Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Either tunakuacha hoi au hatukuacho hoi hapa its not an issue. Issue hapa ni kupigwa kwa mwanamke mwenzetu mkuu, hajajitetea wala hajashika hata kajiwe kurusha. (Sote tunajudge kwa hiki kinachoonekana katika kipande cha video)

Msimamo wangu kama binadamu siungi mkono mtu yeyote kupigwa iwe ni ke au me! Hata tukikiri kuwa yawezekana mwanamke mwenzetu alikosea bado kwangu haitokei sababu nzito ya kuhalalisha namna anavyopigwa, kwahiyo mkuu tukikiri alikosea ameshapigwa so what, i better stand here, MWANAMKE HATAKIWI KUPIGWA! kuna adhabu mbadala mbona? Au hamjui?

Eti angebaki ndani video inaonesha akimfuata mume nyuma ambapo ukaguess alimfuata nyuma kwa matusi, kwanini usione alimfuta nyuma akafungue zake geti aondoke? Umeshafahamu unaposimamia mkuu? Na hapo ndipo sisi tunapopapinga, tusomeni katikati ya maneno mtuelewe.
Hakuna anayepigwa bila sababu, kama hutaki kupigwa usivuruge maisha ya mtu basi.

Sent using mazonge yamezidi
 
Kama upo karibu na Juice bar yeyote take a glass nitalipa! Very well said.

Hakuna justification ya mtu kupigwa na kuburutwa namna hii, ukipigwa unakuwa umedhalilishwa na kutolewa utu, binadamu anatakiwa kupewa adhabu zitakazotunza ubinadamu wake hata kama yeye mwenyewe ni “mbaya”kiasi gani. Halafu kumpiga mwanamke ambaye hawezi hata kukurushia ngumi moja nao ni ugonjwa wa akili. Kama kuna chochote Nack alichofanya kwa jamaa yake hili la kupigwa halifit kama justification. Uliza sababu utaambiwa sijui usaliti, sijui ma nini nini, swali huyo kaka hajawahi msaliti mkewe? Au hajawahi mfanyia chochote kibaya! Is he malaika Gabriel or something like that, Holly! No no no! Mbona ye hakupigwa hivyo? What’s your point men! To me binadamu yeyote hatakiwi kupigwa leave alone a woman!

Sipati picha mangenita angekuwa katika ubora wake wa U Turn angeandika nini mbaya wake anapokaangwa hehe!
Mpigwe tu aisee 😅😅

Ingawa mimi sijawahi mpiga sababu anajiheshimu mnoo 🤗
 
Sawa..ni mtu mzuri bt why u posing ur friend like he did everything right...ye hajawahi mkosea mke?.

kukosea kuoa..what is he was a bad husband?.how sure are you the wife wasa bad wife
Am not sure kuhusu ya ndani
Wapi nimesema he did everything right?
 
tunaongelea kupiga sio kuua,mihayo kamtandika vibao na kaanza masiha yake mapya,eti sina jeuri ya kuanza upya , wakati wanawake wazuri wanazaliwa kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna jeuri hio
Kwanza hata kuoa mmoja tu ukammudu ndani umeshindwa..unakomaa na kumaliza sabuni tU
Pili kufikiria kupiga na magunia ya mkaa shows what kind of Man you are
Tatu Ngja nikuache ulale mana usije piga keyboard bureee
 
Wengine Wakatoliki, kutimua mpaka kibali cha Papa.

Pia ukishaanza kutotoa vitoto halafu unavichanganyia huyu mama huyu, huyu mama wa kambo etc, bila sababu ya msingi, unaharibu saikolojia za nyumba.
Bora uwaeleze Kaka Mkubwa mana watu wanachukulia ndoa poa sana

Aoe aone..km ye mwanaume kweli
 
Endelea kutumikia sabuni na wale wa kununua
ataaaa!!!,nadili nao hawa hawa wa mitaani,tena mbona hakuna tofauti kati ya wa mitaani na wanaojiuza.tena bora wanaojiuza unatoa hela unakula mzigo unasepa, kuliko hawa wengine mara utoe ya saluni,mara vocha mizinga kibao halafu show mbovu,bora wanaojiuza ni mafundi kitandani na hawana mizinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom