Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

Kuna sehemu nimepata mushkeli kidogo kwa uwezo wa huyu jama... Pale alipowaambia team mates wake wasinywe kahawa na wahakikishe wanalala kwa masaa 10. Hapo jamaa alifikiri nini hasa juu ya hivi vitu viwili????
 
Ofcoz kwa sasa uhalifu umehamia kwenye mitandao zaidi lakini pia yapo matukio kama haya ya Spaggiari yaliyotokea miaka ya hivi karibuni. Mfano wale jamaa walioiba 'juzi juzi' tu hapa benki kuu ya Brazil nao walitumia njia hii ya kuchimba tunnel, pia wako watu wanajiita 'Pink Panthers' hawa ni kiboko kwa kuiba kwenye vault za kuhifadhi almasi na wanafanya matukio kila Mara mpaka kesho..
 
[emoji41] wewe pia unatakiwaufanyiwe uchunguzi na ukamatwe mara moja, haiwekani storry zako ziwe na mrengo huu huu mmoja.
Inawezekana ukawa gaidi.

[emoji120] ila asante kwa kutuletea hadithi murua.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahahahaha!! Mkuu hujasoma simulizi iliyopita 'Geranimo EKIA', haikuhusu ujambazi..
 
Dah mkuu The Bold ahsante kwa uzi maridadi, story inasisimua kweli...vp hawajaitengenezea movie yake?
 
The Bold umetishaa kwa kuleta story kali.
Nashawishika pia kuamini kuna uhusika wa inner circle ktk tukio hilo, sababu je mpango wa AS kutoroka ulipangwa na nani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…