Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Sijui nini kifanyike bado kuna wanawake wanadhani kua mwanamke bora ni kulamba miguu ya mwanaume
Hata kama upo kwenye hatari
 
Najua hapa kila mtu ata tetea upande wake.

But ladies take this,

Wanaume sisi ni wapole sana na wakarimu sana kwa wanawake tunao wapenda.

Tunaweza kukuhonga chochote au kukupa chochote. Ukiwa submissive, Ukitulia na kuonyesha upendo ule wa kweli.

Yani kupoteza mali za mabilioni kukupa hatuwazi.

But the moment, tamaa imekuingia na ukatu provoke to the point ya kutudhulumu au kutaka kutuua.

Tukiwahi kujua, my dear you are finished!
 
Naunga mkono hoja mkuu asante kwa maoni
 
Na wewe unaenda kuozea jela maisha yako yote, unasifia kuua kama vile huyo mwanamke una hati miliki nae, wafundisheni wadogo zenu kua dunia hii cha peke yako kaburi tu
 
Hawa wapuuzi tuwafanyeje ?
 
Wanaume wengi wao ni maboya sana kwa wanawake, wanawake wanaendesha maisha yao, mwanaume si lolote wala chochote mbele ya mwanamke ndio maana wivu, wasiwasi, kutokujiamini vyote anavivaa yeye.

Mishangazi yenye maisha yao ni mingapi inauliwa? Yaan Dr. Mariposa wanawake wanaoendesha maisha yao bila kumtegemea mwanaume kama unavyodai ni mwanaume gani atakuua hata kama utamfanyia ujinga? Be realistic
 
Kwa mali gani acheni kuua wanawake Hivi hata ukingalia hizo takwimu hapo juu unaona chanzo kikuu ni mali au wivu ?

Huna haki ya kuua mtu fata sheria ikibidi
And vice versa mwanaume akifanya hivyo nae auwawe
 
Umesema ukiona umeshindwa ni bora muachane kwa amani,unafikiri kuachana na mke au mume ni jambo jepesi kiasi hicho,ni lazima ujuwe kuwa kuna watoto pale tayari,kila ukifikiria hatima yao kwa kuachana kwenu moyo unakataa,unabakia kusema wacha tu tuendelee labda hali itabadilika,na shetani naye hayuko nyuma kwenye hili,maana naona hapo umezungumzia tu kimwili zaidi lakini kiroho uko vitani na shetani,anachochea kweli kweli,ningekuelewa tu kama ungesema tumrudie Mungu kwa sala na toba na kuyashika mafundisho yake,hii ndio njia pekee itakayo tuweka salama,na pia katika hayo matukio yote ukifuatilia utagundua kuwa dhambi imetawala mpaka mwisho wa mchezo...
 
Na wewe unaenda kuozea jela maisha yako yote, unasifia kuua kama vile huyo mwanamke una hati miliki nae, wafundisheni wadogo zenu kua dunia hii cha peke yako kaburi tu
Karne hii watu hawafundishwi tena, watu wanaona, wanasoma, wana'apply. Hata watoto siku hizi hawafundishwi kivile tena, so swala la kushauri watu tuliache kabisa.

Nasema tena, wadada muishi kwenye mstari, pesa ni ngumu, mtu akiamua kuwekeza kwako its either you're in or out, mwambie kabisa ili nae ajue. Short of that ni majanga, kuuana, kuchomana visu etc. Tusipindishe maneno ili kuwafurahisha.
 
Hakika waliofanyiwa ukatili
Utasikia alikua akinitishia
Then anaomba msamaha tunayamaliza
Anasema hayo tayari ameachiwa ulemavu wa kudumu

Wengine ndio kama hivyo wanauwawa
 
Mishangazi yenye maisha yao ni mingapi inauliwa? Yaan Dr. Mariposa wanawake wanaoendesha maisha yao bila kumtegemea mwanaume kama unavyodai ni mwanaume gani atakuua hata kama utamfanyia ujinga? Be realistic
Japo sijaelewa point yako ila nikwambie tu wanaume wanaua hata wanawake waliowatongoza wakawakataa, wanaume ni mafala sana na wengi wao wanauchizi ule wa asili kabisa, wanawake hawajawahi kua salama dhidi ya huyu kidudu mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…