Mazigazi Baba Swalehe G.Jacob Utetezi wenu juu ya upigaji bado haujitoshelezi au hauna na hauwezi kuwa na mashiko. Sisi wanawake wa beijing 😀😀 tutaendelea kusema na kusema tena kuwa sio haki kumpiga mwanamke kama mnyama unayemmiliki. Tunaitafuta dunia ya kistaarabu ambayo violence ni offense na kila mmoja anatakiwa apaze sauti juu ya hili lakini nyie wenzetu you are no where kufikia huko, well.
DV katika forms zake zote ikiwemo physical abuse ni kitu kisichokubalika katika dunia ya watu wastaarabu, na wala hatushangai kuwa wanawake wanapigwa tunashangaa reaction ya watu juu ya upigaji huo, kwamba wapigwe tu sio? Ni punda hao? Its 2020 people haaaaa!
Huku bara giza kuna vijimambo vyetu havijakaa sawa, mfano polisi anaweza kuanza kumpiga mwananchi ambaye hata hayupo armed, na wote tutapiga kelele kuwa ni unacceptable, hii inatofauti gani na mwanaume shababi mwenye manguvu yake kumpiga mwanamke ambaye hawezi hata kumrushia ngumi moja, and ya’all here praising tofauti ya hizi cases mbili ni ipi!? Au likija suala la mapenzi mnajawa na emotions na kuacha akili maili elfu nyuma!?