Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Wakati utakapokua unapaka utapata maumivu makali sana ya muda mfupi ,kama sio mvumilivu unaweza kupiga ukunga.
Sijui madhara yake mengine kama yapo ,ila mimi katika shuguli zangu zaidi ya miaka kumi najihusisha nayo haijawahi kuniletaa madhara yoyote.
Unaweza kuzipata maduka ya hardware,au yanayo uza rangi.
Kwa kua unahitaji kiasi kidogo sana unaweza kutafuta kiasi kidogo kwa watu au maduka yanayouza vitu kwa kupima.