Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Dhehebu lipi mfano weka na ushahidiMkuu, bila kupepesa macho, yapo madhehebu ya kikristo yanafundisha waumini wao chuki dhidi ya Waislam.
Wenyewe wanamuona Muislam ni adui yao mkubwa, kwakweli inakera sana.
Hasa humu JF, huo upuuzi umejaa sana, na katika uchunguzi wangu nimegundua kua wamikoani ndio wanaongoza huo upuuzi.
... wewe kuna anayejua uwepo wako? Takataka kama hao magaidi.Chuki zote ni kwa sababu tu ya kujipendekeza kwa watu wasiojua hata kama upo hapa duniani nguchiro wewe!
Kwani hao hammas wanapigana pekee yao hapo nyuma kuna Iran, Syria, Lebanonnenda ulingon bila msaada wa USA , uone
Umeona najipendekeza kwa hapo paka unaowasifia!... wewe kuna anayejua uwepo wako? Takataka kama hao magaidi.
... si wamelikoroga? Walinywe sasa kenge wale! Na bado.Umeona najipendekeza kwa hapo paka unaowasifia!
Kama inchi ipi mkuu, leta ushahidi.Kulikuwa na wapiganaji walitoka nchi nyingine kuongeza nguvu.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Asikwambie mtu mkuu, hawa mashabiki wa HAMAS akili hawana hata tone.Ila Israel wanaposema hadi sasa wananchi wake 900 wamefariki dunia, nazo ni propaganda?!! Kwani unajua namba kamili ys hao hamas waliovuka mpaka na kuwaua watu? Hadi useme eti kina nani walirudi na mateka gaza? Kuna sehemu walisema kuwa walikuwa 1500?!!
Labda hadi sasa hujui mchana itakuwaje baada ya breakfast kukupita kama haikujui lakini unaangaika kusifia wayahudi! Waswahili sijui nani katuroga!... si wamelikoroga? Walinywe sasa kenge wale! Na bado.
Nyinyi wakristo wa nyarugusu ndio munaingiza udini kwenye vita hivi, chaajabu mukifika huko Israil munatemewa mate kama nguruwe tu.Ndani ya jeshi la Israel hata waislamu hii vita sio ya kidini tatizo nyie mnapenda kuingiza udini ili mpate huruma za duniani
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kwanza waharibifu wa maji..kiladakika nikutawadha waki nyamba nikutawadha..wakiguswa na mbwa nikutawadha ..kwahesabu za haraka haraka mtawadho mmoja ni ndoo 1nanusu ambazo ni sawa na lita 30India wanaupiga vita sana uislamu kwa sababu uislamu ni dini iliyojaa ubinafsi na kujiona bora,kila penye uislam kuna chuki na ubaguzi dhidi ya wasio waislamu zaidi kulazimisha jamii ifuate mila na tamaduni za kiislamu. Ndio mana wahidi na wachina wameukaata usilamu na wanaupiga marufuku.
Uislamu ubaki na waarabu tu ni dini ya hovyo kweli kweli.
Fuatili mijadala mingi inayo husu waarabu, lazima Mkristo atombeshe maneno kuhusu uislam.
We unadhani hao Hamas hawajasaidiwa na Urusi au Iran?Mi cjaona sababu yammarekani kuingilia yan kupigana nahamasi hadi makomandoo wa USA waingie hapa mzayuni ameniangusha ilibid amalize mwenyew
Dini ya kisasiWala Dini ya Allah, sio ya kigaidi, sema ni chuki na propaganda mulizo fundishwa huko makanisani.
Yule mvaa kichupi pale msalabani arudi upesi, awarudishieni akili zenu, maana sio kwa hali hii.
Weka ushahidi madai yako.Kwani hao hammas wanapigana pekee yao hapo nyuma kuna Iran, Syria, Lebanon
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Ni kama mashabiki wa Israil tu, akili zao alisha ondoka nazo yule mvaa kichupi pale msalabani, aliwaahidi atawarudishia lakini mpaka leo kagoma kurudi.Asikwambie mtu mkuu, hawa mashabiki wa HAMAS akili hawana hata tone.
Ndio dini gani hiyo?Dini ya kisasi
Israel wanaendelea kulipamba lishangazi GazaGaza inazidi kupendeza πππ
Hata Yesu alikuwa muislamIndia wanaupiga vita sana uislamu kwa sababu uislamu ni dini iliyojaa ubinafsi na kujiona bora,kila penye uislam kuna chuki na ubaguzi dhidi ya wasio waislamu zaidi kulazimisha jamii ifuate mila na tamaduni za kiislamu. Ndio mana wahidi na wachina wameukaata usilamu na wanaupiga marufuku.
Uislamu ubaki na waarabu tu ni dini ya hovyo kweli kweli.