Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama una mabanda na eneo la kutosha?Kuku wa kienyeji hawakai wengi kwa pamoja.
Wakifika 100 tu, wanaanza kufa kwa mdondo. Fuga wa kisasa.
Kanuni ya kuandaa huo mchanganyiko. Hapo umeainisha tu malighafi, ambayo takribani kila mfugaji anayajuaPumba ,mashudu,chokaa,chumvi,dagaa,damu,premix ,DCP
Vifaranga natumia chakula Cha dukani
Unayahifadhi vipi binafsi huwa naweka kwenye kisadolini ila siyafunikiNamna ya kuifadhi tu ndugu na yasikae sana bila kuatamishwa
nunua trays na ukiyaweka hakikisha kuliko chongoka kuwe chiniUnayahifadhi vipi binafsi huwa naweka kwenye kisadolini ila siyafuniki
Tafuta mfugaji mwenye kuku 500 wa kienyeji uje nikupe laki moja.Hata kama una mabanda na eneo la kutosha?
Asante kwa ushaurinunua trays na ukiyaweka hakikisha kuliko chongoka kuwe chini
Jibu swali pale juu ili tuelimike. Sijakubishia ila nataka kufahamu kwanini ipo hivyoTafuta mfugaji mwenye kuku 500 wa kienyeji uje nikupe laki moja.
Ndivyo ilivyo. Sijui ni kwa nini.Jibu swali pale juu ili tuelimike. Sijakubishia ila nataka kufahamu kwanini ipo hivyo
Damu unaipika kwanza au unachanganya ikiwa mbichiPumba ,mashudu,chokaa,chumvi,dagaa,damu,premix ,DCP
Vifaranga natumia chakula Cha dukani
pia mayai yawe safi,yasiwe na mvunjiko hata kidogo,yasiwe duara kabisa,yasiwe madogo sana wala makubwa sana pia hakikisha idadi ya jogoo na mitetea iko kwa uwiano mzuri mayai ya kutamishwa yawe ya ndani ya siku 5Asante kwa ushauri
usipende kutumia damu inaleta tabia ya kuku kudonoana manyoya tumia vyanzo vingine vya protenDamu unaipika kwanza au unachanganya ikiwa mbichi
Acha kukatisha tamaa! Kama huna taarifa, usisema HAKUNA au haiwezekaniTafuta mfugaji mwenye kuku 500 wa kienyeji uje nikupe laki moja.
karibu kufanyaje sasaKheri kwenu wapendwa nimeamini kila kitu ni nia na kujituma.
Mwezi wa Saba nilinunua tetea 30 na jogoo 3 wanaotetea mwezi wa nane nikapata vifaranga 280 na mwezi huu wa tisa 220
Na bado naendelea kuatamishia
Lengo kufika mwezi wa kumi na mbili niwe na kuku 1000 wa kienyeji pure
NJIA NAZOTUMIA KUFANIKISHA MALENGO HAYA
1: mimi mwenyewe ndiyo msimamizi mkuu naamka saa11 alfajili kuosha makopo na kulisha chakula
2: nimetenga kuku 15 wanaoatamia na wengine15 wanataga tu
3:vifaranga navilea kwa joto la mkaa
4:kwenye mabanda ya vifaranga kwa siku nafanya ukaguzi Mara 4
5: eneo la kufugia ni kubwa na nimezungushia fesi
6:dawa za kuku zipo za kutosha za maji na unga..
Karibuni
OKeeeNdivyo ilivyo. Sijui ni kwa nini.
Kuku wa kienyeji hawawezi kuishi wengi sehemu moja.
Yakiwa duara yanatatizo ganipia mayai yawe safi,yasiwe na mvunjiko hata kidogo,yasiwe duara kabisa,yasiwe madogo sana wala makubwa sana pia hakikisha idadi ya jogoo na mitete iko kwa uwiano mzuri mayai ya kutamishwa yawe ya ndani ya siku 5
kuku 100 kidogo sana ndugu..kuku kufa kigezo sio idadi pekeeKuku wa kienyeji hawakai wengi kwa pamoja.
Wakifika 100 tu, wanaanza kufa kwa mdondo. Fuga wa kisasa.