G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,478
Hakuna anayepigwa bila sababu, kama hutaki kupigwa usivuruge maisha ya mtu basi.Either tunakuacha hoi au hatukuacho hoi hapa its not an issue. Issue hapa ni kupigwa kwa mwanamke mwenzetu mkuu, hajajitetea wala hajashika hata kajiwe kurusha. (Sote tunajudge kwa hiki kinachoonekana katika kipande cha video)
Msimamo wangu kama binadamu siungi mkono mtu yeyote kupigwa iwe ni ke au me! Hata tukikiri kuwa yawezekana mwanamke mwenzetu alikosea bado kwangu haitokei sababu nzito ya kuhalalisha namna anavyopigwa, kwahiyo mkuu tukikiri alikosea ameshapigwa so what, i better stand here, MWANAMKE HATAKIWI KUPIGWA! kuna adhabu mbadala mbona? Au hamjui?
Eti angebaki ndani video inaonesha akimfuata mume nyuma ambapo ukaguess alimfuata nyuma kwa matusi, kwanini usione alimfuta nyuma akafungue zake geti aondoke? Umeshafahamu unaposimamia mkuu? Na hapo ndipo sisi tunapopapinga, tusomeni katikati ya maneno mtuelewe.
Sent using mazonge yamezidi