Miezi sita sasa natumia dawa za fangas ila siponi

Unapaka utomvu na maji yake sehemu yenye tatizo.

Siku sita tu inatosha na ili kuepuka kurudi kila mwezi unai-update tenga siku sita unarudia kupaka fungus unazisahau mwisho zingatia usafi hasa wa nguo za ndani maana nazo huwa zinalea tatizo
Sante mkuu, je unaweza paka limao pasipo ndimu au ni mpaka vyote kwa pamoja
 
Ndugu zangu habari za Wakati , polen na majukumu ya kujenga Nchi n.k.

Mimi na tatizo naombeni msaada hasa Kwa wale wajuzi wa mambo.
Mwaka jana nilifanya mapenzi na mdada mmoja ,Baada ya kuwekeana vidudu nilianza kuwashwa sana uumeni na ktk pumbu zangu ,Ile hali iliendelea Kwa mwaka mzima na mm ni Kawa naona kawaida maana ulikuwa muwasho usiotisha ni kajua patakuja kuacha kuwasha.

Ndugu zanguni mwaka huu muwasho ukaongezeka, na kuanza kuonesha Hali ya uwekundu ktk pumbu na uume ikabidi niende hospital wakaniambia ni Fangasi .
Nimepaka sana dawa za tube na kuneza dawa hasa fluconazo, pamoia na Drox ila bado kupona , napata nafuu TU kawaida na wekundu kupungua TU ila Siyo kupona.
Ni miezi sita sasa natumia dawa ila kupona no, naombeni ushauri wakuu.

Nawasilisha.
Kende Erossion 🤣🤣🤣 usiombe hio utapiga gitaa 24/7
 
Umetumia tube gan
 
Fangasi zinataka usafi wa Hali ya juu ukiwa mchafu haziondoki

Kama unaoga mara moja Anza kuoga mara mbili, badili boxer Kila wakati

Kama utazifua na sabuni zipige pasi hasa kama ni cotton.

Ogea maedicated soap kama family au rungu. Au detol

Usifanye ngono hadi upone na usije loweka tena
 
Santee Kwa ushauri kaka

Duh, Siku nikipona , nikipata mwanamke nitakuwa namuanzishia doz kwanza ya UTI na fangas maana naishi bila aman
Wew kijana acha ujuaji hao fangas kwa demu hawan madhara ni protector na ushaanza kumix na UTI kwenye Fungi😅,bilogically kuna STI/D na UTI, STI utakutana na gono(kaswende), kisonono, pangusa, Hiv etc
 
Hapo dawa ni ndimu au limao binafsi nilikuwa nazo najikuna mpk nakuwa mwekundu ila baada ya kupaka limao zinatoweka chap kabisa hapa n taka niipake tena nimuda kweli ila saivi natatizo jingine nyeto itaniua
 
Duh, sante sana, apo sijaelewa nipake pembeni aje mkuu
Yani usiweke dawa kwenye pumbu kama unavyoweka kwenye mswaki. Unatoa maambukiz kwenda kwenye mdomo wa chupa ya dawa. Hivyo mwambie hata mtu kama mkeo akuminyie mkononi ndio upake. .
 
Back
Top Bottom