Acha upu.mba..vu wewe...mnashindwa kuwapiginia hao wanaopata kidogo wapandishwe juu mnashabikia wengine washushwe...mazuzu kama alivosema nyerere tu..
Lete hizo closed check na open check uone ninavyo maliza kaziKusanya wewe tuone..
Lissu alivyokuwa anawatetea majizi ya madini si mlikuwa mnachekelea? Sasa unataka serikali itoe wapi pesa za kupandisha mishahara wakati mko busy kuwatetea wahujumu uchumi akina Manji and the like?Kuna watu wana roho mbaya, badala mpiganie wa chini wapande juu mnafurahia kushushwa ili tu mlingane.
Mkuu kwani hao wazoefu walianzaje? Naamini wataweza tu ku catchup Hata hao wapya. Na Pia si wote watakao kubali kuacha kazi eti kwasababu mshahara umepungua Mkuu.Mfano ukawa na assest zako kisha kundi la wavamizi wakaja kuziharibu na ukapata hasara. Je kwenye kodi hiyo hasara ikiyosababishwa na uvamizi ni allowable deduction ama si allowable? Kama jibu ni yes ama no ni kwa nini?
Sijajua bado kama unabisha, unajadili au unaunga mkono. Kiufupi mchango wako sijauelewa.Mnabishania vitu vya ajabu kweli!!!
Jamaa analalama utafikiri kashapunguziwa mshahara tayari, na hata ukipunguzwa kama akiona hakuna maslahi basi aondoke hakuna namna, mbona watumishi wa serikali kuu wapo na wamevumilia sana humiliation zenu japo wengi tu wanawazidi hata qualifications.
Tulia wewe hii ni tetesi tu na hata ikiwa kweli ni poa tu, wewe unafikiri hatupendi kufanya kazi hayo mashirika au wewe kufanya kazi hayo mashirika ndio unajiona unafaa sana, pengine hata nina uwezo mkubwa wa kufanya hizo kazi kuliko hata wewe sema ndio hivyo historia ya ajira hizi ndio mwamuzi,
Kama mbwai mbwai tu
Hivi manji alikua chama gani? Oooho nilisahau Chama Cha Majizi!Lissu alivyokuwa anawatetea majizi ya madini si mlikuwa mnachekelea? Sasa unataka serikali itoe wapi pesa za kupandisha mishahara wakati mko busy kuwatetea wahujumu uchumi akina Manji and the like?
Nani aondoke kazin life lenyewe hili maisha magumu na wanamadeni lukuki unataka wafeAtakayeqapiga training ni nani wakati watu wote wenye uzoefu watakuwa wameshaondolewa?
Inaonekana unafanya kazi kwenye izo taasisi c kwa povu ilo hebu nambie ulisomea wap ivo vitu special ambavyo unahic wengine hawana had washindwe kufanya kaz izo tatizo ubinafsi ushamba na woga wa maisha vinakusumbuaTRA siyo kama mnavyofikiria. Kuna hoja za kisheria zinaweza kutolewa ukawa unaiona kodi lakini huna uwezo wa kuikusanya. Acha kabisa masuala ya kodi.