Miezi sita sasa natumia dawa za fangas ila siponi

Unapaka utomvu na maji yake sehemu yenye tatizo.

Siku sita tu inatosha na ili kuepuka kurudi kila mwezi unai-update tenga siku sita unarudia kupaka fungus unazisahau mwisho zingatia usafi hasa wa nguo za ndani maana nazo huwa zinalea tatizo
Sante mkuu, je unaweza paka limao pasipo ndimu au ni mpaka vyote kwa pamoja
 
Kende Erossion 🀣🀣🀣 usiombe hio utapiga gitaa 24/7
 
Umetumia tube gan
 
Fangasi zinataka usafi wa Hali ya juu ukiwa mchafu haziondoki

Kama unaoga mara moja Anza kuoga mara mbili, badili boxer Kila wakati

Kama utazifua na sabuni zipige pasi hasa kama ni cotton.

Ogea maedicated soap kama family au rungu. Au detol

Usifanye ngono hadi upone na usije loweka tena
 
Santee Kwa ushauri kaka
 
Duh, Siku nikipona , nikipata mwanamke nitakuwa namuanzishia doz kwanza ya UTI na fangas maana naishi bila aman
Wew kijana acha ujuaji hao fangas kwa demu hawan madhara ni protector na ushaanza kumix na UTI kwenye FungiπŸ˜…,bilogically kuna STI/D na UTI, STI utakutana na gono(kaswende), kisonono, pangusa, Hiv etc
 
Hapo dawa ni ndimu au limao binafsi nilikuwa nazo najikuna mpk nakuwa mwekundu ila baada ya kupaka limao zinatoweka chap kabisa hapa n taka niipake tena nimuda kweli ila saivi natatizo jingine nyeto itaniua
 
Duh, sante sana, apo sijaelewa nipake pembeni aje mkuu
Yani usiweke dawa kwenye pumbu kama unavyoweka kwenye mswaki. Unatoa maambukiz kwenda kwenye mdomo wa chupa ya dawa. Hivyo mwambie hata mtu kama mkeo akuminyie mkononi ndio upake. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…