Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

Chochote afanyacho mwanaume na mwanamke nje ya Ndoa huwa kinaharamishwa hata iweje. Na kikienda haimaanishi kimefanikiwa bali haramu inakuwa kubwa zaidi na zaidi.
 
Ulaya huko wanaume wenzetu wameanza kampeni ya kufosi kipimo cha DNA kiwe mandatory wakati wa kujifungua ili taarifa za kwenye cheti cha mtoto ziwe za uhakika na sio batili kwa kubambikia baba mtoto ambaye sio wake hatimae watoto wanakuja kuwa traumatized ukubwani sababu ya kuishi uongo maisha yao yote.

Imagine mtu kakulea tokea mtoto na ndie unaamini ni baba yako mzazi na wewe umelea mtoto tokea kichanga hadi anakuwa kijana mkubwa halafu bomu linawalipukia kuwa huyo sio baba yako mzazi na huyo sio mwanao wa damu.

Huu ushetani unaweza chapa mwanamke risasi ya kichwa maana anakuwa ameharibu sehemu kubwa ya maisha na hawezi wala hakuna fidia anayoweza lipa kufuta hayo maumivu yake.

Kuepusha haya hata hapa bongo nashauri hii kitu iletwe kuwe na mandatory testing ya DNA ili watu wajue watoto wao na sio kutegemea mbinu za jadi za kutazama kucha sijui vidole vya mtoto.

Kuna wanawake ni matapeli wanatengeneza vyeti batili vya watoto kwa majina hata ya wanaume wanne tofauti. Na kila mwanaume anapewa cheti cha mtoto kuambiwa yeye ndie baba mzazi na hapo atalipishwa bili zote za matunzo ya mtoto. Hapo mwanamke huyu shaitwani atajikusanyia mapato kutoka kwa hawa wanaume mambumbumbu wanne na kuishi kwa starehe kushinda muajiriwa wa ubalozini.
 
Tulikosea sana kuipokea hii sera ya 50/50 mbaya zaidi jukumu la kuieneza tukawaachia mafeminia vilaza wa type ya joyce kiria.
Waliokomalia hii sera ya Feminism ukifuatilia kihistoria ni wanaume si wanawake. Wanawake walikabidhiwa hii shughuli waiendeleze kama wahusika ila walioisimika na kutilia mkazo ni wanaume wa miaka hiyo ya mwanzoni mwa 1990's.

Na walifanya hivi ili kuwaridhisha na kufuata masharti ya mabwana zao wa mataifa ya magharibi ambao walitoa maelekezo ambayo yaliambatanishwa na masharti kede wa kede ya soko huria na kama mojawapo ya vigezo vya kupata misaada.

Ndio maana unaona masharti yameongezeka sasa wanatakiwa kukubali na ushoga pia kama sehemu ya masharti na si unaona wameyakubali. Kimsingi wanaume wenzetu ndio chanzo cha huu wazimu wa 50/50 wanawake walishirikishwa tu na kupewa nafasi zao.

Kuna mahojiano ya TBC wakimuhoji bi getrude moggella. Ukimsikiliza unaona kabisa kwenda kwake Beijing haikuwa hiyari yake alikuwa anaogopa sana ila alihamasishwa sana na wanaume vilaza na vizabizabina wa miaka hiyo.

Unakuta mwanaume hata miaka hii anavyopigia chapuo wanawake kupewa nafasi za uongozi za juu hadi unajiuliza huyu mkewe anamtomba nini mbona ana mambo ya kike.
 
Usihofu, nature itajishape tu kubalance mambo, kila kitu kina matokeo yake.

Mfano, sasa hivi kuna idadi ya vijana wapo tu wanamaliza vyuo hawana kazi. Kazi zinashikwa na mabinti. Baada ya muda jamii inakuwa na wanaume masikini na wanawake wenye uwezo kiuchumi. Nini kinafata?

