Miili 1500 ya Wapiganaji wa Hamas imepatikana Israel

Miili 1500 ya Wapiganaji wa Hamas imepatikana Israel

Propaganda hizo.... hamna kitu hapo
Na kina nani walirudi na mateka Gaza..
Nimegundua kitu wakristo sio wote labda 70% ni wajinga sa kwa kujitoa fahamu Israel akipigwa Hamasi wana roho mbaya. Wao wakiuwa watoto na wanawake wa Palestine utasikia Israel tia adabu hao, msiwalaumu yako makanisa wanafundisha chuki 😂
 
SERIKALI ya Israel imesema jeshi lake limeshambulia mamia ya malango huko Ukanda wa Gaza usiku kucha baada ya Waziri Mkuu Benjamin Ntenyahu kusema kuwa majeshi ya nchi yake yalikuwa katika mwanzo wa mapambano dhidi ya wanamgambo wa Hamas.

VOA imeripoti kuwa, Msemaji wa jeshi nchini Israel, Richard Hecht amesema kwamba miili 1,500 ya wapiganaji wa Hamas imepatikana ndani ya eneo la Israel kufuatia uvamizi wa Jumamosi, na kwamba hakuna mwanamgambo aliyevuka na kuingia Israel tangu Jumatatu.

Miongoni mwa maeneo yaliyolengwa na Israel ni pamoja na ujirani wa Rimal ulioko Gaza City, ambao ni makazi ya wizara na majengo ya serikali ya Hamas. Katika hotuba yake Jumatatu, Ntenyahu alisema kwamba, “Kile watakachokifanya kwa adui wetu kitakumbukwa kwa vizazi vijavyo.”

Hamas kupitia msemaji wake ilisema kwamba wapiganaji wake wanaweza kuwaua mateka wa Israel 150 wanaowashikilia, mmoja baada ya mwingine kila wakati Israel inapowalenga raia bila kutoka tahadhari. Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant kupitia taarifa ya Jumatatu alisema kwamba Israel ingekatiza huduma zote muhimu kwa Gaza zikiwemo umeme, chakula, maji na gesi.
Nani anaweza kuthibitisha Maigizo ya Natenyahu,upenda penda sifa na kujifanya yeye zaidi, juzi kadhalilishwa vibaya sana na kikundi cha HAMAS mchana kweupe, tuliwaona vijana wa Kipalestina wakiiingia karibu kila nyumba na kuwateka Waisrael, je, MOSSAD walikuwa wapi di ujiganya wao zaidi katika masuala ya ujasusi Duniani mbona siku huko Taifa zima la Israel lilikuwa taken by suprise - hui nfio mwanzo mnajua siku za usoni watakuja na mbinu gani mpya - don't you under rate them HAMAS - Dunia ufundisha mara zote kwamba uonezi una mwisho wake.
 
[emoji298][emoji298] BREAKING NEWS

Kuna taarifa mbaya sana inayosambaa mitandaoni kuwa miili ya watoto wadogo wa Israel wapatao 40 imekutwa imechomwa moto huku mingine ikiwa imekatwa vichwa katika moja ya kijiji kilichokombolewa na Israel kutoka kwa Hamas.

Inasemakana watoto hao walichomwa moto wakiwa hai.

If this news is true, basi

Mwenyezi Mungu azilaze Roho za malaika hawa mahala pema peoni Amina.View attachment 2778197View attachment 2778198
Hiki kitendo hakisemeheki kamwe
 
Propaganda hizo.... hamna kitu hapo
Na kina nani walirudi na mateka Gaza..
Ila Israel wanaposema hadi sasa wananchi wake 900 wamefariki dunia, nazo ni propaganda?!! Kwani unajua namba kamili ys hao hamas waliovuka mpaka na kuwaua watu? Hadi useme eti kina nani walirudi na mateka gaza? Kuna sehemu walisema kuwa walikuwa 1500?!!
 
