pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Hivi faida hua inaingia kwenye akaunti yako kila mwezi na unaiona? Unaweza kuiaccess? Mfano kama.huyo wa 1m1m kwa mwaka 9750 × 12 = 117000 roughly
9750 yake inaingia kwenye akaunti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi faida hua inaingia kwenye akaunti yako kila mwezi na unaiona? Unaweza kuiaccess? Mfano kama.huyo wa 1m1m kwa mwaka 9750 × 12 = 117000 roughly
Faida yako ya UTT inaingia kwenye account yako ya UTT kila siku, na kwavile wana app, unakua unaiona,Hivi faida hua inaingia kwenye akaunti yako kila mwezi na unaiona? Unaweza kuiaccess? Mfano kama.huyo wa 1m
9750 yake inaingia kwenye akaunti
130,000/-
Wakushawishi ili wafaidike na nini? Wa- tanzania acheni kudeka humu hakuna Baba ako wala Mama ako …kama unataka kujiunga jifunze ujipimie mwenyeweMembers fungukeni mnishawishi nijiunge please 🙏🏼 nisije juta kutojiunga hiyo UTT!
mifuko yote sio sawa mkuu ina package na % tofauti, kiwango cha kuanza na kuwithdrwa tofautiKama mifuko yote Ina faida sawa Kuna faida Gani kujiunga na mifuko tofauti tofauti?
Kila sikuHivi faida hua inaingia kwenye akaunti yako kila mwezi na unaiona? Unaweza kuiaccess? Mfano kama.huyo wa 1m
9750 yake inaingia kwenye akaunti
Kama una hela nyingi buna sababu ya kuwekeza kwenye bond ya UTT, wekeza moja kwa moja kwenye bond bot.Naona bond fund bado ina faida kiduchu. Kweli low risk low return. Wananunua Bond BOT ya miaka 7 ambayo faida yake ni 9.48% kwa mwaka. Nataka nitoe hela huku. Niangalie cha kufanya kwingine
Nina ufahamu wa kutosha kuhusiana na bond zote mbili za BOT na UTT, overlong run bond ya UTT inafaida kubwa kuliko BOT kutokana na kuwa compound interest. Nimetumia calculator zao wote na nimeona kama unataka hela ya fasta ni BOT ila kama unataka hela nyingi ni UTT. Nafuatilia magawio yangu na naona sifiki asilimia 1 kwa mwezi.Kama una hela nyingi buna sababu ya kuwekeza kwenye bond ya UTT, wekeza moja kwa moja kwenye bond bot.
Return inakua ndogo kwa sababu wao wanawekeza kwa labda 10%, wakitoa operating cost labda 2% wewe unapewa 8%.
Ila ukiwekeza wewe mwenyewe kupitia wakala bot, kama return ni 10% utapata hiyo hiyo 10% lakini pia utakua na maamuzi uwekeze bond ipi.
Sasa ushauri wangu hapo juu unategemeana na wewe mwenyewe, kama una ufahamu mzuri juu ya uwekezaji wa hati fungani, basi wekeza wewe mwenyewe maana bot inaruhusi uwekezaji wa kuanzia milioni 1. Ila kama huna ufahamu wa kutosha basi wapelekee UTT wafanye kwa ajili yako.
Dhamani ya vipande imepandaasee mm ata sielewe hawa UTT nliwekeza milion tano mwaka jana ambapo faida ilitakiwa kuwa laki 6 , Lakin naona muda haujafika na laki 6 ishatimia sjui wamejisahau bado mwez mmoja lakn bado faida inazd makadrio kwa mwaka
Dhamani ya vipande imepanda
Hapana kuna siku huwa inapanda mara sana kama kwa mwaka ulio pita kina siku ilikongezeka elf 90 kwa wenye 10M vipandeasee mm ata sielewe hawa UTT nliwekeza milion tano mwaka jana ambapo faida ilitakiwa kuwa laki 6 , Lakin naona muda haujafika na laki 6 ishatimia sjui wamejisahau bado mwez mmoja lakn bado faida inazd makadrio kwa mwaka
Kila sikuUkiaanza kuwekeza UTT katika ya mwaka let say June, je mwaka unapokuwa umeisha ile compound interest wanatumia kiasi kilichopo wakati huo wa mwezi June au watasubiri mpaka utimize miezi 12 kabisa ndo wanafanya compound interest?
Au compound interest ni kila siku pesa yako inapokuwa itaongezeka.
Mfano leo nimeweka 1 million, kesho nikapata total ya 1 million na elfu kumi, je siku inafuata hesabu itaanzia kwenye million moja pekee au 1 million na elfu kumi?
😁 ushawishiwe jambo la maendeleo yako au sio.....Members fungukeni mnishawishi nijiunge please 🙏🏼 nisije juta kutojiunga hiyo UTT!
Duh 1m kwa mwaka laki....okay sawa130,000/-
Ndogo mno huko ni kuhifadhi pesa sio kuwekeza, labda wenye mahela mengi ndo wanafaidiIna return ndogo sana
Tuambie Toka JANUARY Hadi DECEMBER umewekeza pesa kiasi gani na faida uliyopata ni kiasi gani..?
Tuanzie hapo sasa
Mfuko gani huo mkuuasee mm ata sielewe hawa UTT nliwekeza milion tano mwaka jana ambapo faida ilitakiwa kuwa laki 6 , Lakin naona muda haujafika na laki 6 ishatimia sjui wamejisahau bado mwez mmoja lakn bado faida inazd makadrio kwa mwaka
Sahihi, yaani mwaka mzima upate laki? Hapana kwakweli.Ndogo mno huko ni kuhifadhi pesa sio kuwekeza, labda wenye mahela mengi ndo wanafaidi