Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili tayari wanaume tumeng'amua kitambo sana, ndio maana kuna kampeni ya KATAA NDOA NI UTAPELI hii wameanzisha wanaume.namna ya kuwa na furaha bila ndoa,
Waliokomalia hii sera ya Feminism ukifuatilia kihistoria ni wanaume si wanawake. Wanawake walikabidhiwa hii shughuli waiendeleze kama wahusika ila walioisimika na kutilia mkazo ni wanaume wa miaka hiyo ya mwanzoni mwa 1990's.Tulikosea sana kuipokea hii sera ya 50/50 mbaya zaidi jukumu la kuieneza tukawaachia mafeminia vilaza wa type ya joyce kiria.
Mbona kama hii kitu imeanza, Job ndugai ameongea hapa juzi tena kwa hisia kali sana kama mtu ambaye ana majuto sana kutokana na kupuuzia hili jambo wakati wote alipokuwa bungeni kama spika.Usihofu, nature itajishape tu kubalance mambo, kila kitu kina matokeo yake.
Mfano, sasa hivi kuna idadi ya vijana wapo tu wanamaliza vyuo hawana kazi. Kazi zinashikwa na mabinti. Baada ya muda jamii inakuwa na wanaume masikini na wanawake wenye uwezo kiuchumi. Nini kinafata?
Uhaba wa wanaume wenye uwezo wa kumtunza mwanamke, uwepo wa vijana mlenda mlenda na legelege na tegemezi, ongezeko la single mothers, jamii itaanza kuona umuhimu wa uwepo wa wanaume.
Ulinzi wa mtoto wa kiume utaongezeka. Semina za malezi ya mtoto wa kiume na kelele za muandae baba ajae zinashamiri, ajira zitamtazama mwanaume n.k n.k Ni suala la muda tu.
Haya mambo hatutaki tena kuyasikia. Utaratibu ni lazima ubadilike kuanzia sasa.Ukizaliwa mwanaume we ujue Kila kitu kwako itakuwa ni tabu...
Huu wimbo ulimaliza Kila kitu.
Wanasema difficult times make strong men and weak women, good and soft times makes weak men and arrogant women.Nature find its way always, in the end mwanaume atarudi on top
Aaaah we kwenda weee. Hizo story alikwambia nani? Kama uanaume ni kuumia basi na uanamke ni kupelekeshwa mbona hamtaki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume hutakiwi kulialia, huo ndo uanaume, ukiona ulialia una ukike.
50/50 ni ideology ya kipropanganda sana na ni very impractical in reality hilo hata wazungu wenyewe wamelitambua na hivi sasa ninavyoandika hapa wanalipia madhara yake huko ulaya na Marekani imewaletea shida kubwa sana.Hivi watu huwa mnafuatilia Historia ?
Sikubalini na mambo ya 50/50 mimi ni mfuasi wa uwezo wa mtu no matter jinsia yake kama anaweza shughuli fulani basi na apewe kipaumbele......,. Vilevile kuna kazi / shughuli zipo favoured kwa mwanamke au mwanaume kuliko mwanamke....
Lakini historically mfumo dume umemuandama Mwanamke katika mambo mengi sana... hakupewa / na bado kuna Imani hazimpi haki sawa na mwanamme sababu ni mwanamke (kumbuka sisemi upendeleo bali haki sawa) Hivi unajua hata kwenye mambo ya kupiga kura ni miaka gani amepewa hii ruhusa ? Hivi unajua wanasayansi kama Mary Curie walipata shida kiasi gani sababu ni wanawake au wengine wanaume kuchukua credit zao sababu jamii isingewasikiliza sababu ya jinsia zao ?
Kama jamii tunapoanza kushindana na wanawake au wanawake kushindana na wanaume badala ya kusaidiana kupambana na mazingira ni kupotokoa kifikra (na kama ukiniuliza wote tuna mchango mkubwa sana)
Wanamuwezesha binti akifanikiwa mwanaume akiomba msaada anaitwa dhaifu, ukimuwezesha wa kiume akifanikiwa mwanamke akiomba msaada anaitwa mwanaume wa shoka.Hii kumwezesha binti, kwanini usiwawezeshe wote? Both gender wa kiume na wa kike? Why always wa kike tu?
Umesema vema sana. Hizi akili za kusema mwanaume anapendelewa huwa najiuliza nani alizianzisha tumuhoji.Halafu huwa siamini kuna aliyeko top. Naamini kuna wajibu wa mwanaume na wa mwanamke.
Mwanaume kuwa kiongozi wa familia na mhusika wa kufanya maamuzi ya mwisho hakumfanyi kuwa top, ni jukumu lake tu.
Mwanamke kumlea mwanaume na watoto hakumfanyi kuwa weak, ni jukumu lake tu. Ts all about mgawanyo wa majukumu sio masuala ya kuwa top au weak.
Ni sawa na kusema shingo haina umuhimu kama kichwa.
