ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kama kipimo cha kocha ni champions League sidhani kama Benchika angekua huko ukoloniNabi mwenyewe yuko wapi now kwenye hii champions league?? huyu ambaye alifunga losers tu
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Nyie ndio akili hamna na huyo mleta uzi mnataka kuivuruga Yanga. Hakuna kocha anayefanya rotation kwenye mechi ngumu, hakuna kocha anayefanya rotation kwenye mechi anayohitaji matokeo, hakuna kocha anayefanya rotation kwa mechi yenye presha kubwa."Lakini ujio wa Gamondi umekuja kuchuja na kuchukua wachezaji wake "First eleven" Hii ni sumu kubwa sana maana waliopo benchi hawapati match fitness siku wakipewa namba tutawakataa. Wapo wapi Abubakari Salumu (sureboy), Faridi Musa, Kibwana Shomari n.k"
Hapa mwanautopolo umenena uneni ulio sahihi kabisa.
Ila Gamond amewapa ushupavu wa hao waendesha mitumbwi wake wa pale Bwawani wa kucheza boli la Kifaransa au Kijerumani. Muacheni atawavusha.
Unataka kusema SUREBOY ni mgeni ??Nyie ndio akili hamna na huyo mleta uzi mnataka kuivuruga Yanga. Hakuna kocha anayefanya rotation kwenye mechi ngumu, hakuna kocha anayefanya rotation kwenye mechi anayohitaji matokeo, hakuna kocha anayefanya rotation kwa mechi yenye presha kubwa.
Hao mnaowaongelea kuwa hawaonekani, wataonekana mbeleni sio kuingia moja kwa moja kwenye mechi ya klabu bingwa tena kwenye wachezaji waliojaa ubora uje uwapangie wakina Nkane.
Yanga ndio kwanza imecheza michezo nane tu ya ligi kuu kuna michezo 22 imebakia ya ligi kuu, kuna michezo ya ya Azam federation yanga inatakiwa ishiriki hivyo kocha atawapanga kulingana na atakavyoona wapinzani wake wapoje. Acheni upumbavu, kocha alikuwa anafanya rotation mara kwa mara, alipofungwa na Ihefu mkalalamika. Mwacheni kocha afanye kazi yake.
Mnaacha kulalamikia kutokuwa na straika mwenye ubora mnaongea upumbavu. Yanga ingekuwa na straika wa maana, chini ya huyu Gamondi timu ingekuwa na point sita sasa.
Tatizo huwa mnasoma halafu hamtaki kuelewa kilichoandikwa.Nyie ndio akili hamna na huyo mleta uzi mnataka kuivuruga Yanga. Hakuna kocha anayefanya rotation kwenye mechi ngumu, hakuna kocha anayefanya rotation kwenye mechi anayohitaji matokeo, hakuna kocha anayefanya rotation kwa mechi yenye presha kubwa.
Hao mnaowaongelea kuwa hawaonekani, wataonekana mbeleni sio kuingia moja kwa moja kwenye mechi ya klabu bingwa tena kwenye wachezaji waliojaa ubora uje uwapangie wakina Nkane.
Yanga ndio kwanza imecheza michezo nane tu ya ligi kuu kuna michezo 22 imebakia ya ligi kuu, kuna michezo ya ya Azam federation yanga inatakiwa ishiriki hivyo kocha atawapanga kulingana na atakavyoona wapinzani wake wapoje. Acheni upumbavu, kocha alikuwa anafanya rotation mara kwa mara, alipofungwa na Ihefu mkalalamika. Mwacheni kocha afanye kazi yake.
Mnaacha kulalamikia kutokuwa na straika mwenye ubora mnaongea upumbavu. Yanga ingekuwa na straika wa maana, chini ya huyu Gamondi timu ingekuwa na point sita sasa.
Nakereka sana na watu ambao wanashindwa kujenga hoja bila matusi. Nani kakwambia mimi sina akili?Nyie ndio akili hamna na huyo mleta uzi mnataka kuivuruga Yanga. Hakuna kocha anayefanya rotation kwenye mechi ngumu, hakuna kocha anayefanya rotation kwenye mechi anayohitaji matokeo, hakuna kocha anayefanya rotation kwa mechi yenye presha kubwa.
