Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nataka nijue,,, hiyo 9750 imezaliwaje..?1m kwa mwaka 9750 × 12 = 117000 roughly
Leta wawili we upande 😂😂😂Anadhani hii ni network market
Kwakweli hiyo hapanaSahihi, yaani mwaka mzima upate laki? Hapana kwakweli.
Utt haina formula maalumu kwenye ongezeko la fedha kila siku ila percent huwa ni 10% - 12% annually,Mkuu nataka nijue,,, hiyo 9750 imezaliwaje..?
Yaan calculator yake ipoje
Kumbuka hii ni passive income sio active incomeKwakweli hiyo hapana
Hii ni nzuri kwa kwa wanaoweka pesa nyingi......Kumbuka hii ni passive income sio active income
Afu pia malengo yametofautiana
Nyingi ni zile ambazo mimi sina hizo ndio nyingi kwangu 😁kuna mtu alinionesha acc yake UTT ana mil 35 huyu hata hiyo faida walau anaionaPesa nyingi ndo kiasi gani?
Kweli kabisa kuna screenshot moja niliiona humu mtu amescreen shot account yake ina 500+ millionNyingi ni zile ambazo mimi sina hizo ndio nyingi kwangu 😁kuna mtu alinionesha acc yake UTT ana mil 35 huyu hata hiyo faida walau anaiona
Ila mil 1 kusubiri laki kwa mwaka, mimi kama mimi hapana
Hao ndio wanaifaidi sasa hiyo UTT ila sisi wa milion tuendelee kuizungusha tu mtaani, lako moja kwa mwaka daaaahKweli kabisa kuna screenshot moja niliiona humu mtu amescreen shot account yake ina 500+ million
UTT naichukulia kama sehemu ya kuhifadhi fedha, badala ya kuweka kwenye saving Acc za benk ambapo utakatwa Mankato kibao.Hii ni nzuri kwa kwa wanaoweka pesa nyingi......
Weka buku buku kila siku mkuu miaka 30 ijayo utakuwa umefika 100MUTT naichukulia kama sehemu ya kuhifadhi fedha, badala ya kuweka kwenye saving Acc za benk ambapo utakatwa Mankato kibao.
Mfano unataka kununua gari la 35M. Maana yake unaanza kukusanya fedha kidogo kidogo. So ukipata lak 5, unatupia huko, ukipata elf 50 hivyo hivyo mpaka ufikie malengo Yako.
Ila kama unataka kuzalisha fedha tafuta namna nyingine.
Tupeni elimu ya hii kitu.Habari wana JF, nitangulize salamu zangu za Kheli ya mwaka mpya kwenu nyote.
Kama ilivyo ada kuanza mwaka na malengo mbalimbali ya kimaisha hasa katika eneo la uchumi, hivyo nikajipa assignment kidogo ya kupitia na kuangalia huu uwekezaji kupitia mifuko ya UTT kama ambavyo mada nyingi zimewekwa hapa jukwaani na members mbalimbali.
Assignment yangu ilijikita hasa kutaka kujua hii mifuko imeweza kuongezekaje kwa maana ya kiasi kutoka Jan 2024 mpaka leo Dec 30 2024.
Haya ndio niliyoyapata katika assignment hiyo
Umoja Fund:
January sell price ilikuwa 984.7629 na December 30 sell price ni 1099.6090.
Hivyo kuna ongezeko la 114.8461.
January buy price ilikuwa 974.9151 na December 30 buy price ni 1088.6129. Hivyo ongezeko ni 113.6978.
Wekeza Maisha
January sell price ilikuwa 866.8293 na December 30 sell price ni 970.5164.
Ongezeko ni 103.6871.
Halikadhalika buy price kwa January ilikuwa 849.4927 na kwa December 30 ni 951.1061. Hivyo kuna ongezeko la 101.6134.
Jikimu
Mwezi January sell price ilikuwa 167.7714 na December 30 imefika 183.7034. Ikiwa ni ongezeko la 15.932.
Kwa upande wa buy price January ilikuwa 164.1025 na December imefika 180.0293. Ikiwa ni ongezeko la 15.9268.
