Word🙏🙏Wazungu wanashabikia timu kwa maana zipo kama sehemu ya maisha yao
Ila wabongo wanashanikia timu kwa maana zipo ndani ya damu zao.
Ndio maana wabongo wamebakia na ushabuki wa kishamva kwa maana wanachanganya uswahili wao na mchezo wa soka
SHAME🤡🤡
Simba damuBusu la Kenge wewe ni Simba au Yanga ?