Uhaba wa wanaume wenye uwezo wa kumtunza mwanamke, uwepo wa vijana mlenda mlenda na legelege na tegemezi, ongezeko la single mothers, jamii itaanza kuona umuhimu wa uwepo wa wanaume.

Ulinzi wa mtoto wa kiume utaongezeka. Semina za malezi ya mtoto wa kiume na kelele za muandae baba ajae zinashamiri, ajira zitamtazama mwanaume n.k n.k Ni suala la muda tu.
Mbona kama hii kitu imeanza, Job ndugai ameongea hapa juzi tena kwa hisia kali sana kama mtu ambaye ana majuto sana kutokana na kupuuzia hili jambo wakati wote alipokuwa bungeni kama spika.

Kwasasa hivi nikitazama naona kabisa kuna hali ya tafrani kwenye jamii sababu hakuna tena ile spirit ya familia, wanaume wa sasa wanafika hadi miaka 30+ wakiwa hawana hata majuto wala mizuka ya kusettle na mwanamke, wengine wanazaa wanatelekeza watoto, vipato vyao vimekuwa vya mashaka so wanaishi kwa kuunga unga.

Kwa kifupi yale ambayo tuliyapuuza ndio yanaonekana tena wazi kabisa. Mwanaume miaka hii hata ukiwa na pesa za kawaida unaonekana hauna impact maana sehemu kubwa inaishia kulipia bills unashindwa hata kusave for future purpose.
 
Mwanaume hutakiwi kulialia, huo ndo uanaume, ukiona ulialia una ukike.
Aaaah we kwenda weee. Hizo story alikwambia nani? Kama uanaume ni kuumia basi na uanamke ni kupelekeshwa mbona hamtaki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama ndio hivyo basi tusiumizane pambaneni na hali zenu msitusumbue na shida zenu.
 
Hivi watu huwa mnafuatilia Historia ?

Sikubalini na mambo ya 50/50 mimi ni mfuasi wa uwezo wa mtu no matter jinsia yake kama anaweza shughuli fulani basi na apewe kipaumbele......,. Vilevile kuna kazi / shughuli zipo favoured kwa mwanamke au mwanaume kuliko mwanamke....

Lakini historically mfumo dume umemuandama Mwanamke katika mambo mengi sana... hakupewa / na bado kuna Imani hazimpi haki sawa na mwanamme sababu ni mwanamke (kumbuka sisemi upendeleo bali haki sawa) Hivi unajua hata kwenye mambo ya kupiga kura ni miaka gani amepewa hii ruhusa ? Hivi unajua wanasayansi kama Mary Curie walipata shida kiasi gani sababu ni wanawake au wengine wanaume kuchukua credit zao sababu jamii isingewasikiliza sababu ya jinsia zao ?

Kama jamii tunapoanza kushindana na wanawake au wanawake kushindana na wanaume badala ya kusaidiana kupambana na mazingira ni kupotokoa kifikra (na kama ukiniuliza wote tuna mchango mkubwa sana)
50/50 ni ideology ya kipropanganda sana na ni very impractical in reality hilo hata wazungu wenyewe wamelitambua na hivi sasa ninavyoandika hapa wanalipia madhara yake huko ulaya na Marekani imewaletea shida kubwa sana.

Kimsingi kimajukumu na wajibu wanawake hawawezi ingia katika eneo la mwanaume maana sio eneo lao na kuforce hilo ni kujitengenezea maumivu yasiyo na kichwa wala miguu yasiyokuwa na faida yoyote huko mbeleni.

Mfumo dume unapewa jina baya na wanaume dhaifu na wanawake waliokuwa brainwashed na agenda na ideology za kimagharibi za kifeminist. Ila kimsingi dunia ili ikae kwenye mpangilio mfumo dume ndio kila kitu.

