sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 518
- 181
Mtu anaenda safari analipwa 250000 kwa siku lakini mtu anayekesha na kazi mahali fulani analipwa chini ya 60000. Kwa hiyo mtu anayesafiri sana ndo anafanya kazi na sijui serikali ya mama samia imechukua kigezo gani.
Kwa kweli hili halijakaa sawa maana linaendekeza nchi kuwa na wavivu wanaopenda kusafiri kikazi kuliko kukaa kutulia kufanya kazi.
Matokeo yake watu watasusia kufanya kazi na kutafuta vinafasi fulani kuweza kupata hicho kiasi kikubwa.
MAONI KWA SERIKALI ingeongeza wanaofanya kazi muda wa ziada walipwe karibu sawa na wanaoenda safarini maana matokeo yake sehemu mbalimbali ambako ni mahospitali , mashule itachangia kupoteza wataalamu either wataalamu kwenda shuleni au kuhama. Sio siri upungufu wa wataalamu sehemu mbalimbali imechangia kudhorola kwa huduma na kuwa mbovu.
Serikali ikae itafakari na kuwaza kwa upana na sio kuwaza kwa sehemu ndogo. Hili tatizo la upungufu wa watumishi sehemu mbalimbali limechangiwa na mfumo wa malipo ambao unamnyonga anayefanya sana kazi.
Naelewa serikali imeweka mfumo wa mtu anayesafiri alipwe kiasi kikubwa sababu either inawagusa wao viongozi kwa faida binafsi au kwa faida ya ndugu zao ambao wako wameajiliwa kwenye taasisi mbalimbali.