interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Huyo ni superior of feminism, ndiyomaana nampita tu kimya kimya bila hata ya kumnukuu [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu kikubwa mkeo unamchagua vizuri, unamkaza vizuri, unamhonga vizuri, unampeti peti vizuri, kiasi anakuwa haoni wala hasikii mwingine.Bora uwaeleze Kaka Mkubwa mana watu wanachukulia ndoa poa sana
Aoe aone..km ye mwanaume kweli
ShkamoooKitu kikubwa mkeo unamchagua vizuri, unamkaza vizuri, unamhonga vizuri, unampeti peti vizuri, kiasi anakuwa haoni wala hasikii mwingine.
Ukishaweza hilo, unatulia naye, mnalea watoto.
Hapo hata akikukosea kidogo tu mwenyewe anajirudi hata kabla hujasema kitu.
Ile mwanamme umetua nyumbani tu mwenyewe anaanza kuomba msamaha kabla hujamsema.
Yani anaanza kujishukushuku mwenyewe, Baba Kwani mboona hivyo leo? Jana hukupenda nilivyopika? Au perfume yangu ya leo inakukera?
Ukitoka hapo unambusu, unaenda kumpiga kwa mguu wa tatu chumbani kuanzia kitandani mpaka mnaangushana kwenye floor huko San Salvador.
Hivyo ndivyo mwanamke anavyopigwa.
Si kwa ngumi na makofi.
Huyo ni superior of feminism, ndiyomaana nampita tu kimya kimya bila hata ya kumnukuu [emoji28]Wadau, si mnaona wanawake wenyewe ndio hawa, angalia maneno yake, hivi unadhani huyu hata ujidanganye eti unampenda kuna siku atakuheshimu ?, unadhani huyu anaweza kusikia ukimwambia kwa mdomo ?, hawa ndio wale ambao wanasemaga ukitoka na mimi natoka, hawa wa kupiga tu, tene ukiweza unamtia kilema, yaani vunja hata mguu ili atulie nyumbani, ukija kupona atakuwa anauangalia anakumbuka na kuugulia machungu
Orijino, huwa hatupendi shida, wepesi wa kuhonga na wagumu kupiga.S
Shkamooo
we si msukuma kweli?.
Sikuandika prolly alikosea kuoa, nimetoa onyo general kwamba baharia akikosea kuoa nyumba haikosi matatizo.The comment like..'prolly alikosea kuoa'...jmn mda mwingine wanawake ndo wanapata wrong Men jmn
Au hio haipo
The best Tanzania nzima...sijawahi ona wanaume wastaarabu na wenye mapenzi ka WasukumaOrijino, huwa hatupendi shida, wepesi wa kuhonga na wagumu kupiga.
Ahsante MkuuKwahiyo wanaume mnataka kutuaminisha mna akili kuliko Mungu?
Mliambiwa kuishi na wanawake kwa akili sasa ninyi na stress zenu mnatumia nguvu badala ya akili.
Kwa hizi comment nimegundua % kubwa ya wanaume bongo wana stress sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu sasa naona WaKaskazini kinadada wanatuchangamkia kweli, kuna cousins naona wamejikita huko, tunaongeza undugu.The best Tanzania nzima...sijawahi ona wanaume wastaarabu na wenye mapenzi ka Wasukuma
WaKaskazini sijui lini watajifunza wao bia tu woiii😅
Huwajui Wapare WeweKitu kikubwa mkeo unamchagua vizuri, unamkaza vizuri, unamhonga vizuri, unampeti peti vizuri, kiasi anakuwa haoni wala hasikii mwingine.
Ukishaweza hilo, unatulia naye, mnalea watoto.
Hapo hata akikukosea kidogo tu mwenyewe anajirudi hata kabla hujasema kitu.
Ile mwanamme umetua nyumbani tu mwenyewe anaanza kuomba msamaha kabla hujamsema.
