Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Unadhani kipigo kitamuweka Sawa au nyumba itarejesha amani na furaha kwa kipigo huwa mnafurahisha sana kuongeza tatizo kwa kudhani mmetatua tatizo
 
Unadhani kipigo kitamuweka Sawa au nyumba itarejesha amani na furaha kwa kipigo huwa mnafurahisha sana kuongeza tatizo kwa kudhani mmetatua tatizo
Hivi huwa mnataka mwanamke akifanya Kosa la kipuuzi na la kurudiarudia, afanyweje ?, mwanaume umuangalie tu na umchekee ?, kwamba ooh my wife no problem, eeh ?. kiroho safi kabisa naomba unijibu, niko tayari kusikiliza ushauri wako.
 
Unadhani kipigo kitamuweka Sawa au nyumba itarejesha amani na furaha kwa kipigo huwa mnafurahisha sana kuongeza tatizo kwa kudhani mmetatua tatizo
Na asipokaa sawa ataendelea kupata kipigo tu, kwa nini fimbo huwa zinatumika shuleni ?.
 
Ndio maana nilisema mwanzo hapo hakuna mke.

Tatizo Watu wanabebwa na huruma ya kipondo alichokipata katika hiyo cctv footage.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigana pigana ni Mambo ya kishamba Sana
 
Hivi huwa mnataka mwanamke akifanya Kosa la kipuuzi na la kurudiarudia, afanyweje ?, mwanaume umuangalie tu na umchekee ?, kwamba ooh my wife no problem, eeh ?. kiroho safi kabisa naomba unijibu, niko tayari kusikiliza ushauri wako.
Kwenye mahusiano tunakoseana wewe ukikosea upigwe na mkeo watu mmekutana kila mmoja anatambua mbaya na nzuri kwa nini mpige kashindwa kufata vile unataka MUACHE
 
Hustahili kuwa baba wa familia kama kichwa chako kinawaza kipigo ndio njia badala kumueewesha mkeo ila magereza yapo kwa ajili yenu vichwa pazi msiojua kutumia ubongo vizuri kufikilia.
Kwa kauli hizo za midomo yako ni kwa namna gani unaweza kuepuka kupigwa ?.
 
Wapare wa wapi? Siku hizi kuna Wapare wa New York na wao ma model, wamesoma Yale na Lupita Nyong'o.Wakiongea wanatoa reference za London, Paris na Tokyo.

Tatizo si kabila, tatizo unaoa wapi katika hilo kabila, mtu gani?
Hata Watoke Mbinguni, As Long ni Mpare, Utajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hustahili kuwa baba wa familia kama kichwa chako kinawaza kipigo ndio njia badala kumuelewesha mkeo ila magereza yapo kwa ajili yenu vichwa pazi msiojua kutumia ubongo vizuri kufikilia.
Sijui una maanisha nini, nina mke na watoto ambao wote wako happy na mimi Baba yao, naweza kuwa sistahili kwako tu, kawni hata jamii inayonizunguka wengi wao wananiheshimu sana
 
Kwa kauli hizo za midomo yako ni kwa namna gani unaweza kuepuka kupigwa ?.
Mkuu mimi sijawahi kupigwa na sitakaa nipigwe na Mwanaume na kama itatokea kwa bahati mbaya nikapigwa sijui itakuwaje maana sitamuacha hai.
 
Mkuu mimi sijawahi kupigwa na sitakaa nipigwe na Mwanaume na kama itatokea kwa bahati mbaya nikapigwa sijui itakuwaje maana sitamuacha hai.

Wewe umeolewa ?,
Natamani niongee na mumeo, nimfundishe namna ya kupiga tuone utafanya nini
 
Wewe umeolewa ?,
Natamani niongee na mumeo, nimfundishe namna ya kupiga tuone utafanya nini
Unadhani hajui kwamba baadhi ya wanaume wanapiga tukikoseana tunajua jinsi ya kusuruhisha sina kovu mwilini mwangu anajitahidi kunilinda wewe endelea kumchakaza mkeo kwa kipigo.
 
Nimekua interested kujibu hapa kwamba ukitenda kosa hata kama umekua provoked vipi huwezi kuwa victim??? Watu wanaua na wanatoka kwa defence ya provocation halafu unasema kwenye provocation kuna self control.

Unajua kwenye ile maneno wanasema eti kwenye vita huchagui silaha. Na hii wanawake tunayo sana huwa hatuchagui neno. Na wanaume maneno maneno hawawezi ni aidha aondoke nyumbani (hapo anajua anaenda kwa mchepuko wake kupata faraja) au ndio uishie kula kipigo.

Na hatuwezi kuwa best judges in this scenario bila kupata the side of the story kwa pande zote mbili hapo ndio tutajua nani alicross the line between the two.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchepukoo ndo kila kituu akuna kupiga semaa kama huna helaa ndo ikaishiaa kupigaa mpaka kuua aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unasema nimekataa wasiongelewe wakati hawajaongelewa nikakataa. Una mwezi mchanga nini?

Unaniaccuse kwa makosa ambayo sijafanya? Kwahiyo nianze zungumzia kupigwa kwa wanaume kwenye uzi aliopigwa mwanamke?

Ungeniuliza “mwanaume kupigwa ni sawa?” nikakujibu ni sawa ndo ungeanza accuse. Yani unataka a general discussion kwenye a particular issue?

PS: Though naona ni wish yako ila mimi si mpare.

Haya endelea kutapika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…