Miezi mitatu nimetotolesha vifaranga 500 vya kuku wa kienyeji

Hongera sana vip idadi ya mayai unayowaekea hutotoleshwa yote au kuna ambayo yanamis...? Na je kama wanatotolesha yote huwa unatumia mbinu gani yasiharibike hata moja? karue
NJIA ya kuifadhi natumia ndoo ambayo ndani yake naweka maranda makavu nahakikisha hayagusani
 
Safi sana kamanda. Nakimbizana na malengo yangu ya kufikisha kuku 120 by december...naona mwangaza 😀
 
Unayahifadhi vipi binafsi huwa naweka kwenye kisadolini ila siyafuniki
nunua trays na ukiyaweka hakikisha kuliko chongoka kuwe chini

mayai yawe safi,yasiwe na mvunjiko hata kidogo,yasiwe duara kabisa,yasiwe madogo sana wala makubwa sana pia hakikisha idadi ya jogoo na mitete iko kwa uwiano mzuri mayai ya kutamishwa yawe ya ndani ya siku 5
 
Asante kwa ushauri
pia mayai yawe safi,yasiwe na mvunjiko hata kidogo,yasiwe duara kabisa,yasiwe madogo sana wala makubwa sana pia hakikisha idadi ya jogoo na mitetea iko kwa uwiano mzuri mayai ya kutamishwa yawe ya ndani ya siku 5
 
karibu kufanyaje sasa
 
pia mayai yawe safi,yasiwe na mvunjiko hata kidogo,yasiwe duara kabisa,yasiwe madogo sana wala makubwa sana pia hakikisha idadi ya jogoo na mitete iko kwa uwiano mzuri mayai ya kutamishwa yawe ya ndani ya siku 5
Yakiwa duara yanatatizo gani
Au yakiwa makubwa
NIlikuwa najua yai likiwa duara basi atatoka tetea
Au likiwa kubwa basi atatoka
Kifaranga mkubwa🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…