Yani anaanza kujishukushuku mwenyewe, Baba Kwani mboona hivyo leo? Jana hukupenda nilivyopika? Au perfume yangu ya leo inakukera?
Ukitoka hapo unambusu, unaenda kumpiga kwa mguu wa tatu chumbani kuanzia kitandani mpaka mnaangushana kwenye floor huko San Salvador.
Hivyo ndivyo mwanamke anavyopigwa.
Si kwa ngumi na makofi.
Ukioa mwanamke mwenye kuweza kujibu hivyo, uanaume wako umeshapungua kutokana na ukweli kwamba ulishindwa kuweka chujio katika mchakato wa kuoa.Hiv mnajua maneno ya mwanamke yanavyo Uma embu fikiria mke wako kachelewa kurud nyumbani unamuuliza unatoka wap saiz akujibu kwa mwanaume mwenzako utajiskia au akwambie hiv wewe katika wanaume na wewe ni mwanaume wanawake wanamaneno mengi ya kuuz ila tu basi ukishapanik wewe ndio unaonekana unamakosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapare wa wapi? Siku hizi kuna Wapare wa New York na wao ma model, wamesoma Yale na Lupita Nyong'o.Wakiongea wanatoa reference za London, Paris na Tokyo.
Sio Kila Mwanamke bro, Ondoa hio PsychologyMwanaume oa mwanamke wa level yako...or else utaishia jela mara umepiga mara umeua ...nimesikiliza intavyuu ya jamaa nimemuona bogus kweli...siku zote ataekufanya mwanaume uendelee ni mwanamke. mwanamke wako akiwa anataka ghorofa utafight kujenga ghorofa..mwanamke wako akiwa anataka range utafight kupata range....sasa wewe kama unaona unaonewa kwa yeye kukwaambia tunahitaji kuishi namna hii tutoke hapa jua huyo sio level yako ...na mwanamke ambae unaishi Chumba kimoja na yeye karidhika hakusumbui jua hamtafika kokote bro..ni hayo tu
Kasoro (nishazoea kumuita jina lake la Youngafricans) ni mtu very smart. Mipango yake ya biashara, pragmatism yake, exposure etc, vinamfanya awe bonge la asset popote atakapokuwa.
Tatizo, kuna angle ya emotion hapo. Na kama mtu hajaweza ku control hiyo angle ya emotion, anaweza hata kuua kijinga tu.
Halafu, kujiamini sana nako si kuzuri. Mtu anaweza kuwa mjinga tu, na wewe una akili sana, ukaona unaweza kum control, unaweza kumu undermine, unaweza kumu outtalk.
Lakini huwezi kujua atakuvizia wapi na kitofa aje kwa nyuma akupige kichogoni wakati hata hujamuona.
Ndiyo maana mabaharia wakitaka kuoa wanakuwa na mlolongo mrefu wa kuchunguza mke mtarajiwa kushinda background checks za FBI.
Yani baharia hata kama una akili vipi, ukikosea kuoa tu umekosea sehemu kubwa sana, hususan kama umekosea kuoa halafu kuna watoto washaingia kwenye mlinganyo.
Ukidhani utabaki salama uraiani?Utatiliwa sumu ufe siku si zako
Misinformed kabisaMwanaume oa mwanamke wa level yako...or else utaishia jela mara umepiga mara umeua ...nimesikiliza intavyuu ya jamaa nimemuona bogus kweli...siku zote ataekufanya mwanaume uendelee ni mwanamke. mwanamke wako akiwa anataka ghorofa utafight kujenga ghorofa..mwanamke wako akiwa anataka range utafight kupata range....sasa wewe kama unaona unaonewa kwa yeye kukwaambia tunahitaji kuishi namna hii tutoke hapa jua huyo sio level yako ...na mwanamke ambae unaishi Chumba kimoja na yeye karidhika hakusumbui jua hamtafika kokote bro..ni hayo tu
Baada ya gunia la mkaa atafia jela
If thats how short you want to spend ur life well and good ...go ahead utaozea jela ukinyea ndooo