Hakuna mwanaume pale. Yule unaweza kuta anamtembezea dildo bila shaka. Unajua mwanamke akishakuwa mkosa adabu hakuna mwanaume mwenye Mishipa yake ataishi nae.Hivi na yule mme wake ni shoga au,..yaani yy kila kitu kinachohusu mwanamke anatete meanwhile anakandia wanaume.
Alafu nimeamini ndege wafananao huruka pamoja, mwanamke mikucha mirefu mikono yote, mwanaume nae haeleweki anasuka, dreads au bleach[emoji16]
Wanaume waUsihofu, nature itajishape tu kubalance mambo, kila kitu kina matokeo yake.
Mfano, sasa hivi kuna idadi ya vijana wapo tu wanamaliza vyuo hawana kazi. Kazi zinashikwa na mabinti. Baada ya muda jamii inakuwa na wanaume masikini na wanawake wenye uwezo kiuchumi. Nini kinafata?
Uhaba wa wanaume wenye uwezo wa kumtunza mwanamke, uwepo wa vijana mlenda mlenda na legelege na tegemezi, ongezeko la single mothers, jamii itaanza kuona umuhimu wa uwepo wa wanaume.
Ulinzi wa mtoto wa kiume utaongezeka. Semina za malezi ya mtoto wa kiume na kelele za muandae baba ajae zinashamiri, ajira zitamtazama mwanaume n.k n.k Ni suala la muda tu.
Hii naweza kusema ni content without substance.....; Moja huwezi kunikuta mimi nalinganisha wanaume na wanawake ni waste of time ila kusema kila mwanaume ni mahiri kuliko mwanamke yoyote katika sekta zote sababu ya jinsia yake nadhani ni kupotoka saying the least....50/50 ni ideology ya kipropanganda sana na ni very impractical in reality hilo hata wazungu wenyewe wamelitambua na hivi sasa ninavyoandika hapa wanalipia madhara yake huko ulaya na Marekani imewaletea shida kubwa sana.
Kimsingi kimajukumu na wajibu wanawake hawawezi ingia katika eneo la mwanaume maana sio eneo lao na kuforce hilo ni kujitengenezea maumivu yasiyo na kichwa wala miguu yasiyokuwa na faida yoyote huko mbeleni.
Mfumo dume unapewa jina baya na wanaume dhaifu na wanawake waliokuwa brainwashed na agenda na ideology za kimagharibi za kifeminist. Ila kimsingi dunia ili ikae kwenye mpangilio mfumo dume ndio kila kitu.
Tazama familia ambazo mama ndie kabakia na watoto, unaona tabia zao na mwenendo unavyokuwa? Na hata kama mama alikuwa yupo vema ila uzao wake baada yake yaani watoto na wajukuu zake utaona shida inaanza.
Haki haziwezi kuwa sawa wakati wajibu ni tofauti, kwa kifupi haki ni matokeo ya kutimiza wajibu fulani. Huwezi ukawa mlinzi na kufanya majukumu ya mlizi halafu upewe haki za wadhifa wa uraisi, vivo hivyo huwezi kuwa mwanamke na kufanya majukumu ya kike kisha utake haki sawa na mwanaume.
Haya ni matokeo ya kuongea sana na kufanya vitendo kidogo. Hapa mjini kuna wanawake wameajiriwa na wanalipwa mishahara sawa au kuzidi wanaume wao ila mwambie asimamie show ya nyumbani kila kitu yeye pekee yake kwa asilimia 100% uone kamq atatoboa mwaka.
Wanawake wanachotaka ni sifa na kuonekana watu washoka ili wasifiwe na kushangiliwa ila ground huku hawana jeuri ya kuhimili joto la majukumu ya mwanaume hata kidogo bila kulia lia na kutaka huruma. Mwanaume anapewa wadhifa wake sio kwasababu anatumia mabavu, inakuja naturally hapangi yeye. Simba hauwi swala kwasababu anamuonea bali ni namna yake ya kupata chakula na asipofanya hivyo atakufa njaa.
Umegusia swala la Kura, nakuomba ufuatilie mjadala wa sasa huko marekani wanataka kufanya nini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna majimbo wanataka kuondoa haki ya wanawake kupiga kura sababu ndio chanzo cha kupitisha viongozi wa hovyo na kupigia kura sera za kipumbavu ikiwamo mambo ya ushoga, abortion, na kuruhusu wahamiaji haramu kuingia bila vikwazo.
Hata hapa Tanzania kama haujui the most useless voters ni wanawake na wanarubunika kirahisi sana kwa vitenge 10,000 za kampeni. Sijui kama unafuatilia haya mambo huku ground hali si nzuri, na tunapoelekea wanaume tusipokaza misuri tutafikia pabaya sana.