Tazama familia ambazo mama ndie kabakia na watoto, unaona tabia zao na mwenendo unavyokuwa? Na hata kama mama alikuwa yupo vema ila uzao wake baada yake yaani watoto na wajukuu zake utaona shida inaanza.

Haki haziwezi kuwa sawa wakati wajibu ni tofauti, kwa kifupi haki ni matokeo ya kutimiza wajibu fulani. Huwezi ukawa mlinzi na kufanya majukumu ya mlizi halafu upewe haki za wadhifa wa uraisi, vivo hivyo huwezi kuwa mwanamke na kufanya majukumu ya kike kisha utake haki sawa na mwanaume.

Haya ni matokeo ya kuongea sana na kufanya vitendo kidogo. Hapa mjini kuna wanawake wameajiriwa na wanalipwa mishahara sawa au kuzidi wanaume wao ila mwambie asimamie show ya nyumbani kila kitu yeye pekee yake kwa asilimia 100% uone kamq atatoboa mwaka.

Wanawake wanachotaka ni sifa na kuonekana watu washoka ili wasifiwe na kushangiliwa ila ground huku hawana jeuri ya kuhimili joto la majukumu ya mwanaume hata kidogo bila kulia lia na kutaka huruma. Mwanaume anapewa wadhifa wake sio kwasababu anatumia mabavu, inakuja naturally hapangi yeye. Simba hauwi swala kwasababu anamuonea bali ni namna yake ya kupata chakula na asipofanya hivyo atakufa njaa.

Umegusia swala la Kura, nakuomba ufuatilie mjadala wa sasa huko marekani wanataka kufanya nini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna majimbo wanataka kuondoa haki ya wanawake kupiga kura sababu ndio chanzo cha kupitisha viongozi wa hovyo na kupigia kura sera za kipumbavu ikiwamo mambo ya ushoga, abortion, na kuruhusu wahamiaji haramu kuingia bila vikwazo.

Hata hapa Tanzania kama haujui the most useless voters ni wanawake na wanarubunika kirahisi sana kwa vitenge 10,000 za kampeni. Sijui kama unafuatilia haya mambo huku ground hali si nzuri, na tunapoelekea wanaume tusipokaza misuri tutafikia pabaya sana.

Mwanamke ukimpa nafasi na power anaanza kuonyesha madhaifu yake. Sijui kama unamfuatilia spika wa bunge pale bungeni maamuzi yake na vitu anafanya, haya tazama rais wa inchi kila kauli anataka kuonyesha yeye ni mwanamke as if anawakilisha jinsia. Tazama akina jokate mwengelo kauli zao wakipewa vipaza wanaonyesha wote kuwa vichwani mwao wanamhofia zaidi mwanaume badala ya kusimamia majukumu ya nafasi walizopewa na kuja na mipango ya msingi ili waweze onyesha uwezo.

Naomba unitafutie viti maalumu hata m'moja tokea hizi nafasi za viti maalumu zianze ambaye amekuwa na impact nzuri kwenye kushauri serikali na hata huku mitandaoni kama amejenga hoja vizuri za kuleta mabadiliko.

Changamoto kubwa sana hii.
 
Hii kumwezesha binti, kwanini usiwawezeshe wote? Both gender wa kiume na wa kike? Why always wa kike tu?
Wanamuwezesha binti akifanikiwa mwanaume akiomba msaada anaitwa dhaifu, ukimuwezesha wa kiume akifanikiwa mwanamke akiomba msaada anaitwa mwanaume wa shoka.

Sasa huo si ni ufala. Unatumia kauli za uongo uongo kufanya utapeli?

Kama mwanamke akiwezeshwa hana msaada kwa mwanaume then kuna haja gani ya kumuwezesha sasa.
 
Halafu huwa siamini kuna aliyeko top. Naamini kuna wajibu wa mwanaume na wa mwanamke.

Mwanaume kuwa kiongozi wa familia na mhusika wa kufanya maamuzi ya mwisho hakumfanyi kuwa top, ni jukumu lake tu.

