Miezi mitatu nimetotolesha vifaranga 500 vya kuku wa kienyeji

Hongera sana wengine tukiweka mayai hayatotolewi yote shida nin
AU hatupaswi kuyashika
Ukitaka kushika paka jivu mikono Yako yote.

Pia hakikisha mayai hayafikishi siku zaidi ya 10.

Yaweke Kwa pamoja siku Moja usiku

Hesabu siku9-10 then ingia na tochi usiku Kwa Kila kuku aliye atamia na kufikisha siku10

Tengeneza duara kwenye mkono wa weka Yao kwenye duara hiyo Kisha mlika na tochi.

Iwapo utaona Yai linakivuli ama michirizi ya damu Hilo linafaa kutotolewa

Ukiliona halina kitu Kwa ndani yaani ni fresh tu basi Hilo Yai halifai kabisa kutororeshwa litumie Kwa matumizi mengine kama kula ama kuuza.

Swali jingine?
 
Yakiwa duara yanatatizo gani
Au yakiwa makubwa
NIlikuwa najua yai likiwa duara basi atatoka tetea
Au likiwa kubwa basi atatoka
Kifaranga mkubwa🤣
likiwa duara kama shilingi mia hilo halifai linatakiwa liwe ovoid sijui kiswahili chake ni nini

likiwa kubwa sana kuna uwezekano wa kua na viini viwili hilo halianguliki kamwe hata aje masia hamna vifaranga pacha
 
Ukitaka kushika paka jivu mikono Yako yote.

Pia hakikisha mayai hayafikishi siku zaidi ya 10.

Yaweke Kwa pamoja siku Moja usiku

Hesabu siku9-10 then ingia na tochi usiku Kwa Kila kuku aliye atamia na kufikisha siku10

Tengeneza duara kwenye mkono wa weka Yao kwenye duara hiyo Kisha mlika na tochi.

Iwapo utaona Yai linakivuli ama michirizi ya damu Hilo linafaa kutotolewa

Ukiliona halina kitu Kwa ndani yaani ni fresh tu basi Hilo Yai halifai kabisa kutororeshwa litumie Kwa matumizi mengine kama kula ama kuuza.

Swali jingine?
eLimu nzuri
ILa yai likisha laliwa kwa siku kumi linafaa kwa kula kweli??
 
Eee kinachofanya Yai liharibike upesi ni Ile mbegu jogoo Likiwa halina yaani lipo fresh huaribika Kwa muda sana hayo ndo Huwa mayai vinza yanayo Nuka yaani ukipasua Unakuta maji matupu tu.

Mimi nilikuwa nakula zamani Kwa Sasa Huwa na yagawa na nidra sana kuyapata kama majogoo yapo mengi na yapo active ni ngumu
 
likiwa duara kama shilingi mia hilo halifai linatakiwa liwe ovoid sijui kiswahili chake nini nini

likiwa kubwa sana kuna uwezekano wa kua na viini viwili hilo halianguliki kamwe hata aje masia hamna vifaranga pacha
Upo sahihi mkuu Nina kuku wangu yeye hutaga Yai lenye viini viwili nimejaribu kuwapa kuku kienyeji wayaangue lkn wapi

Nyongeza kwenye duara sana Kuna baadhi ya kuku Huwa wanataga mayai namna hiyo mfano kuku wasio kuwa na mkia au manyoa Yale marefu Kwa nyuma. Huku huitwa mbuni mayai Yao Huwa na mviringo sana.

Hapa Yai Likiwa kubwa kiasi na limechongoka basi pasina shaka litakuwa la jogoo

Na Likiwa butu ni mitetea. Hii Kwa uzoefu wangu tu siyo darasani.

Ahsantee tuendelee kupeana Elim mkuu
 
funza ni kero na niukaribishaji wa uvundo katika eneo lako kuna nafaka nyingi kama soya nk pia unaweza kutumia dagaa mashudu nk japo unapaswa kuweka dawa kama ridocox kwani ina diclazuril inayosaidia kuprivent coccidiosis
Ni dawa gani husaidia kuku wa kienyeji ambaye hajaanza kutaga inamfanya atage kwa haraka kwa haraka
 
Upo sahihi mkuu Nina kuku wangu yeye hutaga Yai lenye viini viwili nimejaribu kuwapa kuku kienyeji wayaangue lkn wapi

Nyongeza kwenye duara sana Kuna baadhi ya kuku Huwa wanataga mayai namna hiyo mfano kuku wasio kuwa na mkia au manyoa Yale marefu Kwa nyuma. Huku huitwa mbuni mayai Yao Huwa na mviringo sana.

Hapa Yai Likiwa kubwa kiasi na limechongoka basi pasina shaka litakuwa la jogoo

Na Likiwa butu ni mitetea. Hii Kwa uzoefu wangu tu siyo darasani.

Ahsantee tuendelee kupeana Elim mkuu
Hivi ukitaka kumfanya kuku asitamie yaan arudi katika hali ya kawaida aendelee kutaga unatumia njia gani
NImesha jaribu kumuogesha🤣🤣 lakini haisaidii
 
usiendelee kuweka hayo mayai hayatakaa yaangulike mkuu na wambie na wakulima wenzako hakuna vifaranga pacha chini ya hili jua
 
Hivi ukitaka kumfanya kuku asitamie yaan arudi katika hali ya kawaida aendelee kutaga unatumia njia gani
NImesha jaribu kumuogesha🤣🤣 lakini haisaidii
Usimwachie mayai. Atataga Hadi atafikia hatua anahitaji kulalia ila hakuna Yao hata Moja una muondoa sehem hiyo na unamuweka Banda jingine
 
Back
Top Bottom