Nani anaweza kuthibitisha Maigizo ya Natenyahu,upenda penda sifa na kujifanya yeye zaidi, juzi kadhalilishwa vibaya sana na kikundi cha HAMAS mchana kweupe, tuliwaona vijana wa Kipalestina wakiiingia karibu kila nyumba na kuwateka Waisrael, je, MOSSAD walikuwa wapi di ujiganya wao zaidi katika masuala ya ujasusi Duniani mbona siku huko Taifa zima la Israel lilikuwa taken by suprise - hui nfio mwanzo mnajua siku za usoni watakuja na mbinu gani mpya - don't you under rate them HAMAS - Dunia ufundisha mara zote kwamba uonezi una mwisho wake.
Acheni kujitoa akili eti MOSSAD walikuwa wapi?!! CIA na FBI walipigwa tukio sept 11!!itakuwa Israel?!! Yote ya yote nini kilimkuta OSAMA? Yaani zamu hii wameyakanyaga ndio watamjua NETANYAU, ni mwehu, na ameshasema kitu atakachokifanya itabaki ni kumbukumbu kwa vizazi vyao(HAMAS), umemsikia na babu BIDEN jana kwenye hotuba yake,?? Njia za kishamba sana wanazotumia, za kuwapa mateso tu watoto, wazee na wanawake, ndio maana wenzao wa upande wa WEST BANK, wahataki tabu, maisha yanaenda tu, hao GAZA wakio chagua wahuni ndio wawaongoze, acha wafaidi matunda.
 
Nani anaweza kuthibitisha Maigizo ya Natenyahu,upenda penda sifa na kujifanya yeye zaidi, juzi kadhalilishwa vibaya sana na kikundi cha HAMAS mchana kweupe, tuliwaona vijana wa Kipalestina wakiiingia karibu kila nyumba na kuwateka Waisrael, je, MOSSAD walikuwa wapi di ujiganya wao zaidi katika masuala ya ujasusi Duniani mbona siku huko Taifa zima la Israel lilikuwa taken by suprise - hui nfio mwanzo mnajua siku za usoni watakuja na mbinu gani mpya - don't you under rate them HAMAS - Dunia ufundisha mara zote kwamba uonezi una mwisho wake.
Waambie hamasi waendelee kurusha Sasa kwenye uwanja wa vita. Washakimbiza kobasi kwa kuvaa baibui waonekane wakike.
 
Nyinyi wabongo ni mafisi by nature
Mbona Kenya wakiamua mbwai iwe ni mbwai, wanakufa kadhaa na maisha yanaenda..
Unadhani hao Gaza hawakujua kitakachotokea? Wanaishi hivyo kila siku, ila sasas wameamua kama mbwai iwe mbwai.....
Na imekuwa mbwai kwelikweli maana Israel anazidi tu kuipamba Gaza
 
[emoji298][emoji298] BREAKING NEWS

Kuna taarifa mbaya sana inayosambaa mitandaoni kuwa miili ya watoto wadogo wa Israel wapatao 40 imekutwa imechomwa moto huku mingine ikiwa imekatwa vichwa katika moja ya kijiji kilichokombolewa na Israel kutoka kwa Hamas.

Inasemakana watoto hao walichomwa moto wakiwa hai.

If this news is true, basi

Mwenyezi Mungu azilaze Roho za malaika hawa mahala pema peoni Amina.View attachment 2778197View attachment 2778198
fake news
 
Tulisema kuna watu watakuja kulia lia hapa. Bunge la Israel limeshamruhusu Netanyahu na makamanda wake wapige hao Wapare watakavyo, na wao hawatetea hao nguruwe.
Mi cjaona sababu yammarekani kuingilia yan kupigana nahamasi hadi makomandoo wa USA waingie hapa mzayuni ameniangusha ilibid amalize mwenyew
 
Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
 
Muisraeli mmoja sawa na wapalestina 100 ndio utembea na slogan hio,hao watauwa hata watu laki moja safari hii.
Kwann hamasi walichokoza nyuki Leo wanaomba msaada
 
Back
Top Bottom