matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Sema nini bro mbona bwana mihayo ni tapeli no. 1....waulizeni crdb naomba toeni info za utapeli wa mihayo... na mbona mshkaji tulikua tunakula nae anamkejeli mkewe mpaka tukawa tunawaza huyu bro kwanini alioa...vibaya zaidi na yeye alikuwa na wanawake kede kede wengine tulikua tunamhifadhi..mbona ye hajapigwa
Mihayo kawatapeli nini crdb? Mihayo aliwauzia product ya Simu Account kwa makubaliano ambayo yeye angeendelea kuwa anafanya management ya product lakini wakafanya uhuni wakamwingiza mjini. Sasa kawatapeli kivipi? na mbona yeye ndio anataka kwenda mahakamani kudai rights zake, kwa nini isiwe crdb ndio waende mahakamani.
Siungi mkono mtu kupigwa ila kuna muda binadamu unafanya kitendo ambacho hata wewe mwenyewe haujui ulifikiaje kukifanya sababu ya mtu kukusukuma mpaka kiwango cha mwisho cha hasira. Huyo demu alikuwa anamchukulia mshikaji boya akawa anagongwa nje anarudi home usiku amelewa anamtukana mshikaji mbele ya watoto. Sasa ulitegemea atamuongelea vizuri kwa lipi.