Miezi sita sasa natumia dawa za fangas ila siponi

Miezi sita sasa natumia dawa za fangas ila siponi

mwanzo wetu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
1,581
Reaction score
462
Ndugu zangu habari za Wakati, poleni na majukumu ya kujenga Nchi n.k.

Mimi na tatizo naombeni msaada hasa Kwa wale wajuzi wa mambo.

Mwaka jana nilifanya mapenzi na mdada mmoja, Baada ya kuwekeana vidudu nilianza kuwashwa sana uumeni na ktk pumbu zangu, Ile hali iliendelea Kwa mwaka mzima na mm nikawa naona kawaida maana ulikuwa muwasho usiotisha ni kajua patakuja kuacha kuwasha.

Ndugu zanguni mwaka huu muwasho ukaongezeka, na kuanza kuonesha Hali ya uwekundu ktk pumbu na uume ikabidi niende hospital wakaniambia ni Fangasi.

Nimepaka sana dawa za tube na kumeza dawa hasa fluconazo, pamoia na Drox ila bado kupona, napata nafuu TU kawaida na wekundu kupungua TU ila Siyo kupona.

Ni miezi sita sasa natumia dawa ila kupona no, naombeni ushauri wakuu.

Nawasilisha.
 
Ushauri ni endelea kutumia dawa utapona, fungus zina mambo ya ajabu sana unaweza ukatumia dawa zote za hospitalini zikakataa kama umefikia hatua hii tumia na za asili.

Limao na ndimu ndo dawa zilizoniponya mimi ila mimi fangasi zangu zilikuwa original zilizotokana na mimi hizo za kuambukizwa sijui kama itakusaidia ila wewe jaribu uone.
 
Ushauri ni endelea kutumia dawa utapona,fungus zina mambo ya ajabu sana unaweza ukatumia dawa zote za hospitalin zikakataa kama umefikia hatua hii tumia na za asili.

Limao na ndimu ndo dawa zilizoniponya mimi ila mimi fangasi zangu zilikuwa original zilizotokana na mimi hizo za kuambukizwa sijui kama itakusaidia ila wewe jaribu uone.
Limao unafanyaje mkuu
 
Maambukizi hayaishi kwa sababu bado unajiambukiza. Piga boxer pasi fua na detol. Ikiwezekana uwe unazibadilisha kila mwezi yani unazitup zile za zamani baada ya kuona nafuu

Sabuni ogea vipande vidogo, dawa hakikisha unaiweka pembeni ndio unaipaka kwa pumbu.

wale wadudu wanapenda joto. Ukijamba tu unawaongezea nguvu. Vaa nguo nyepesi upate hewa

Usitombe hata karibia miezi sita ujue maji ya K wanayapenda sana. Yan yale maji yana sukari sana wadudu wakiyapata watakukula mpaka vuzii

Wengine wataongezea ushauri ufate
 
Maambukizi hayaishi kwa sababu bado unajiambukiz. Piga boxer paai fua na detox. Ikiwezekana uwe unazibadilisha kila mwezi yani unazitup zile za zamani baada ya kuona nafuu

Sabuni ogea vipande vidogo, dawa hakikisha unaiweka pembeni ndio unaipaka kwa pumbu.

wale wadudu wanapenda joto. Ukijamba tu unawaongezea nguvu. Vaa nguo nyepesi upate hewa

Usitombe hata karibia miezi sita ujue maji ya K wanayapenda sana. Yan yale maji yana sukari sana wadudu wakiyapata watakukula mpaka vuzii

Wengine wataongezea ushauri ufate
Duh, sante sana, apo sijaelewa nipake pembeni aje mkuu
 
Nimepaka sana dawa za tube na kuneza dawa hasa fluconazo, pamoia na Drox ila bado kupona , napata nafuu TU kawaida na wekundu kupungua TU ila Siyo kupona.
Je hizo dawa tajwa ulipewa na daktari?
=
Omba ufanyiwe culture, ili kubaini hasa ni vimelea gani vinavyoleta shida, ili kupata Dawa sahihi ya kuponya kabisa.
 
Limao unafanyaje mkuu
Unapaka utomvu na maji yake sehemu yenye tatizo.

Siku sita tu inatosha na ili kuepuka kurudi kila mwezi unai-update tenga siku sita unarudia kupaka fungus unazisahau mwisho zingatia usafi hasa wa nguo za ndani maana nazo huwa zinalea tatizo
 
Back
Top Bottom