Mifuko ya UTT AMIS kuanzia Januari 2024 mpaka Desemba 30 2024

Pesa nyingi ndo kiasi gani?
Nyingi ni zile ambazo mimi sina hizo ndio nyingi kwangu 😁kuna mtu alinionesha acc yake UTT ana mil 35 huyu hata hiyo faida walau anaiona

Ila mil 1 kusubiri laki kwa mwaka, mimi kama mimi hapana
 
Nyingi ni zile ambazo mimi sina hizo ndio nyingi kwangu 😁kuna mtu alinionesha acc yake UTT ana mil 35 huyu hata hiyo faida walau anaiona

Ila mil 1 kusubiri laki kwa mwaka, mimi kama mimi hapana
Kweli kabisa kuna screenshot moja niliiona humu mtu amescreen shot account yake ina 500+ million
 
Kweli kabisa kuna screenshot moja niliiona humu mtu amescreen shot account yake ina 500+ million
Hao ndio wanaifaidi sasa hiyo UTT ila sisi wa milion tuendelee kuizungusha tu mtaani, lako moja kwa mwaka daaaah
 
Hii ni nzuri kwa kwa wanaoweka pesa nyingi......
UTT naichukulia kama sehemu ya kuhifadhi fedha, badala ya kuweka kwenye saving Acc za benk ambapo utakatwa Mankato kibao.

Mfano unataka kununua gari la 35M. Maana yake unaanza kukusanya fedha kidogo kidogo. So ukipata lak 5, unatupia huko, ukipata elf 50 hivyo hivyo mpaka ufikie malengo Yako.

Ila kama unataka kuzalisha fedha tafuta namna nyingine.
 
Weka buku buku kila siku mkuu miaka 30 ijayo utakuwa umefika 100M
 
Tupeni elimu ya hii kitu.
 
Kwa upande wangu mimi niliwekeza mtaji wa laki 5 kwenye ufugaji wa kuku lakini baada ya miezi 6 nilifanikiwa kuwachinja na kuwanywa supu wote. Ni hayo tu ndugu zanguni.πŸ™
 
Nikiweka 10M mwezi huu January, ongezeko lake kwa mwezi inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…