BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
✌️
Sasa anzeni kusema mtoe uchungu
Ikibidi kama ni kulia lia piga yoweeee
Jifunzeni ku move on bana ebooooo
Baadhi yeenuuu mna roho za kuku mtu akihisi mke au bby wake ana m cheat pureshaaa inapanda na kushuka
Huku yeye ni msaliti mtiifu
🤝🤝🤝Naunga mkono
Hatujasema tuwe sawa ila nature inaonesha tofauti yetu ni ndogo sana
Lugha Gani unaelewa vizuri nikutafsirie😆😆😆Eeeh , nashindwa kuaelewa (mchina voice)😀😀😀
Hawa ndio kina marioo
Shida tukikimbia mnasema hatuna subira
Hivi wewe 😅😅🙌🏼Sasa ila jamani kwanini umeolewa na hutaki kutoa mbunye? mambo mengine bhana nayo yanafikirisha sana!
BICHWA KOMWE - mbunye bana ina uombaji wake na utoaji wakeHutaki kutoa mbunye, umenuna, umevimba mashavu lakini firigisi za baba wa watu huziachi.
Kwenye firigisi wewe ndo bingwa, unabugia kweli kweli unachanganya na vipapatio vilivyonona.
Lakini kutoa mbunye unagoma, unaenda kumpa bodaboda.
Kwa kweli unaweza ukabamizwa sana. Bora kama hutaki kutoa mbunye kwa mumeo uondoke mapema na sio kufakamia firigisi zake bure bure bila kushenyentwa.
Mnaumia Nini lakini jamani😂😂😂Hata sisi inauma hivyo hivyo mkuu hakuna nafuu
Ni hatari katika society ya jamii.😆😆 noma
Mbona kwenye firigisi unameza bila kuulizwa? Hata mikono hunawi ni mwendo wa kumeza fasta fasta 😪😪😪😭😭😭😭😭Hivi wewe 😅😅🙌🏼
BICHWA KOMWE - mbunye bana ina uombaji wake na utoaji wake
We unamwambia tanua nikulenge utatoa hata kama ni wewe 😅😅🙌🏼
Taratibu masingo dah😢😢Mbona kwenye firigisi unameza bila kuulizwa? Hata mikono hunawi ni mwendo wa kumeza fasta fasta 😪😪😪😭😭😭😭😭
Kuna ka ukweli hapaKwenye kutoa mbunye ndo masharti kibaooo kumbe humpendi tu.
Haswaaaa 👌👌👌Mi najua mwanamke akikupenda anakupa mbunye uisasambue unavyotaka hata juu ya dari unashenyenta.
Hapa kuna sababu nyingi sio upendo tuAsipokupendaa utapewa masharti haswaa, mara nimechoka, mara nina mshono, mara nini!
SahihiKama mbaba wa watu humpendi bora uage mapema sana na sio kumfanyia vitimbi namna hiyo.
Aah aah hakuna kuchomana visuYaani mpaka uchomwe bisu la shingo kuna namna amevumilia sanaaa mpaka kachoka ati.
Mwanaume nae si binadamu pigeni nduru bana kuliko mtuueEti! mwanaume unapiga nduru/yowee kisa umeachwa au umegongewa😂😂😂. Hii ni ngumu sana kwetu mkuu
Basi sawa mkiacwa tafuteni helaLabda tupate app ya kuongea nayo kwenye simu. Lakini mwanaume wa kweli akiachwa au kusalitiwa huelekeza nguvu zote kwenye kutafuta fedha.
📌Hoja imepita bila kupingwa, Wanaume wenzangu ukisalitiwa just move on.
Sawa sawa 👍Wanaume tunakuaga na wivu sana kwa wake zetu, hivyo wanawake nao inabidi mjifunze ukiolewa jitahidi kuficha/kuondoa makandokando yooote.
Tawile
Tumesikia tutapunguza ka mdomoSasa hizo tofauti zetu ndio ziheshimiwe, mwanamke silaha yake mdomo mwanaume silaha yake nguvu. Hakikisha maneno yako yanamipaka. Nguvu kubwa isije ikatumika kama jeshi ra polisi😂😂😂💔💔💔💔
GudubaiiiiiiiLugha Gani unaelewa vizuri nikutafsirie😆😆😆
Sawa mtumishiMungu na mbio ndio viokozi hapa duniani, ukitaka maneno mtajikuta mahakamani au kaburini.
Hakika hakuna tuzo ya uvumilivu boraKimbia, kimbia, kimbia sana kama mwanaume haeleweki.
Nyie mnaumia niniMnaumia Nini lakini jamani😂😂😂
😢Ni hatari katika society ya jamii.
Hapana sijawaita wajinga, labda hujanielewa.Wewe ndio umewaita waomba talaka ni wajinga
Nikakwambia mjinga zaidi ni mwanaume ambae alimuoa mwanamke mjinga bila kugundua mapema kama huyo mwanamke ni mjinga
Sawa mkuuHapana sijawaita wajinga, labda hujanielewa.
Nimesema tu, ukileta danadana za kutaka talaka ili uchume mali lazima kiwake, au ukifanya usaliti. Ukiamua kuolewa olewa ukiwa na dhamira halisi.
Noma
Siyo tu kwa wanawake, hata kwa wanaume pia...Noma
Hakika hali ni mbayaSiyo tu kwa wanawake, hata kwa wanaume pia...
1% ya mahusiano huachana kwa amani, tena baada ya kutenganishwa na kifo...Hakika hali ni mbaya
Kama mambo ya kishindikana heri sana kuachana kwa amani
Asilimia 1% tu 🤔1% ya mahusiano huachana kwa amani, tena baada ya kutenganishwa na kifo...
Ndiyo, 99% ni heka heka mpaka mmoja afe...Asilimia 1% tu 🤔
Jina lako linasadiki yaliyomoKama kuna watu hawabadiliki tutazidi kuuana mpaka kieleweke