Watoto
Mwezi January ililkuwa na sell price ya 635.2639 na mwezi wa December sell price ni 715.2556. Ongezeko la 79.9917. Wakati huo buy price January ilikuwa 628.9112 na mwezi December imefika 708.1030 ikiwa na ongezeko la 79.1918.
Liquid
Mfuko huu wenyewe sell price na buy price zinalingana.
Mwezi January bei ya kipande ilikuwa 383.4302 na mpaka December 30 bei yake ni 433.8699. Hivyo kuna ongezeko la 50.4397.
Bond
Mfuko huu pia price zake zinalingana. Mwezi January ilikuwa 115.7412 na mwezi December imefika 119.5716. Ikiwa ni ongezeko la 3.8304.
Hivyo basi kufuatia maelezo hapo juu, naomba kupata mwongozo wa JF members na wataalamu wa aina hii ya uwekezaji kuweza kutambua kama huu uwekaji kwenye hii mifuko mbalimbali una tija. Asanteni na karibuni kwa michango yenu.
Nadhani itakuwa ivoDhamani ya vipande imepanda
Kwa upande wangu mimi niliwekeza mtaji wa laki 5 kwenye ufugaji wa kuku lakini baada ya miezi 6 nilifanikiwa kuwachinja na kuwanywa supu wote. Ni hayo tu ndugu zanguni.🙏Habari wana JF, nitangulize salamu zangu za Kheli ya mwaka mpya kwenu nyote.
Kama ilivyo ada kuanza mwaka na malengo mbalimbali ya kimaisha hasa katika eneo la uchumi, hivyo nikajipa assignment kidogo ya kupitia na kuangalia huu uwekezaji kupitia mifuko ya UTT kama ambavyo mada nyingi zimewekwa hapa jukwaani na members mbalimbali.
Assignment yangu ilijikita hasa kutaka kujua hii mifuko imeweza kuongezekaje kwa maana ya kiasi kutoka Jan 2024 mpaka leo Dec 30 2024.
Haya ndio niliyoyapata katika assignment hiyo
Umoja Fund:
January sell price ilikuwa 984.7629 na December 30 sell price ni 1099.6090.
Hivyo kuna ongezeko la 114.8461.
January buy price ilikuwa 974.9151 na December 30 buy price ni 1088.6129. Hivyo ongezeko ni 113.6978.
Wekeza Maisha
January sell price ilikuwa 866.8293 na December 30 sell price ni 970.5164.
Ongezeko ni 103.6871.
Halikadhalika buy price kwa January ilikuwa 849.4927 na kwa December 30 ni 951.1061. Hivyo kuna ongezeko la 101.6134.
Jikimu
Mwezi January sell price ilikuwa 167.7714 na December 30 imefika 183.7034. Ikiwa ni ongezeko la 15.932.
Kwa upande wa buy price January ilikuwa 164.1025 na December imefika 180.0293. Ikiwa ni ongezeko la 15.9268.
Watoto
Mwezi January ililkuwa na sell price ya 635.2639 na mwezi wa December sell price ni 715.2556. Ongezeko la 79.9917. Wakati huo buy price January ilikuwa 628.9112 na mwezi December imefika 708.1030 ikiwa na ongezeko la 79.1918.
Liquid
Mfuko huu wenyewe sell price na buy price zinalingana.
Mwezi January bei ya kipande ilikuwa 383.4302 na mpaka December 30 bei yake ni 433.8699. Hivyo kuna ongezeko la 50.4397.
Bond
Mfuko huu pia price zake zinalingana. Mwezi January ilikuwa 115.7412 na mwezi December imefika 119.5716. Ikiwa ni ongezeko la 3.8304.
Hivyo basi kufuatia maelezo hapo juu, naomba kupata mwongozo wa JF members na wataalamu wa aina hii ya uwekezaji kuweza kutambua kama huu uwekaji kwenye hii mifuko mbalimbali una tija. Asanteni na karibuni kwa michango yenu.
Bond Fund mkuu , kiko Cha kuanzia Cha chin ni milion tanoMfuko gani huo mkuu