Miezi sita sasa natumia dawa za fangas ila siponi

Sindano hapo

Nenda hospital na uelezee tatizo lako kwa wataalamu wakati wa kukupangia dawa shauriana nao wakuandikie sindano na sio dawa za kupaka polee sana mkuu inatokeaga
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Duh, hiyo fungal infection ipo kwa damu. Unatibu nje. Halafu mnasemaga mmenda hospital kumbe mmenda duka la dawa. Papaa wahi hospitali za uhakika, pasije puputika huko.
Kama una mpenzi ambaye unashiriki nae mara kwa mara acha, pateni tiba kwanza. Kiwanda kisije kupotea kumbuka hii nchi ya viwanda.
 
Ww ulikua na muwasho ulivo jinga unakaa tu kuendelea kutembea Hilo gono kwa wadada wengine wajinga.
Choma hyo miboksa yako yote nunua mpya na suruali unazovaa na boksa make sure unaanika juani zinakauka vzuri kabisa. Na sawa endelea kutumia usifanye mapenzi hadi upone kabisa. Na ukipona badilisha dem mana ulonao wote wana hilo dubwasha.
 
 
Leo inabidi uiambie jamii hii ya jf ulijuaje maji ya K ya SUKARI??
Unajua hapo zamani kipimo cha sukari ilikuwa unaweka mkojo kwenye kibebeo kidogo kisha unaweka sehemu ukiona sisimizi wanalamba ule mkojo basi ujue huyu mtu ana kisukari. .

Evidence ya kwanza:
Kuna siku nilimpiga demu katerero sasa yale maji kumbe yalipenya chini ya godoro yakawa uvunguni mwa kitanda. Asubuhi nikaona msafara wa sisimizi nikastaajabu kwa sababu sina desturi ya kulia chumbani. Briefly nilifanya uchunguzo nikajua wanaenda kulamba maji ya K na wako foleni 😊 tena mistari miwili mmoja wa kwenda mwingine wa kurudi


Evidence ya pili:
Nilipataga binti wa kitanga. Yule dada alikuwa na kisimi kama zile simu za anten za phillips au Siemens ( za kitambo kidogo).....

Acha niishie hapo itaendelea πŸ˜ƒ
 


Una uhakika kwamba maji ya aina zote anazofyonza sisimizi ni lazima yawe na sukari??
 
πŸ˜ƒna hilo ndilo unalotaka niseme


Mimi sikulazimishi useme hivyo isipokuwa ninakuondoa khofu kama ulionja na ukagundua utamu wa hayo maji basi sema tu kwani hakutakuwa na lawama wala mashitaka dhidi yako kwani kionjeo cha ladha mbalimbali ni ndimi zetu alizotujalia Mungu, mbona wapo watu huko "mahali" wanapaita chumvini we unadhani walijuaje huko kwamba ni chumvini??
 
Weee ulishaonj Sheikh Mokaze 😊 tukutane kule kweny nyuzi za dini huku hakukufai
 
Nitafute nikupe dawa yangu utakuja kuleta mrejesho hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…