LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Hapo ndo mnapofeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo mnapofeli
lete takwimuHamna kipindi wanawake wa 30 and above wanaolewa kama miaka hii
Kama haitoshi wengine wana watoto juu..almaaruf single mom
Huamini fatilia kwa karibu
Kamwa wengi nini kilikushinda kuoa wengi mbona ulikomaa na ukamuoa mmoja?
Kumbi za harusi zinafurika kila weekend ndoa zinafungwa
Mimi podcast itaniumiza sana tu. Kasoro mshkaji wangu long time tangu hajarudi bongo.I wish you heard that podcast
mwanzo mwisho unajiuliza mke kakosa lipi kubwa sana hadi uyu kaka kaona their marriage was toxic.,sijui waandishi walikua wanaogopa kumuuliza maswali au vipi ila ilikua janja janja sana
utajaduliliana nini na mwanamke? mwanamke ana upeo gani?silaha ya mwanamke ni maneno, silaha ya mwanaume ni ngumi na mateke,endeleeni kushindana na wanaume,gunia mbili zitawahusu sanaNa ye akiwa na hasira akupige?.
Hamuwezi kujadiliana?.
Hojaless
Inasikitisha ...kwa mnao mjua maybe u know betterMimi podcast itaniumiza sana tu. Kasoro mshkaji wangu long time tangu hajarudi bongo.
Tulikuwa tunabishana, turudi bongo au tusirudi.
Yeye anashikilia kurudi, mimi namwambia nalikita hukuhuku Unyamwezini, mpaka akawa ananitania nitastaafu kwenye viwanja vya gofu Florida.
Alitukusanya sana katika forum yake ya Youngafricans, ilikuwa kama JF wakati huo hata JF haipo.
Imeniuma sana kuona hii video.
Oh yeah?
Kama ni interview huyo Mihayo katoa his own story walao hajamtaja huyo dada,yeye alijuaje ni yeye mpaka afanye retaliation ya kibwege namna hii?
Huyo dada nae kahojiwa,katema upupu kama retalitation na mavideo katoa!
Fair enough!
Huyo mwanamke anaenda nyumbani kwa huyo Mihayo kuangalia watoto kwa ruhusa ya nani wakati mwenye nyumba hamtaki kumuona nyumbani kwake?
Unaenda kuvamia mageti ya watu kivipi?
Huyo mwanamke asubiri watoto wawe dropped nje kwake ndio awaone huko kwake na sio kwa huyo baba!
Hilo limwanamke libishi na linapenda shari kwa kwenda nyumbani kwa adui yake hiyo ni kosa!
Plus,hayo matoto yanajulikana,yalilelewa bila baba,matoto ya mjini,mama yao,yeah well,you know...mabishi,machupi mikononi!
Wilmore alionesha very poor decision making skills kuoa madude kama haya!
Yale matoto ni hovyo,all the way through!
Rot in Segerea thats where you belong perhaps.,utajaduliliana nini na mwanamke? mwanamke ana upeo gani?silaha ya mwanamke ni maneno, silaha ya mwanaume ni ngumi na mateke,endeleeni kushindana na wanaume,gunia mbili zitawahusu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
weka link ya hiyo video ya mihayoShida yako ni ukilaza na kuongea usiyo na uhakika nayo
since nimepita mitandaoni and i have the facts i will get them straight for you
first:Mihayo did the podcast and hakuficha identity yake hata ambao hatukua na uhakika tuliconfirm on the spot nani anaongelewa na alimtaja sana tu..unadhani kwa nini imetrend?
pili video hajapost mke:kapost mdogo wake mke ebaada ya kusikia alichosema Mihayo kwny podcast ukitaka mtafte insta si unawajua?.
tatu :Nacky na watoto ndo walikua nyumbani Mihayo alishaondoka kurudi kuishi kwa mama ake
Yeye mwanaume ndo alikuja kuona watoto wanaoishi hapo na x wife wake
X husband ndo alikuja fanya vurugu hapo kwake japo alishahama 6 months prior
Haya ni kutoka kwa wahusika huko mitandaon
know the facts kwanza ndo uje..nimekudespise vibaya mnooo ...mnoo kwa kuja na maneno mengi ya uongo kupitiliza wkt ukweli uko wazi kwa wahusika
ayaaaaaaa!!!,sijui kwa nini watoto wa kishua huwa wanaoa wanawake wasiojielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima kuwe na law and order otherwise inakua anarchy state
Nigga Wilmore sijui alikosea wapi aisee...Ila watoto wengi wa kishua kwenye kuoa hua ni failure sijui kwanini!
Inakuaga social skills zipo chini ndio maana!
Wenye bundle zetu tushaona youtube
unaongea na mimi au unaongea na mihayoKamwa wengi nini kilikushinda kuoa wengi mbona ulikomaa na ukamuoa mmoja?
Na kama wengi kwanini unaingia kwenye mapigano ?.sio uondoke ukaoe kesho asubuhi kama ni rahisi kiasi hicho
mama ako hakupigwa inawezekana alikuwa mstaarabu,jaribu na wewe kamletee dharau na kejeli mmeo uone balaa lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe na wenzio kwa ujumla
kwa upeo gani alio nao mwanamke,japo sio wote,wachache sana wanajielewaNa ye akiwa na hasira akupige?.
Hamuwezi kujadiliana?.