PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 410
- 1,118
Habari wana JF, nitangulize salamu zangu za Kheli ya mwaka mpya kwenu nyote.
Kama ilivyo ada kuanza mwaka na malengo mbalimbali ya kimaisha hasa katika eneo la uchumi, hivyo nikajipa assignment kidogo ya kupitia na kuangalia huu uwekezaji kupitia mifuko ya UTT kama ambavyo mada nyingi zimewekwa hapa jukwaani na members mbalimbali.
Assignment yangu ilijikita hasa kutaka kujua hii mifuko imeweza kuongezekaje kwa maana ya kiasi kutoka Jan 2024 mpaka leo Dec 30 2024.
Haya ndio niliyoyapata katika assignment hiyo
Umoja Fund:
January sell price ilikuwa 984.7629 na December 30 sell price ni 1099.6090.
Hivyo kuna ongezeko la 114.8461.
January buy price ilikuwa 974.9151 na December 30 buy price ni 1088.6129. Hivyo ongezeko ni 113.6978.
Wekeza Maisha
January sell price ilikuwa 866.8293 na December 30 sell price ni 970.5164.
Ongezeko ni 103.6871.
Halikadhalika buy price kwa January ilikuwa 849.4927 na kwa December 30 ni 951.1061. Hivyo kuna ongezeko la 101.6134.
Jikimu
Mwezi January sell price ilikuwa 167.7714 na December 30 imefika 183.7034. Ikiwa ni ongezeko la 15.932.
Kwa upande wa buy price January ilikuwa 164.1025 na December imefika 180.0293. Ikiwa ni ongezeko la 15.9268.
Watoto
Mwezi January ililkuwa na sell price ya 635.2639 na mwezi wa December sell price ni 715.2556. Ongezeko la 79.9917. Wakati huo buy price January ilikuwa 628.9112 na mwezi December imefika 708.1030 ikiwa na ongezeko la 79.1918.
Liquid
Mfuko huu wenyewe sell price na buy price zinalingana.
Mwezi January bei ya kipande ilikuwa 383.4302 na mpaka December 30 bei yake ni 433.8699. Hivyo kuna ongezeko la 50.4397.
Bond
Mfuko huu pia price zake zinalingana. Mwezi January ilikuwa 115.7412 na mwezi December imefika 119.5716. Ikiwa ni ongezeko la 3.8304.
Hivyo basi kufuatia maelezo hapo juu, naomba kupata mwongozo wa JF members na wataalamu wa aina hii ya uwekezaji kuweza kutambua kama huu uwekaji kwenye hii mifuko mbalimbali una tija. Asanteni na karibuni kwa michango yenu.