Mwanamke kumlea mwanaume na watoto hakumfanyi kuwa weak, ni jukumu lake tu. Ts all about mgawanyo wa majukumu sio masuala ya kuwa top au weak.

Ni sawa na kusema shingo haina umuhimu kama kichwa.
Umesema vema sana. Hizi akili za kusema mwanaume anapendelewa huwa najiuliza nani alizianzisha tumuhoji.

Maaana hawa wanawake tukiwapa tena majukumu ya kiume ni fulu kulia lia kama panya kabanwa na mlango.
 
Hivi na yule mme wake ni shoga au,..yaani yy kila kitu kinachohusu mwanamke anatete meanwhile anakandia wanaume.
Alafu nimeamini ndege wafananao huruka pamoja, mwanamke mikucha mirefu mikono yote, mwanaume nae haeleweki anasuka, dreads au bleach[emoji16]
Hakuna mwanaume pale. Yule unaweza kuta anamtembezea dildo bila shaka. Unajua mwanamke akishakuwa mkosa adabu hakuna mwanaume mwenye Mishipa yake ataishi nae.
 
Usihofu, nature itajishape tu kubalance mambo, kila kitu kina matokeo yake.

Mfano, sasa hivi kuna idadi ya vijana wapo tu wanamaliza vyuo hawana kazi. Kazi zinashikwa na mabinti. Baada ya muda jamii inakuwa na wanaume masikini na wanawake wenye uwezo kiuchumi. Nini kinafata?

Uhaba wa wanaume wenye uwezo wa kumtunza mwanamke, uwepo wa vijana mlenda mlenda na legelege na tegemezi, ongezeko la single mothers, jamii itaanza kuona umuhimu wa uwepo wa wanaume.

Ulinzi wa mtoto wa kiume utaongezeka. Semina za malezi ya mtoto wa kiume na kelele za muandae baba ajae zinashamiri, ajira zitamtazama mwanaume n.k n.k Ni suala la muda tu.
Wanaume wa
 
50/50 ni ideology ya kipropanganda sana na ni very impractical in reality hilo hata wazungu wenyewe wamelitambua na hivi sasa ninavyoandika hapa wanalipia madhara yake huko ulaya na Marekani imewaletea shida kubwa sana.

Kimsingi kimajukumu na wajibu wanawake hawawezi ingia katika eneo la mwanaume maana sio eneo lao na kuforce hilo ni kujitengenezea maumivu yasiyo na kichwa wala miguu yasiyokuwa na faida yoyote huko mbeleni.

Mfumo dume unapewa jina baya na wanaume dhaifu na wanawake waliokuwa brainwashed na agenda na ideology za kimagharibi za kifeminist. Ila kimsingi dunia ili ikae kwenye mpangilio mfumo dume ndio kila kitu.

Tazama familia ambazo mama ndie kabakia na watoto, unaona tabia zao na mwenendo unavyokuwa? Na hata kama mama alikuwa yupo vema ila uzao wake baada yake yaani watoto na wajukuu zake utaona shida inaanza.

Haki haziwezi kuwa sawa wakati wajibu ni tofauti, kwa kifupi haki ni matokeo ya kutimiza wajibu fulani. Huwezi ukawa mlinzi na kufanya majukumu ya mlizi halafu upewe haki za wadhifa wa uraisi, vivo hivyo huwezi kuwa mwanamke na kufanya majukumu ya kike kisha utake haki sawa na mwanaume.

Haya ni matokeo ya kuongea sana na kufanya vitendo kidogo. Hapa mjini kuna wanawake wameajiriwa na wanalipwa mishahara sawa au kuzidi wanaume wao ila mwambie asimamie show ya nyumbani kila kitu yeye pekee yake kwa asilimia 100% uone kamq atatoboa mwaka.

