Nimekua interested kujibu hapa kwamba ukitenda kosa hata kama umekua provoked vipi huwezi kuwa victim??? Watu wanaua na wanatoka kwa defence ya provocation halafu unasema kwenye provocation kuna self control.
Unajua kwenye ile maneno wanasema eti kwenye vita huchagui silaha. Na hii wanawake tunayo sana huwa hatuchagui neno. Na wanaume maneno maneno hawawezi ni aidha aondoke nyumbani (hapo anajua anaenda kwa mchepuko wake kupata faraja) au ndio uishie kula kipigo.
Na hatuwezi kuwa best judges in this scenario bila kupata the side of the story kwa pande zote mbili hapo ndio tutajua nani alicross the line between the two.
Sent using
Jamii Forums mobile app