Mifumo ya Rada ya Iran ilidukuliwa kabla ndege za Israel kufika, ndio maana walijipigia walivyotaka na kugeuza bila tatizo

Mifumo ya Rada ya Iran ilidukuliwa kabla ndege za Israel kufika, ndio maana walijipigia walivyotaka na kugeuza bila tatizo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hiyo mifumo ilidukuliwa wakapoteana, ndege za Israel zikawa zinajipigia tu, sema tatizo ni kwamba walipiga kwa malengo, hakuna rubani aliyepiga sehemu hakupangiwa, ila ingekua lile agizo la kijeshi inaloitwa "fire at will",

Tehran ingewaka moto, maana hilo agizo humaanisha kwamba mwanajeshi piga popote unahisi panapaswa kupigwa kwa maamuzi yako mwenyewe. Au kwa lugha ya Marines, wao husema "light 'em up"

Soma Pia: Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa
=============================

Due to this possible breach, Iran's ability to intercept targets was limited and allowed the Israeli air force to penetrate Iranian airspace.​

Shortly before Israel launched its retaliatory attack on Iran on Saturday, radar systems in the Iranian defense systems were breached, and the radar screens froze, KAN reported on Monday, citing Iranian sources.

Due to this possible breach, Iran's ability to intercept targets was limited and allowed the Israeli air force to penetrate Iranian airspace, Iranian sources were cited by the Israeli state broadcaster as saying.

Prior to launching the attack on Iran on Saturday, Israel conducted a preliminary strike on radar targets in Syria aimed at "blinding" Iran's capabilities.
 
Hiyo mifumo ilidukuliwa wakapoteana, ndege za Israel zikawa zinajipigia tu, sema tatizo ni kwamba walipiga kwa malengo, hakuna rubani aliyepiga sehemu hakupangiwa, ila ingekua lile agizo la kijeshi inaloitwa "fire at will", tehran ingewaka moto, maana hilo agizo humaanisha kwamba mwanajeshi piga popote unahisi panapaswa kupigwa kwa maamuzi yako mwenyewe.......
Au kwa lugha ya Marines, wao husema "light 'em up"
=============================

Due to this possible breach, Iran's ability to intercept targets was limited and allowed the Israeli air force to penetrate Iranian airspace.​

Shortly before Israel launched its retaliatory attack on Iran on Saturday, radar systems in the Iranian defense systems were breached, and the radar screens froze, KAN reported on Monday, citing Iranian sources.

Due to this possible breach, Iran's ability to intercept targets was limited and allowed the Israeli air force to penetrate Iranian airspace, Iranian sources were cited by the Israeli state broadcaster as saying.

Prior to launching the attack on Iran on Saturday, Israel conducted a preliminary strike on radar targets in Syria aimed at "blinding" Iran's capabilities.
Tupe picha mzayuni wa jf
 
Ndege za Mzayuni hazikuingia kwenye anga la Iran. Ziliishambulia Iran zikiwa ndani ya anga la Iraq, kilometer 75 kufikia mpaka wa Iran.

Ikumbukwe anga la Iraq liko chini ya mmarekani kwa sasa
 
Bila ushahidi wa moto kuwaka Tehran unajisumbua bure kutoa maelezo. Sote tuliona October 1 Tel Aviv ikiungua "LiVE" . Israel imefeli kujibu mapigo kwa Iran . Operation true promise 3 is underway safari hii Tujiandae sijui tutashuhudia nini maana ayatollah naambiwa amekasirika sana kitendo cha Israel kujibu mashambulizi ya October 1 ingawa hayajafanikiwa.
 
Lugha iliyoanza kutumika tangu shambulio la Jumamosi ni KULEMAZWA. Mifumo ililemazwa then jamaa wakawa wanajipigia watakavyo!
Na udukuaji ulianza tangu siku ile walivo hack internet ya Iran, jamaa wakajua kila kitu. IRAN yuko uchi kiulinzi saa izi, sidhan kama hata kitufe cha nyuklia yao kinafanya kazi tena.
 
Nakupa video kabisa mlivyopokea kipigo, huyu Iran ndiye alikua tegemeo lenu, sasa hamna lingine, mtawezaje kufanikisha lile agizo mliloachiwa kwenye maandiko la kufuta Wayahudi

View attachment 3137463
Hii ni video ya Israel ikipigwa na Iran kila siku unapost kudanganya watu

Video Halisi ambayo makombora ya Israel yote yakiwa intercepted ni hii hapa

View: https://m.youtube.com/watch?v=5X0ZluZ7L74

Makombora yote yalilipuliwa Angani, na madhara waliyopata Iran ni yale mabaki ya makombora kudondoka Ardhini.

Kifupi wa Iran wengi walikua hawajui walishambuliwa, wanaamka asubuhi na wao kama sisi wa naona Vyombo vya habari walishambuliwa.
 
Lugha iliyoanza kutumika tangu shambulio la Jumamosi ni KULEMAZWA. Mifumo ililemazwa then jamaa wakawa wanajipigia watakavyo!
Wamepiga wapi? Hakuna kapicha ama video? Hili shambulio limevunja rekodi ya dunia, tunahadisiwa tu kwa maneno, kweli jiji zima lipigwe kukosekane hata picha ama ka video? Ni full maandishi tu?
 
Tupe picha mzayuni wa jf
Mnamwita ni mzayuni wa jf na kumdai picha kana kwamba yy ndo alikuwa mtazamaji wa kilichokuwa kinaendelea. Hamtaki na wala hamjishughulishi kupata Taarifa kutoka kwenye vyombo vingine vya habari - mnategemea watu wengine wazitafute huko halafu wakuleteeni hapa. Huo ni uvivu.
 
Back
Top Bottom