Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Bora uwaeleze Kaka Mkubwa mana watu wanachukulia ndoa poa sana

Aoe aone..km ye mwanaume kweli
Kitu kikubwa mkeo unamchagua vizuri, unamkaza vizuri, unamhonga vizuri, unampeti peti vizuri, kiasi anakuwa haoni wala hasikii mwingine.

Ukishaweza hilo, unatulia naye, mnalea watoto.

Hapo hata akikukosea kidogo tu mwenyewe anajirudi hata kabla hujasema kitu.

Ile mwanamme umetua nyumbani tu mwenyewe anaanza kuomba msamaha kabla hujamsema.

Yani anaanza kujishukushuku mwenyewe, Baba Kwani mboona hivyo leo? Jana hukupenda nilivyopika? Au perfume yangu ya leo inakukera?

Ukitoka hapo unambusu, unaenda kumpiga kwa mguu wa tatu chumbani kuanzia kitandani mpaka mnaangushana kwenye floor huko San Salvador.

Hivyo ndivyo mwanamke anavyopigwa.

Si kwa ngumi na makofi.
 
S
Shkamooo

we si msukuma kweli?.
 
Huyo ni superior of feminism, ndiyomaana nampita tu kimya kimya bila hata ya kumnukuu [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The comment like..'prolly alikosea kuoa'...jmn mda mwingine wanawake ndo wanapata wrong Men jmn
Au hio haipo
Sikuandika prolly alikosea kuoa, nimetoa onyo general kwamba baharia akikosea kuoa nyumba haikosi matatizo.

Vijana wa sasa wengi ni wengi wa habari, hivyo katika ndoa nyingi sitashangaa kusikia kwamba kuna mashambulizi ya rafu timu zote.
 
Et rudisha kwao kama mmeshindwana!

Ili mgawane kilichopo ilhali aliyekisotea unakuta ni mmoja tu!

Hilo la kuachana ni uamuzi wa mwisho ila kabla ya kufikia huko lazima nioneshe jitihada za kukuweka kwenye mstari ikiwemo makofi.

Isitoshe ndoa zingine ni "mpaka kifo kitakapotutenganisha".

Binafsi siyo mpigaji ila siwezi kusema sitokaa nimzabue hata siku moja.
 
Orijino, huwa hatupendi shida, wepesi wa kuhonga na wagumu kupiga.
The best Tanzania nzima...sijawahi ona wanaume wastaarabu na wenye mapenzi ka Wasukuma
WaKaskazini sijui lini watajifunza wao bia tu woiii😅
 
Ahsante Mkuu

wenye akili zao pia wamejipambanua
 
Hiv mnajua maneno ya mwanamke yanavyo Uma embu fikiria mke wako kachelewa kurud nyumbani unamuuliza unatoka wap saiz akujibu kwa mwanaume mwenzako utajiskia au akwambie hiv wewe katika wanaume na wewe ni mwanaume wanawake wanamaneno mengi ya kuuz ila tu basi ukishapanik wewe ndio unaonekana unamakosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwajui Wapare Wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukioa mwanamke mwenye kuweza kujibu hivyo, uanaume wako umeshapungua kutokana na ukweli kwamba ulishindwa kuweka chujio katika mchakato wa kuoa.

Kama ni mwanamke hujamuoa na wala hakuna watoto, unampiga chini tu kuondoa ukaribu unaoweza kuleta matatizo.
 
Sio Kila Mwanamke bro, Ondoa hio Psychology

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umenikumbusha marehemu Frank Ndosi aka Kizzoguns
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Misinformed kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…