Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Hapo kwenye Beijing ndio umeharibu kabisa, nyie wa Beijing ndio wa kupigwa mpaka unang'oa meno, maana kinachowasumbua ni hizo falsafa za kuiga, ukitaka usipigwe, shika adabu, uwe na heshima, uwe msikivu, mbona masharti yenyewe rahisi sana, mkijifanya vidume na Beijing yenu mbona kipigo halali yenu tu,
Kwamba bara la giza, unajua wanayofanywa wenzenu huko mabara ya mwanga, tena kule hawapigi ngumi na mateke, kule muda mwingi mtu anatembea na silaha ya moto.
 
Mkuu sio rahisi Kama unavyodhani... Kwa nchi zilizoendelea haya mambo Licha ya kuwa na wataalamu wa mambo ya mahusiano Kuna cases kadhaa hutokea , vipi nchi zetu hizi ambazo hatuna muda na haya mambo ??


Ni rahisi sana kusema watu waachane ila kiuhalisia si rahisi mioyo ya watu kuachana Tena Kama kunakuwa na upande mmoja umeumizwa ...

Ongezeko la haya matukio ni dalili Kuna gape kubwa la Saikolojia, bila kuliziba kila siku tutazika watu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe sio le mutuz aka le mubebez

Sent from my TECNO LC6 using Tapatalk
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wewe ndo pumbavuuu kweli hapo wanawake kibao wanamuomba awaoe,wanaenda hadi kwa mganga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa usipaniki,usinitusi tafadhali tujibishane kistaarabu Mwanaume kama wewe mwenye maandishi machafu hivi unanyoosha mkono eti kujiona fulani kipigo ni halali yake utakuwa una mapungufu makubwa.
 
Ieleweke kwamba hauna haki yeyote ya kisheria kuja kwamfano kumshawishi mke wangu eti aungane na wewe kupinga kupigwa, sana sana na wewe utapata hicho kipigo
 
Wapigwe tu

Jokes mani
 
Mpendwa usipaniki,usinitusi tafadhali tujibishane kistaarabu Mwanaume kama wewe mwenye maandishi machafu hivi unanyoosha mkono eti kujiona fulani kipigo ni halali yake utakuwa una mapungufu makubwa.
sio tusi ni ukweli,wewe ni mpumbavuu,hakuna mwanaume anayekosa mwanamke wa kuoa, mwanaume ikitokea hajaoa ni maamuzi yake na sio kwamba amekosa mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unachoshindwa kuelewa ni kwamba haihitaji kuwa mwanamke wa beijing kutambua haki za binadamu, leave alone being a woman, ni common sense tu itakufanya utambue kuwa binadamu si punching bag ukae unampiga piga, hamuwezi kuongea nyie ba kumaliza tofauti zenu bila kupigana? Ninini tofauti yenu na watoto wasiokuwa na akili timamu!

Endeleeni kuwapiga na kwa hakika hatuwezi kunyamaza. Sijasema popote wanawake hawapigwi kwenye hayo mabara ya mwanga, ninachokizungumza hapa ni namna jamii inavyoreact juu ya upigaji huo, ambapo hapa kwetu wanaume wote mtasema wapigwe tu! Ni ng’ombe hao? jana nilikwambia soma katikati ya mistari uelewe ninachosema hapa, you missing the point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…