Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Kwa mali gani acheni kuua wanawake Hivi hata ukingalia hizo takwimu hapo juu unaona chanzo kikuu ni mali au wivu ?

Huna haki ya kuua mtu fatal sheria ikibidi
And vice versa mwanaume akifanya hivyo nae auwawe
Chochote mwanaume anachowekeza kwako ni valid kwake, usikidharau maana kakitolea jasho, utasema kwa mali gani mwenzako anahesabu, kesho anakukuta na Me mwingine na hadithi itabadilika, sisi tunasema tu, nyie ndio muamue, mpo weaker physically so watawauwa bila huruma.
 
Hata hivyo ni watu 300 tu huuwawa kwa mwaka kutokana na visa vya mapenzi na ndoa.
 
Japo sijaelewa point yako ila nikwambie tu wanaume wanaua hata wanawake waliowatongoza wakawakataa, wanaume ni mafala sana na wengi wao wanauchizi ule wa asili kabisa, wanawake hawajawahi kua salama dhidi ya huyu kidudu mwanaume

Hapana huyo awe na changamoto ya afya ya akili.
Solution ya tatizo wanawake mjifunze kuishi bila kumtegemea mwanaume, hapo utafanya ufirauni wote utaotaka, but if you are under someone kiuchumi, abide to his wishes, its the only option for you to be safe.
 
Na wewe unasema hivi bro?
Unaunga mkono ukatili na mauwaji?
Siungi mkono mauaji, we all know jamii nzima iko upande wa mwanamke, not matter what happen lawama zote atabebeshwa mwanamke

Kwa nyie wadada, kama unaona mwanaume akufahi mteme mapema kaka wa watu, usisubiri mpaka aka invest kwako kihisia na kiuchumi halaf uanze kumuonyesha dharau, retaliation yake ndio hii

Solve migogoro ya ndani, kushuka si aibu. Else nawaonea huruma huko mbeleni. Watoto wa kiume wengi wata commit crimes kwa speed ya mwanga
 
Mpaka wewe ama kweli
Narudia wewe huna haki ya kukatisha maisha ya mtu kama ni huduma dai fidia
 
Sitetei yeyote
Sitetei mwanamke msaliti wala mwanaume msaliti

Lakini ukiona umeshindwa kabisa kuendelea na mahusiano, achaneni kwa amani

Binadamu wote tuna madhaifu.
na unazidiana.
Pamoja na hasira na zinazidiana.

Sasa fikiria mmetarafikiana na mwenza wako, alafu kwenye majibizano anakujibu nyodo.
Ni lazima utatafuta angle na ww umkere zaid. Sasa kwenye kuoneshana umwamba ndio mwingne anaenda mbali zaidi.

Ila all in all.
Mkiwa wastaarabu wote. Mnaachana tu kwa amani.
Ndoa kibao zimeachana kwa namna hii.
 
Ipo hivi Kuna baadhi ya wanaume ,mwanamke hamtaki jamaa analazimisha ,kwa kuwa kaishaonja kitumbua ni kitamu
 
Kwanini mmekaza na mali hivi hizo takwimu hamzioni ?

Hamuoni wivu ndio chanzo kikuu?

Kama ni mali kwanini mwanaume usifate sheria na udai fidia
 
Mpaka wewe ama kweli
Narudia wewe huna haki ya kukatisha maisha ya mtu kama ni huduma dai fidia
Duniani lazima tupungue ili vinavyozaliwa vipate pa kuishi, na the weakest will die first.

Usicheze na hisia za mtu hasa mwanaume, atakuuwa halafu tutasikitika tu. Sheria ziliwekwa ili zivunjwe, sina haki ya kuuwa ila kama mtu akivuka mstari watu wanauwa tu. Binafsi nitakuachia kila kitu niondoke nikaanze upya coz nina nguvu, afya, akili na uwezo wa kutafuta.

Mwingine hatakubali kuumizwa, atakuuwa, so ukiona unaweza kupambana just go ahead, ila sisi tutahuzunika for few days na maisha yatasonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…