Migogoro inayoendelea duniani inathibitisha kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye aminiwa kuwepo

Migogoro inayoendelea duniani inathibitisha kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye aminiwa kuwepo

Nimeshajua sasa mkuu Huna akili ...!

Mungu ni nini kwanza tuanzie hapo ukijibu nikupe hela.

Tafsiri ya Mungu ni pana kuliko uelewa wako.
Mao ze Dong alikuwa anaji refer kama Mungu na wachina walimtambua kama Mungu
Kumbuka China yake Mao ilikuwa inafuata scientific socialism ya Karl marx unasemaje hapo??

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 1
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 2
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa 3
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4

Mungu ashuke kutoka wapi na amepamba kote, yupo ulipo na usipo.

Aukichwani mwako una picha kuwa Mungu ni yule mzungu uliyedanganywa kuwa ni mungu wako?
Sasa alikuwa wapi wakati msiti unatekwa? 😂😂 wamba waliteka msikiti ule mecca pale kwa siku 14 na hakuna fyoko fyoko wala nini. Nyie watu wajinga sana. Na quran ile watu wanaichoma kama kawaida na hawapatwi na chochote na hakuna kitu mungu wenu atafanya.
 
siufahamu 'msiti" wala msitu uliotekwa.
 
Umekurupuka na kudandia treni akili yako ni bado sawa kuelewa haya ninayokuambia.

Huwezi kuweka hoja pasipo na hoja maji hayawezi kupanda mlima
Wewe ni mjinga na mpumbavu. Hilo limeshaonekana. Sifuri kichwani.
 
siufahamu 'msiti" wala msitu uliotekwa.
Acha kujitoa ufahamu wewe punguani. Ule msikiti wenu wa al haram pale mecca , ulitekwa kwa siku 14. Na hakuna kitu mungu wenu alifanya. Sasa toeni majibu alikuwa wapi maana mnajitiaga viherehere sana kuwa mnamfamu
 
Kwanini bangi hihalalishwi Tanzania mpaka leo?
😂😂😂lazima mkwepe. Fyoko fyoko sijui sehemu takatifu inalindwa. Kuna story mwenzenu alipost humu, eti kuna mfalme wa Yemen zaman huko alienda kuuvamia ule msikiti, wakazi wa mecca wakakiambia ila ndege wakabeba mawe na kuwashambulia😂😂😂you people are so dumb! Clowns🤡
 
Hivi mtu akija Hapa halafu eti useme umeandika cha maana
Ataishia kukuzaba makofi kiko wapi?

Karl marx unamjua? Unadhani lengo lake hasa la kutoa mambo ya kuamini Mungu na dini lengo lilikuwa ni nin?

Uliza uambiwe sio kuparamia hoja za watu
Wewe jamaa mattercall sana. So wewe Karl Marx unamjua? Kuna watu wana shobo *****🙌🏾
 
😂😂😂lazima mkwepe. Fyoko fyoko sijui sehemu takatifu inalindwa. Kuna story mwenzenu alipost humu, eti kuna mfalme wa Yemen zaman huko alienda kuuvamia ule msikiti, wakazi wa mecca wakakiambia ila ndege wakabeba mawe na kuwashambulia😂😂😂you people are so dumb! Clowns🤡
Msikiti ndiyo Mungu?

Hivi una akili sawasawa au ni bangi za kuvutia chooni?

Kwanini bangi haihalalishwi Tanzania?
 
H
Tofauti kivipi?
Mtoa mada amesema Mungu na mimi nimesema the same Mungu hiyo mungu yako imetoka wapi wewe mlevi?

Bado hujajibu swali hapa kuhusu Mao
Hahahahahahah
Ndo maana nasema huna akili. Kama unahisi mao zedong alijiita ‘mungu’ akiwa anarefer Mungu then wewe ni mpumbavu wa kwanza duniani. Concept ya Mungu inaexist in Abrahimic religions. The rest wana miungu. So futa huo upuuzi wa kusema mao alijiita Mungu. Chinese don’t have that concept of one powerful ‘God’
 
Wewe ni mjinga na mpumbavu. Hilo limeshaonekana. Sifuri kichwani.
Naona sasa mmehamia kwenye matusi
Pole Pole unarudi kwenye mstari na mwenzio hapo

Tukana tu mdomo ni wako kijana huna cha kujibu sasa
😀😀😀😀
 
Msikiti ndiyo Mungu?

Hivi una akili sawasawa au ni bangi za kuvutia chooni?

Kwanini bangi haihalalishwi Tanzania?
Wewe ni lijinga sana. Si mnasemaga nyie mtu akichana quran atakuwa chizi, sijui akifanya nini nini pale mecca kwenye kaaba atapatwa na so and so. Sasa sisi tunakwambia wamba waliteka ule msikiti na hakuna kitu mungu wenu alifanya. ***** zako
 
Mkuu kwanini uwepo wa migogoro unaihusisha na kutokuwepo kwa Mungu badala ya wanadamu kukiuka matakwa ya Mungu??

Maana yote yanayotokea yalishasemwa na Mungu kupitia Biblia juu ya nyakati za mwisho.

Kama anavyojieleza Mungu wetu ni Mungu wa upendo na hawezi fanya jambo lolote bila kuwaambia watu wake, huu ni upendo wa ajabu. vile vile hawezi ingilia maamuzi yetu, uchaguzi unabakia kwangu na kwako juu ya kumchagua yeye au shetani
 
H

Ndo maana nasema huna akili. Kama unahisi mao zedong alijiita ‘mungu’ akiwa anarefer Mungu then wewe ni mpumbavu wa kwanza duniani. Concept ya Mungu inaexist in Abrahimic religions. The rest wana miungu. So futa huo upuuzi wa kusema mao alijiita Mungu. Chinese don’t have that concept of one powerful ‘God’
😃😃😃😃😃
Taratiiibu unakuja kule kule
Turudi pale pale
Mungu ni nini? Na nani?

Kwanza unatudanganya
Abrahamic followers wanaamini Mungu mmoja.
Kuna deism wanaamini uwepo wa miungu mingi
Kuna atheism hawaamini uwepo wa Mungu

Kuna monotheism unajua?
Tuanzje hapo kwanza kisha twende .

Jibu kwanza Mungu ni nini na Mungu nini?
😄😄😄
 
Huyo sio mamako acha kujipendekeza na kutafuta hisani. Huyo ni mattercall kama wewe
Unajificha nyuma ya keyboard hapa unatukana ukute mama yako mzazi jf ina wenyewe mtoto wa juzi wewe.
😀😀
 
Back
Top Bottom