Hao mnaowaongelea kuwa hawaonekani, wataonekana mbeleni sio kuingia moja kwa moja kwenye mechi ya klabu bingwa tena kwenye wachezaji waliojaa ubora uje uwapangie wakina Nkane.
Yanga ndio kwanza imecheza michezo nane tu ya ligi kuu kuna michezo 22 imebakia ya ligi kuu, kuna michezo ya ya Azam federation yanga inatakiwa ishiriki hivyo kocha atawapanga kulingana na atakavyoona wapinzani wake wapoje. Acheni upumbavu, kocha alikuwa anafanya rotation mara kwa mara, alipofungwa na Ihefu mkalalamika. Mwacheni kocha afanye kazi yake.
Mnaacha kulalamikia kutokuwa na straika mwenye ubora mnaongea upumbavu. Yanga ingekuwa na straika wa maana, chini ya huyu Gamondi timu ingekuwa na point sita sasa.
Hawezi kujenga hoja kwa kua anatumia hisia kuongelea mpira ni ngumu sana kujenga hoja ACHANA nae.Nakereka sana na watu ambao wanashindwa kujenga hoja bila matusi. Nani kakwambia mimi sina akili?
Au wewe ni kizazi cha 90's? ambacho wengi wenu mnakosa adabu kwa wakubwa zenu?!!!
Ni kweli mkuu Nalia Ngwena.Hawezi kujenga hoja kwa kua anatumia hisia kuongelea mpira ni ngumu sana kujenga hoja ACHANA nae.
Ndio maana nikakwambia mnaandika ujinga na upumbavu.Tatizo huwa mnasoma halafu hamtaki kuelewa kilichoandikwa.
Ukisoma vizuri kwenya andiko langu nimeandika suala la Rotation kwa wachezaji.
Na Wala sijaandika kuwa hao wachezaji waingie kipindi Cha michuano ya Kimataifa.
Unaweza UKANIAMBIA sureboy Mara ya mwisho kucheza ni lini??
KIbwana Shomari Mara ya mwisho kucheza ni lini?
Oky Jesus Moloko Kuna za chini chini kuwa dirisha dogo ataachwa lakini ndiyo Supersub ya Gamond tazama mechi ya coastal union.
Moloko alifanya nini??
Soma vizuri andiko langu Kisha uje kujenga hoja.
Kila kocha anakuwa na mfumo wake na aina ya watu wanaofit. Kwahiyo mkuu unataka Yao Kwasi akae nje halafu Kibwana achukue nafasi yake? Makocha huwa wanapenda mchezaji anaye offer kitu zaidi ya kimoja. Yao Kwasi anakaba na anageuka kuwa mshambuliaji pale timu inaposhambulia, kama ilivyo kwa Lomalisa. Kibwana ni mzuri kwenye kukaba pekee, na ujue ipo hivyo duniani kote kuwa kila timu ina first eleven.Unataka kusema SUREBOY ni mgeni ??
Unataka kusema Kibwana Shomari kaja leo ??
Kipindi Lomalisa Mutambala yupo benchi beki namba 3 alikua anacheza Nani??
Umesahau kuwa Abubakari kwenye michuano ya shirikisho Alishawahi kushika record ya kuwa mtu wa tatu Kati ya wachezaji waliopiga pasi kwa usahihi na kufika kwa wachezaji.
UmesaHau kuwa kibwana Shomari alimsumbua Adebayo wa Niger
ACHANA na Hilo umesahau kibwana Shomari kwenye Derby ya Kariakoo alimficha Sakho, akaja Kibu Denis akafichwa mfukoni.
Umesahau kuwa Kibwana Shomari anacheza namba 2 beki namba 3 na mbili kwa usahihi kabisa ??
