Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

I wish you heard that podcast

mwanzo mwisho unajiuliza mke kakosa lipi kubwa sana hadi uyu kaka kaona their marriage was toxic.,sijui waandishi walikua wanaogopa kumuuliza maswali au vipi ila ilikua janja janja sana
Mimi podcast itaniumiza sana tu. Kasoro mshkaji wangu long time tangu hajarudi bongo.

Tulikuwa tunabishana, turudi bongo au tusirudi.

Yeye anashikilia kurudi, mimi namwambia nalikita hukuhuku Unyamwezini, mpaka akawa ananitania nitastaafu kwenye viwanja vya gofu Florida.

Alitukusanya sana katika forum yake ya Youngafricans, ilikuwa kama JF wakati huo hata JF haipo.

Imeniuma sana kuona hii video.
 
Inasikitisha ...kwa mnao mjua maybe u know better

but the podcast and this video show absolutely two different Men
 
Ndomana utakuta wanawake kwenye situation kama hii wanapenda wao wabaki na Watoto ili baba aendele kutoa mpunga
Wanawake kama Hawa Hawana shukran hata uwafanyie nn....
Ndomana mwisho wa siku wanaishiaaa kubaya

Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
 
weka link ya hiyo video ya mihayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima kuwe na law and order otherwise inakua anarchy state

Nigga Wilmore sijui alikosea wapi aisee...Ila watoto wengi wa kishua kwenye kuoa hua ni failure sijui kwanini!

Inakuaga social skills zipo chini ndio maana!

Hahahahaha. Nakushauri acha mkuu. Kuna watu wanakufa kwa kofi moja tu. Ya nini kuharibu maisha yako na ya familia yako for a thing which you can just walk away...? See what Stamina and Mabeste did[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiufupi Tu wanawake ni viumbe wenye upeo mdogo Sana wa akli, ukimchukulia mwanamke serious kama kiumbe chenye akli timamu kuna sku utamvunja mguu...
 
Hakuna sababu ya kupigwa Ni ukatili tu na malezi mabaya ya baadhi ya watoto wa kiume wamelelewa na kukua wakiona wazazi wao wanapigwa na wao wanaiga mpk kesho
Watu ya kanda ya ziwa mfano huyo Mihayo ni msukuma kupiga asili yao hata uwe mpole kiasi gani utapigwa tuuu!!
Tena enzi hizo wamama wa huko walikua wanapigwa sana kuliko sasa hivi
Ni ukatili Tu kupigwa mtoto wa kike!!acheni ukatili nyie baadhi ya wanaume
mama ako hakupigwa inawezekana alikuwa mstaarabu,jaribu na wewe kamletee dharau na kejeli mmeo uone balaa lake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…