Miezi sita sasa natumia dawa za fangas ila siponi

sio dawa rasmi lakini kwa ushuhuda wangu watu zaidi ya kumi walio paka hivi walipona kabisa fangasi za aina zote na za kila mahali.
Wakati utakapokua unapaka utapata maumivu makali sana ya muda mfupi ,kama sio mvumilivu unaweza kupiga ukunga.
Sijui madhara yake mengine kama yapo ,ila mimi katika shuguli zangu zaidi ya miaka kumi najihusisha nayo haijawahi kuniletaa madhara yoyote.

Unaweza kuzipata maduka ya hardware,au yanayo uza rangi.
Kwa kua unahitaji kiasi kidogo sana unaweza kutafuta kiasi kidogo kwa watu au maduka yanayouza vitu kwa kupima.
 
Dsaah! Asante kwa comment yako hoi! Nimecheka asubuhi yote hii kama mtoto.
 
Pole sana ndugu, fanya hivi kila baada ya kuoga paka mafuta ya nazi baada ya kujikausha vizuri then leta ushuhuda hapa
 
Unazingatia usafi lakina na je umeacha kufanya ngono na huyo mwenzio kipindi chote hicho au bado unaibia kupiga show pia mwenzako huyo amepata matibabu?
Sikujua kama ni fangas nilihisi ni swala la kawaida duh, maana naambiwa wengine wanapona haraka ila Mimi Sasa.
 
Kabla hajapaka hii kwenye pumbu ahakikishe walau ana mtoto hata wa kusingiziwa.

N katika kuchukua tahadhari tu kutokana na hizo chemical signs hapo kwenye container
 
Duuh CHAPUTa tunasalimika sana au vipi dronedrake watu wanahomga na bado wanajitibu na ma UTI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hadi leo hutumii condoms, kila siku tunapiga kelele hamsikii, uume utakatika na utakuwa tasa, kuna ugonjwa sugu wa kaswende ukikushika, utajutia, condoms ziko kibao ww unapekua.
 
Hivi Family na Rungunni medicated Soap au zimeandikwa' medicated Soap!?
 
Kuna dawa moja inauzwa 3000 ya chupa nzito kama maziwa inaitwa BBE ukimaliza kuoga jiksushe vzur ninginza izo pumbu paka iyo dawa mpaka kwenye dudu unaweza ukaita jiran kuja kukupepea uo umoto utakao uskia lakn ndan ya wiki moja mpka mbil nakuakikishia fangas ztakua zmeisha jarbu iyo dawa n nzur sana mm mana muwasho ulkua unataman kuikunja kunja dudu na mbupu pamoja lkn nlpona
 

Attachments

  • EpLb7TLXIAAAdRo.jpg
    37 KB · Views: 17
Pole mkuu.. Tafuta dawa hii inaitwa KIBIRITI UPELE.. πŸ˜€
Zingatia usafi, wa mwili, nguo hasa boxer na mashuka.. Jioni ukimaliza hekaheka zako chukua io dawa jipake vizuri alafu jiache wazi,, πŸ˜€
Hii dawa unapata kwa wale wanaotembeza au kuuza dawa ya sumu mende sijui viroboto, ukiulizia hao utaipata..
Soma maelekezo vizuri alafu tumia, inakua ni ya unga ila inachanganywa na mafuta ya mgando.. πŸ‘Œ
Nakutakia maendeleo mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…