HUNA HOJA MZEE.Kila kocha anakuwa na mfumo wake na aina ya watu wanaofit. Kwahiyo mkuu unataka Yao Kwasi akae nje halafu Kibwana achukue nafasi yake? Makocha huwa wanapenda mchezaji anaye offer kitu zaidi ya kimoja. Yao Kwasi anakaba na anageuka kuwa mshambuliaji pale timu inaposhambulia, kama ilivyo kwa Lomalisa. Kibwana ni mzuri kwenye kukaba pekee, na ujue ipo hivyo duniani kote kuwa kila timu ina first eleven. Yaani panga pangua lazima wacheze. Ila rotation huwa inafanyika kwa mechi ambazo sio ngumu, hovyo hao wakina Sureboy na wengine utawaona taratibu kwenye mechi zisizo na presha kuna mechi 22 zimebakia za ligi kuu( yaani ligi bado kabisa mbichi)na Azam federation bado haijaanza. Kuna mechi kibao zimebakia lakini mnakuja kupiga kelele za kijinga ili kuleta taharuki kwa kocha aonekane hafai, huo ni ujinga na upumbavu msiojua mpira.
Ishu siyo kibwana kuchukua nafasi aisee ukizungumzia kibwana kucheza kwani Yao alishakaa benchi lakini Gamond alimchezesha Jobu Kama beki namba 2.Kila kocha anakuwa na mfumo wake na aina ya watu wanaofit. Kwahiyo mkuu unataka Yao Kwasi akae nje halafu Kibwana achukue nafasi yake? Makocha huwa wanapenda mchezaji anaye offer kitu zaidi ya kimoja. Yao Kwasi anakaba na anageuka kuwa mshambuliaji pale timu inaposhambulia, kama ilivyo kwa Lomalisa. Kibwana ni mzuri kwenye kukaba pekee, na ujue ipo hivyo duniani kote kuwa kila timu ina first eleven. Yaani panga pangua lazima wacheze. Ila rotation huwa inafanyika kwa mechi ambazo sio ngumu, hovyo hao wakina Sureboy na wengine utawaona taratibu kwenye mechi zisizo na presha kuna mechi 22 zimebakia za ligi kuu( yaani ligi bado kabisa mbichi)na Azam federation bado haijaanza. Kuna mechi kibao zimebakia lakini mnakuja kupiga kelele za kijinga ili kuleta taharuki kwa kocha aonekane hafai, huo ni ujinga na upumbavu msiojua mpira.
Pole ila mnakera sana, kujifanya mnajua kuingilia kazi za watu. Sasa mtu analeta uzi baada ya mechi ya kimataifa halafu anakana kuwa hakuwa na lengo la rotation ifanyike kwenye michuano ya kimataifa. Sasa kwanini huo uzi asingeandika baada ya mechi ya Mtibwa na Yanga tarehe 16? Yaani mechi za klabu bingwa watu mnataka rotation, huo mpira mnajifunzia wapi mkaona nani anapumzisha silaha zake kwenye mechi zinazohitaji matokeo? Mnaelewa nini kuhusu first eleven?Nakereka sana na watu ambao wanashindwa kujenga hoja bila matusi. Nani kakwambia mimi sina akili?
Au wewe ni kizazi cha 90's? ambacho wengi wenu mnakosa adabu kwa wakubwa zenu?!!!
Unajua maana ya first eleven ya kocha?Ishu siyo kibwana kuchukua nafasi aisee ukizungumzia kibwana kucheza kwani Yao alishakaa benchi lakini Gamond alimchezesha Jobu Kama beki namba 2.
Unataka kusema Job ni Bora zaidi katika namba 2 au tatu kwa kibwana Shomari ?!
Kipindi Cha Nabi job alicheza namba mbili kwa dharura sana inapokua hakuna option.
Rejea comment yangu ya kwanza ambayo ulikuja kujibu ulivyojibu.Pole ila mnakera sana, kujifanya mnajua kuingilia kazi za watu. Sasa mtu analeta uzi baada ya mechi ya kimataifa halafu anakana kuwa hakuwa na lengo la rotation ifanyike kwenye michuano ya kimataifa. Sasa kwanini huo uzi asingeandika baada ya mechi ya Mtibwa na Yanga tarehe 16? Yaani mechi za klabu bingwa watu mnataka rotation, huo mpira mnajifunzia wapi mkaona nani anapumzisha silaha zake kwenye mechi zinazohitaji matokeo? Mnaelewa nini kuhusu first eleven?
JENGA HOJA MKUU.hivi NALIA NGWENA leo wa kuongea umbumbumbu humu?