jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kwakwel nimewaheshim wazayuni miaka yote ila kwahili wameziangusha mno yan wamevamia ndani yanchi yao inayoaminika inauliz mkal zaid tena nawavaa kobaz kibaya zaid wameteka had wanajesh wakaua watakavyo yan kama hamas wangekua nanguvu ndan yasaa 24 tel Aviv ingetekwa.... Hapa inabid mossad ipigwe msasa ndomana marekan fasta kaja kuokoa jahaz
Kazi nzuri sana.SERIKALI ya Israel imesema jeshi lake limeshambulia mamia ya malango huko Ukanda wa Gaza usiku kucha baada ya Waziri Mkuu Benjamin Ntenyahu kusema kuwa majeshi ya nchi yake yalikuwa katika mwanzo wa mapambano dhidi ya wanamgambo wa Hamas.
VOA imeripoti kuwa, Msemaji wa jeshi nchini Israel, Richard Hecht amesema kwamba miili 1,500 ya wapiganaji wa Hamas imepatikana ndani ya eneo la Israel kufuatia uvamizi wa Jumamosi, na kwamba hakuna mwanamgambo aliyevuka na kuingia Israel tangu Jumatatu.
Miongoni mwa maeneo yaliyolengwa na Israel ni pamoja na ujirani wa Rimal ulioko Gaza City, ambao ni makazi ya wizara na majengo ya serikali ya Hamas. Katika hotuba yake Jumatatu, Ntenyahu alisema kwamba, “Kile watakachokifanya kwa adui wetu kitakumbukwa kwa vizazi vijavyo.”
Hamas kupitia msemaji wake ilisema kwamba wapiganaji wake wanaweza kuwaua mateka wa Israel 150 wanaowashikilia, mmoja baada ya mwingine kila wakati Israel inapowalenga raia bila kutoka tahadhari. Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant kupitia taarifa ya Jumatatu alisema kwamba Israel ingekatiza huduma zote muhimu kwa Gaza zikiwemo umeme, chakula, maji na gesi.
Kabisa maana wao ni vita tuu wanafanya mapatano ya kinafki baada ya muda kinanuka tena,,wapewe nyuklia Wakina Mama,,watoto na wazee wahamishwe wabaki hao walinda Amani wapasuane wenyewe Hadi akili ikawe Sawa!!Waparestina na Waisrael wangepewa silaha za nyuklia wauane,ingekuwa poa sana
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa ni mpumbavNa yule mvaa kichupi pale msalabani anapenda kuona watoto wa kipalestina wakiteseka.
Tatizo unachuki na Uislam, kwa taarifa yako, hapo Palestine mpaka wakristo wenzio wapo nao ni raia wa Palestine.
Lakini pale ndani ya Israil ni mashoga tu ndio wanaopewa kipaumbele, sio Mkristo wala Muislam anae tamba pale.
Tatizo akili zako alishaondoka nazo yule alie vaa kichupi pale msalabani.
hatushabikii huu mgogoro kidini , Hamas wamechokoza acha wadundwe hata kama hamas ni wakristu ila ukristo sio kichaga cua ugaidi kama ilivyo dini ya allaaaTatizo unachuki na Uislam, kwa taarifa yako, hapo Palestine mpaka wakristo wenzio wapo nao ni raia wa Palestine.
Lakini pale ndani ya Israil ni mashoga tu ndio wanaopewa kipaumbele, sio Mkristo wala Muislam anae tamba pale.
Tatizo akili zako alishaondoka nazo yule alie vaa kichupi pale msalabani.
Palestine sio waarabu labda useme ni Waislam.Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
Waarabu waache ubinafsi wawachukue ndugu zao kuliko kuwaacha wauwawe wengi hawana hatia bali ni wahanga tu wa udhalimu.