Wanawake wanachotaka ni sifa na kuonekana watu washoka ili wasifiwe na kushangiliwa ila ground huku hawana jeuri ya kuhimili joto la majukumu ya mwanaume hata kidogo bila kulia lia na kutaka huruma. Mwanaume anapewa wadhifa wake sio kwasababu anatumia mabavu, inakuja naturally hapangi yeye. Simba hauwi swala kwasababu anamuonea bali ni namna yake ya kupata chakula na asipofanya hivyo atakufa njaa.

Umegusia swala la Kura, nakuomba ufuatilie mjadala wa sasa huko marekani wanataka kufanya nini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna majimbo wanataka kuondoa haki ya wanawake kupiga kura sababu ndio chanzo cha kupitisha viongozi wa hovyo na kupigia kura sera za kipumbavu ikiwamo mambo ya ushoga, abortion, na kuruhusu wahamiaji haramu kuingia bila vikwazo.

Hata hapa Tanzania kama haujui the most useless voters ni wanawake na wanarubunika kirahisi sana kwa vitenge 10,000 za kampeni. Sijui kama unafuatilia haya mambo huku ground hali si nzuri, na tunapoelekea wanaume tusipokaza misuri tutafikia pabaya sana.

Mwanamke ukimpa nafasi na power anaanza kuonyesha madhaifu yake. Sijui kama unamfuatilia spika wa bunge pale bungeni maamuzi yake na vitu anafanya, haya tazama rais wa inchi kila kauli anataka kuonyesha yeye ni mwanamke as if anawakilisha jinsia. Tazama akina jokate mwengelo kauli zao wakipewa vipaza wanaonyesha wote kuwa vichwani mwao wanamhofia zaidi mwanaume badala ya kusimamia majukumu ya nafasi walizopewa na kuja na mipango ya msingi ili waweze onyesha uwezo.

Naomba unitafutie viti maalumu hata m'moja tokea hizi nafasi za viti maalumu zianze ambaye amekuwa na impact nzuri kwenye kushauri serikali na hata huku mitandaoni kama amejenga hoja vizuri za kuleta mabadiliko.

Changamoto kubwa sana hii.
Hii naweza kusema ni content without substance.....; Moja huwezi kunikuta mimi nalinganisha wanaume na wanawake ni waste of time ila kusema kila mwanaume ni mahiri kuliko mwanamke yoyote katika sekta zote sababu ya jinsia yake nadhani ni kupotoka saying the least....

Unaongelea kwamba mwanamke hawezi kutunza familia akiwa peke yake bila mwanaume hivi kati ya mwanamke na mwanaume ni nani katika malezi ya watoto ni muhimu zaidi ?

Unaongelea wanawake kwamba ni subpar katika uongozi yaani wewe hapo ulipo au mimi sababu ni wanaume tunaweza kuwazidi kina Catherine the Great, Margret Thatcher au Mother Theresa ?

Je wewe na uanaume wake ungeweza kwenda toe to toe na mtu kama Marie Curie ? Kwamba unaona wanawake kukatazwa kupiga Kura ndio maendeleo ?!! Maendeleo ya kwenda wapi na kufanya nini ? The all notion ya kutumia muda kusema hawa wasifanye hiki au kile badala ya kusema sote tufanye hiki na kile ni kupoteza rasilimali muda....; Na kwangu mimi uongozi ni symbolic tu the really grafting inafanywa na watendaji field... na kutenga nusu ya nguvu kazi katika ya Binadamu kama Species ni wendawazimu...
 
Upendeleo usiwe na nafasi sehemu yoyote ile...., ila historically wenzetu / bibi zetu jamii iliwakandamiza vya kutosha...,
Kuna muda nasema kuwakandamiza was a necessary process ili kuzuia madhara ya wao kufanya wanachojiskia.

