Unampigia mtu sim njoo kuna deal,njoo utoe quotation uchukue
Kazi....ohh sahv niko nangalia
Mpira 😄 tufanye kesho mzee
Tajiri yule (akaniambia aise sijawahi kutana na mtu mpumbv kama huyu tuachane naye)
Kesho sasa saa tano ndy fundi anapiga sim ,vp nije...nikamkatia sim ...
Kuna watu hawabembelezi
Ova