Mwanamke ukimpa nafasi na power anaanza kuonyesha madhaifu yake. Sijui kama unamfuatilia spika wa bunge pale bungeni maamuzi yake na vitu anafanya, haya tazama rais wa inchi kila kauli anataka kuonyesha yeye ni mwanamke as if anawakilisha jinsia. Tazama akina jokate mwengelo kauli zao wakipewa vipaza wanaonyesha wote kuwa vichwani mwao wanamhofia zaidi mwanaume badala ya kusimamia majukumu ya nafasi walizopewa na kuja na mipango ya msingi ili waweze onyesha uwezo.
Naomba unitafutie viti maalumu hata m'moja tokea hizi nafasi za viti maalumu zianze ambaye amekuwa na impact nzuri kwenye kushauri serikali na hata huku mitandaoni kama amejenga hoja vizuri za kuleta mabadiliko.
Changamoto kubwa sana hii.
Kuna muda nasema kuwakandamiza was a necessary process ili kuzuia madhara ya wao kufanya wanachojiskia.Upendeleo usiwe na nafasi sehemu yoyote ile...., ila historically wenzetu / bibi zetu jamii iliwakandamiza vya kutosha...,
Good questionWanamuwezesha binti akifanikiwa mwanaume akiomba msaada anaitwa dhaifu, ukimuwezesha wa kiume akifanikiwa mwanamke akiomba msaada anaitwa mwanaume wa shoka.
Sasa huo si ni ufala. Unatumia kauli za uongo uongo kufanya utapeli?
Kama mwanamke akiwezeshwa hana msaada kwa mwanaume then kuna haja gani ya kumuwezesha sasa.
Necessary kwa faida ya nani ? Yaani kama jamii kutumia nusu rasilimali watu kama thinktank unaona ndio maendeleo, kwamba mwanamke asipewe elimu asisome yeye achumbiwe na kukaa nyumbani bila kufanya lolote (ilikuwa necessary kipindi cha hunters and gathers) division of labor mwanaume anawinda mama analea na kutunza watoto na kupika lakini kuna jamii za wanajeshi / wavamizi kama Denmark hata watawake walikuwa ni maaskari kuongezea nguvu ya kwenda kuvamia mali za watu...Kuna muda nasema kuwakandamiza was a necessary process ili kuzuia madhara ya wao kufanya wanachojiskia.
Mambo yanabadilika kuna kupingi kutokana na kazi / shughuli kazi ya mama ilikuwa ni nyumbani kupika na kulea watoto (na hii sio kazi ndogo) sasa hivi maisha ya kutafuta faranga partners wote wanawekeza nguvu panapohitajika (kutafuta faranga) na mwanamke ana choice sasa hivi ambazo zamani alikuwa hana (hata umpige vipi alikuwa hana sehemu ya kwenda) leo hii ukimtwanga kibao anaweza kuchukua mortgage au kupanga nyumba sehemu - Now huu ndio uharibifu unaoongelea ?; Wanaume wangapi wanatelekeza wake zao zamani ingebidi huyu mama aende kwa wajomba au awe ombaomba (ila leo hii anaweza kuangalia watoto wake single handed) Huu ndio uharibifu ?Unatazama maisha ya sasa? Uharibifu unaotokea na ni ndani ya kipindi kifupi sana kuanzia miaka ya 1980's kuja leo hii. Hebu imagine miaka 30 ijayo, hali itakuwaje?
Patriarchy mwenzake ni Matriarchy, Feminism mwenzake ni Masculinism. Kwasasa Masculinism yupo gym anapasha akitoka akaingia ulingoni sijui shughuli itakuwaje.Patriarchy na feminism haviwezi kukaa pamoja
Tatizo hatuwezi kuchagua kimoja tukaacha kingine, siku hizi mambo ni kibishi bishi
Mwanaume unalalamika kutegemewa kiuchumi lakini kazi za ndani hutaki kufanya, mkeo akikuzidi hela unaogopa....
Mpaka itakapofika siku ambayo tofauti ya ke na me itakua ni kubeba mimba tu, huu mjadala hautoisha
Unajua Sheria ? Au nikupe orodha ya Cases ya watu wazima kufanya ngono na minors (Hio sheria mbona ipo wazi kabisa), wala haiangalii jinsia... (So long as wewe ni Minor, au umeshinikizwa na mtu anayekuzidi / ana influence juu yako) mfano daktari na mgonjwa....Watoto wa kiume wanabakwa Tangu miaka na miaka,sijasikia jimama lililobaka limepelekwa kwa pilato.Wengine ni marafiki wa mama returned.anajidai Kuna mzigo wa mama yako twende Kwangu ukachukue,ukifika mlango unafungwa linasaula mbele yako linakuanzishia Michele ya mahaba.Kwa hofu itachukua muda kuchaji kwa kuwa hukutegemea mtu mzima kama huyo kukaa kama alivyozaliwa mbele yako.Mkimaliza linakupa pole na help,halafu na onyo, Ole wakoumuambie mama yako.Sisahau maishani mwangu hiyo kitu kubakwa na mmama