Unatazama maisha ya sasa? Uharibifu unaotokea na ni ndani ya kipindi kifupi sana kuanzia miaka ya 1980's kuja leo hii. Hebu imagine miaka 30 ijayo, hali itakuwaje?
 
Wanamuwezesha binti akifanikiwa mwanaume akiomba msaada anaitwa dhaifu, ukimuwezesha wa kiume akifanikiwa mwanamke akiomba msaada anaitwa mwanaume wa shoka.

Sasa huo si ni ufala. Unatumia kauli za uongo uongo kufanya utapeli?

Kama mwanamke akiwezeshwa hana msaada kwa mwanaume then kuna haja gani ya kumuwezesha sasa.
Good question
 
Watoto wa kiume wanabakwa Tangu miaka na miaka,sijasikia jimama lililobaka limepelekwa kwa pilato.Wengine ni marafiki wa mama returned.anajidai Kuna mzigo wa mama yako twende Kwangu ukachukue,ukifika mlango unafungwa linasaula mbele yako linakuanzishia Michele ya mahaba.Kwa hofu itachukua muda kuchaji kwa kuwa hukutegemea mtu mzima kama huyo kukaa kama alivyozaliwa mbele yako.Mkimaliza linakupa pole na help,halafu na onyo, Ole wakoumuambie mama yako.Sisahau maishani mwangu hiyo kitu kubakwa na mmama
 
Kuna muda nasema kuwakandamiza was a necessary process ili kuzuia madhara ya wao kufanya wanachojiskia.
Necessary kwa faida ya nani ? Yaani kama jamii kutumia nusu rasilimali watu kama thinktank unaona ndio maendeleo, kwamba mwanamke asipewe elimu asisome yeye achumbiwe na kukaa nyumbani bila kufanya lolote (ilikuwa necessary kipindi cha hunters and gathers) division of labor mwanaume anawinda mama analea na kutunza watoto na kupika lakini kuna jamii za wanajeshi / wavamizi kama Denmark hata watawake walikuwa ni maaskari kuongezea nguvu ya kwenda kuvamia mali za watu...
Unatazama maisha ya sasa? Uharibifu unaotokea na ni ndani ya kipindi kifupi sana kuanzia miaka ya 1980's kuja leo hii. Hebu imagine miaka 30 ijayo, hali itakuwaje?
Mambo yanabadilika kuna kupingi kutokana na kazi / shughuli kazi ya mama ilikuwa ni nyumbani kupika na kulea watoto (na hii sio kazi ndogo) sasa hivi maisha ya kutafuta faranga partners wote wanawekeza nguvu panapohitajika (kutafuta faranga) na mwanamke ana choice sasa hivi ambazo zamani alikuwa hana (hata umpige vipi alikuwa hana sehemu ya kwenda) leo hii ukimtwanga kibao anaweza kuchukua mortgage au kupanga nyumba sehemu - Now huu ndio uharibifu unaoongelea ?; Wanaume wangapi wanatelekeza wake zao zamani ingebidi huyu mama aende kwa wajomba au awe ombaomba (ila leo hii anaweza kuangalia watoto wake single handed) Huu ndio uharibifu ?

LAKINI tukija kwenye suala la upendeleo sababu fulani ni mwanamke (kwamba hatujapata Rais mwanamke sasa hivi ni zamu ya mwanamke badala ya kuangalia uwezo wa mtu) nadhani ni upuuzi wa hali ya juu.... Ingawa wewe sababu ni mwanaume haimaanishi una leadership skills kuliko wanawake wote...
 
Patriarchy na feminism haviwezi kukaa pamoja

Tatizo hatuwezi kuchagua kimoja tukaacha kingine, siku hizi mambo ni kibishi bishi

Mwanaume unalalamika kutegemewa kiuchumi lakini kazi za ndani hutaki kufanya, mkeo akikuzidi hela unaogopa....

