Ndugu zangu habari za Wakati , polen na majukumu ya kujenga Nchi n.k.
Mimi na tatizo naombeni msaada hasa Kwa wale wajuzi wa mambo.
Mwaka jana nilifanya mapenzi na mdada mmoja ,Baada ya kuwekeana vidudu nilianza kuwashwa sana uumeni na ktk pumbu zangu ,Ile hali iliendelea Kwa mwaka mzima na mm ni Kawa naona kawaida maana ulikuwa muwasho usiotisha ni kajua patakuja kuacha kuwasha.
Ndugu zanguni mwaka huu muwasho ukaongezeka, na kuanza kuonesha Hali ya uwekundu ktk pumbu na uume ikabidi niende hospital wakaniambia ni Fangasi .
Nimepaka sana dawa za tube na kuneza dawa hasa fluconazo, pamoia na Drox ila bado kupona , napata nafuu TU kawaida na wekundu kupungua TU ila Siyo kupona.
Ni miezi sita sasa natumia dawa ila kupona no, naombeni ushauri wakuu.
Nawasilisha.