Mi sipendi kabisa kurundika soksi chafu ndani.Tuko tofauti hata hivyo.Hata iwe saa ngapi,soksi zilizovaliwa,zifuliwe,ntavaa nyingine kesho.Upande wa boksa,hata zikiwa pea kumi,ni sawa tu.Anyway... huyo anayenuka miguu,azingatie usafi tu.Waweza kuwa upo sahihi.
Lakini mkuu, kauka nikuvae hasa kwa nguo za ndani ndiyo chanzo kikuu cha miharufu ya ajabu ajabu.
Mtu akimiliki kwa mfano pea kuanzia 5, anakuwa na wasaa wa kufanya usafi.
Tena afadhali chupi kwa wanaume unaweza kukaa siku2 bila kufua, lakini soxy ni lazima afue kila siku kama anapenda usafi na hataki matatizo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah eti akivua tu kunatemaaaPole sana mimi mshenga wangu alikua na hali kama hiyo. Nilikua namuweza nikamwambia uncle hebu tutumie tangawizi na baking soda na alinielewa mpka now hali imekata. Nilikua napata tabu nikienda nae kwa wakwe zangu tunakaribishwa anavua viatu hata hajistukii wenyeji wanasema msivue ingia tuu yeye muda mrefu ashakanyaga kisogino mzigo unaanza kutema balaa.
Sio mchezo riki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah eti akivua tu kunatemaaa
Ndio ajikaze kama mwanaume tunavyojikazaAtajikazaje kiume wakati ni mwanamke?!
Mwambie mumeo juu ya hilo.Huyu mgeni ni rafiki sana wa mume wangu, ndiye best man wa harusi
Kama anataka kuleta chakula hapo alipo itakuwaje?Duh aisee pole sana. Nakushauri jikaze tu hadi atakapoondoka harufu itaisha.
Asante sanaMwambie mumeo juu ya hilo.
Hapo vidole vina fungus pamoja na soksi na viatu.
Asafishe vidole vya miguu na kuvikausha kwa toilet paper.
Halafu anyunyize powder ya anti fungus inaitwa Athletees Foot, kwenyevidole, soxy na kiatu.
Harufu itapotea tu.