Uzuri Muislam kufa katika mapigano ndiyo kitu anapenda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acheni kujitoa akili eti MOSSAD walikuwa wapi?!! CIA na FBI walipigwa tukio sept 11!!itakuwa Israel?!! Yote ya yote nini kilimkuta OSAMA? Yaani zamu hii wameyakanyaga ndio watamjua NETANYAU, ni mwehu, na ameshasema kitu atakachokifanya itabaki ni kumbukumbu kwa vizazi vyao(HAMAS), umemsikia na babu BIDEN jana kwenye hotuba yake,?? Njia za kishamba sana wanazotumia, za kuwapa mateso tu watoto, wazee na wanawake, ndio maana wenzao wa upande wa WEST BANK, wahataki tabu, maisha yanaenda tu, hao GAZA wakio chagua wahuni ndio wawaongoze, acha wafaidi matunda.
Muislam kufa katika kupigania haki yake ndiyo kitu anapenda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamas ni Binadamu mashetani, wakipate wanachostahili, hakuna dini inayoshadadia vita na kuua kwa makusudi.
Mkuu, bila kupepesa macho, yapo madhehebu ya kikristo yanafundisha waumini wao chuki dhidi ya Waislam.
Wenyewe wanamuona Muislam ni adui yao mkubwa, kwakweli inakera sana.
Hasa humu JF, huo upuuzi umejaa sana, na katika uchunguzi wangu nimegundua kua wamikoani ndio wanaongoza huo upuuzi.
Tunaibigania?.... kivipi?.... kwani me ni mpalentine?Unataka huruma kuwaunganisha wa kristo ambao ni 2% ya wakazi,kama israel kuna nuka mashoga kwanini mnaipigania hiyo ardhi. Umejaa ujinga mwingi.
Hakika gaza itafutika.[emoji298][emoji298] BREAKING NEWS
Kuna taarifa mbaya sana inayosambaa mitandaoni kuwa miili ya watoto wadogo wa Israel wapatao 40 imekutwa imechomwa moto huku mingine ikiwa imekatwa vichwa katika moja ya kijiji kilichokombolewa na Israel kutoka kwa Hamas.
Inasemakana watoto hao walichomwa moto wakiwa hai.
If this news is true, basi
Mwenyezi Mungu azilaze Roho za malaika hawa mahala pema peoni Amina.View attachment 2778197View attachment 2778198
Hata Israel waislam wengi tu wakiwemo waliouwawa,Mpalestina ni nani kama Sio muarabu ukisema Mpalestina Sio muarabu Ina maana hata mjordan, Lebanon,Sio muarabuPalestine sio waarabu labda useme ni Waislam.
Na ndani ya Palestine mpaka wakristo wenzio pia wapo.
Ukitoa chuki dhidi ya Waislam wenda akili ikakurudia.
Kwanini India imekua upande wa Islael mara nyingi?
Mwenye maelezo ya kina...
Wala Dini ya Allah, sio ya kigaidi, sema ni chuki na propaganda mulizo fundishwa huko makanisani.hatushabikii huu mgogoro kidini , Hamas wamechokoza acha wadundwe hata kama hamas ni wakristu ila ukristo sio kichaga cua ugaidi kama ilivyo dini ya allaaa
Na misaada ya kuingia gaza imefungwa.Kichapo kipo pale pale, ndio kwanza tupo siku ya 04.
No chakula no gas, no water, no umeme mbona watajua hawajui.
Sasa Hamas watoke huko mashimoni warudi uwanja wa vita,hapo ndipo haki inapatikana kwa haraka.Muislam kufa katika kupigania haki yake ndiyo kitu anapenda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amina.Mungu ibariki Israel
View attachment 2778212
Ndani ya jeshi la Israel hata waislamu hii vita sio ya kidini tatizo nyie mnapenda kuingiza udini ili mpate huruma za dunianiTatizo unachuki na Uislam, kwa taarifa yako, hapo Palestine mpaka wakristo wenzio wapo nao ni raia wa Palestine.
Lakini pale ndani ya Israil ni mashoga tu ndio wanaopewa kipaumbele, sio Mkristo wala Muislam anae tamba pale.
Tatizo akili zako alishaondoka nazo yule alie vaa kichupi pale msalabani.