Mifano halisi jinsi ambavyo Simba na Yanga zimeharibu akili za Watanzania wengi.

Mifano halisi jinsi ambavyo Simba na Yanga zimeharibu akili za Watanzania wengi.

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
17,595
Reaction score
39,893
Moja kwa moja.

IMG_20250501_135901.png

IMG_20250501_141309.jpg

Hii ni mifano michache ila Kuna aina mbalimbali za uchizi kuhusiana na mambo ya Simba na Yanga .

#UziTayari
 
Wazungu wanashabikia timu kwa maana zipo kama sehemu ya maisha yao

Ila wabongo wanashanikia timu kwa maana zipo ndani ya damu zao.

Ndio maana wabongo wamebakia na ushabuki wa kishamva kwa maana wanachanganya uswahili wao na mchezo wa soka

SHAME🤡🤡
 
Hivi 2015 upinzani waliposhinda zaidi ya vita 70 Simba na Yanga hazikwepo?

Kutwa visingizio haviishi......
 
Why do you have ku-prefer wazungu, kwani we huwezi kuwa na chako cha peke yako?
 
Wabongo walipenda sana siasa ila toka wabunge na madiwani wa chadema wanunuliwe,hali ibadirika walishakata tamaa na siasa za bongo
 
Hivi 2015 upinzani waliposhinda zaidi ya vita 70 Simba na Yanga hazikwepo?

Kutwa visingizio haviishi......
Wabongo walipenda sana siasa ila toka wabunge na madiwani wa chadema wanunuliwe,hali ibadirika walishakata tamaa na siasa za bongo

Kupitia nyinyi Kuna kitu limezidi kupata nguvu.

Binafsi Mimi tokea nizaliwe sijawahi kupiga na nadhani sitowahi kwa sababu sina ushabiki wa chama wala kupenda mambo ya siasa .

Huu uzi unazungumzia hali ilivyo generally na sio nimeandila kwa sababu kwamba Wabongo hawafuatilii mambo muhimu ya Kisiasa na kuyapa nguvu na time ilivyo Simba na Yanga , Hapana.

Dhana ambayo imezidi kupata nguvu ni kwamba kukiwa na upepo Fulani unaweza kufanya jambo Fulani kwa Lengo lingine ila watu wakasoma mazingira na upepo wa kipindi hiko na wakalitafsiri tofauti na makusidio na malengo yako halisi , mfano hii mada watu watadhani Mimi Chadema mwenye makasiriko.
 
Mleta mada, adriz. Simba na Yanga zinaepusha mazungumzo mengi sana ya kijinga.

Kama hutaki watu wazungumzie Simba na Yanga, unataka wazungumzie umbea?
 
Mleta mada, adriz. Simba na Yanga zinaepusha mazungumzo mengi sana ya kijinga.

Kama hutaki watu wazungumzie Simba na Yanga, unataka wazungumzie umbea?
Too much is harmful , watu wamevuka mipaka katika hilo hapo ndipo matatizo huanzia .

Mambo yapo mengi tu kama michongo ya kibiashara , kuinua Jamii nk
 
Back
Top Bottom