Mpaka itakapofika siku ambayo tofauti ya ke na me itakua ni kubeba mimba tu, huu mjadala hautoisha
Patriarchy mwenzake ni Matriarchy, Feminism mwenzake ni Masculinism. Kwasasa Masculinism yupo gym anapasha akitoka akaingia ulingoni sijui shughuli itakuwaje.

Sera za Masculinism mojawapo ni MAGTOW kama unafuatilia, huko ulaya na Marekani imeshaanza cheche zake.

Nitakupa mfano, kule ulaya kutokana na upigiaji wa kura sera za hovyo kama kama kuruhusu immigrants hovyo hovyo, sasa hivi Europe imejaa walowezi kutoka mataifa ya afrika na uarabuni ambao wanaona culture za wazungu wa pale ulaya hazishabihiani na wao hivyo basi wanafosi tamaduni zao kupewa nafasi kikatiba na hivyo kuwaletea fujo raia wazawa.

Chanzo cha haya yote ni madhaifu ya sera ambazo majority hupitishwa na vyama ambavyo vinawapiga kura wengi wa kike na wenye mlengo wa left-wing wenye woke mentality ambao majority wanaburutwa na hoja za kifeminist na matriarchal agendas.

Sasa kinachotokea sasa, Masculinists kupitia kauli mbiu yao na mkakati MAGTOW, wamekaa kando na kuacha wanawake waprove kwamba wanaweza exist bila wanaume. Sasa wanaweza pita sehemu wakakuta mwanamke anapewa mkong'oto na vijana wa kiarabu au kukabwa na immigrants wa kiafrika anapita kama haoni akiacha wapate tamu ya maamuzi yao ya kipuuzi.

Video zipo mitandaoni especially Twitter utaziona sana wanawake wanachezea sana kichapo humo kwenye matreni, anajibishana na mwanaume wa kiarabu au wakiafrika na kumsogelea usoni kumletea kibesi anachezea bonge la kofi akijibu anakula mkong'oto wanaume wanakausha kau kama hawaoni. Nenda kasome comments za hiyo video sasa.

Kuna incidents zimetokea ambapo mwanaume wa kizungu alimtetea demu wa kizungu alikuwa anapigwa na bwana wake wa kiafrika demu akaja kufungua mashitaka kumshitaki yule msamaria kwa kumshambulia boyfriend wake. Hizo habari ni nyingi sana na ndio zimeanza kuipa chachu ajenda ya Masculinism kushika kasi na wanaume wanajiweka kando na kudeal na mambo yao bila kujiiinvolve na wanawake.

Kuna mgahawa jamaa alinunua na washkaji zake wakafukuza kazi wanawake wote na kuajiri wanaume tupu, wateja wanasema ratings za hiyo kampuni zimekwenda juu kutokana na huduma nzuri na kero za customer care zinashughulikiwa kwa wakati.

Mifano ni mingi sana nikikupa na nitashare na wewe videos hapa ujionee.
 
Watoto wa kiume wanabakwa Tangu miaka na miaka,sijasikia jimama lililobaka limepelekwa kwa pilato.Wengine ni marafiki wa mama returned.anajidai Kuna mzigo wa mama yako twende Kwangu ukachukue,ukifika mlango unafungwa linasaula mbele yako linakuanzishia Michele ya mahaba.Kwa hofu itachukua muda kuchaji kwa kuwa hukutegemea mtu mzima kama huyo kukaa kama alivyozaliwa mbele yako.Mkimaliza linakupa pole na help,halafu na onyo, Ole wakoumuambie mama yako.Sisahau maishani mwangu hiyo kitu kubakwa na mmama
Unajua Sheria ? Au nikupe orodha ya Cases ya watu wazima kufanya ngono na minors (Hio sheria mbona ipo wazi kabisa), wala haiangalii jinsia... (So long as wewe ni Minor, au umeshinikizwa na mtu anayekuzidi / ana influence juu yako) mfano daktari na mgonjwa....
 
Back
Top Bottom