Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Wewe ni uzao wa magaidi. Ngoja kwanza mteketee kwenye mahandaki kisha tunawafuata nyie magaidi wa Tabata Kimanga
 
Kwamba mateka wamekufa mikononi kwa Hamas wewe umejuaje?

Nilishawaambia huyu alikufa kitambo kama mwenzie kwa mtindo wa mlipuko .
Kuna mahali ameeleza kuwa waliuwawa tangu siku ya kwanza na miili ikachukuliwa na Hamas
 
Naona hawa vijana wetu walitumwa kufanya kazi nyingine huko Israel, yaani kweli ameenda kufuga ng'ombe wa maziwa?

Inaumiza sana.

Hiyo wizara ya nje nayo ina tatizo, inaruhusu tena mzazi kwenda kufuatilia mwili wa mwanae, wizara inafanya nini.
Inasemekana ni degree holder pale SUA.
 
Naona hawa vijana wetu walitumwa kufanya kazi nyingine huko Israel, yaani kweli ameenda kufuga ng'ombe wa maziwa?

Inaumiza sana.

Hiyo wizara ya nje nayo ina tatizo, inaruhusu tena mzazi kwenda kufuatilia mwili wa mwanae, wizara inafanya nini.
Israel kuna kilimo na ufugaji wa kisasa wa teknolojia ya hali ya juu.
Wengi tu wanaenda kujifunza hayo mambo hakuna Jambo la Siri nyuma ya pazia.
 
Shule ulienda kusomea ujinga?
 
Kuna mahali ameeleza kuwa waliuwawa tangu siku ya kwanza na miili ikachukuliwa na Hamas



Una elimu ila hutaki kuitumia ,soma kwanza then utoe maoni..

Hao ndugu zako wa migombani wote wameuliwa na Israel huu ndio ukweli mchungu.

Maiti ya kwanza waliipataje ? Maiti hii wamejuaje ? Kama kweli wana access na yanayoendelea kwa mateka kwa nn wasiende kuokoa kama tunavyoambiwa .

Short and clear ndugu zako wameuliwa na Israel ,yule mmoja alikuwa mtu kushinda naa rosari shingoni lazima israel wamlambe.
 
Kuna ndugu huku huwaambii kitu kuhusu taifa teule,,, hata wakiambiwa kunawaka moto huko wataenda tu
 
Daa nimeumia sana halafu kuna mabwabwa yanashabikia mabwana wao Hamas
 
Wewe bibi hamnazo kabisa!
Huo ndiyo ukweli, tusilete unafiki.

Kijana kama kafa tunasema Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun, awekwe popote na muumba wake anapostahiki.

Sasa tujiulize maswali ya msingi, kwanini vijana wanapelekwa nchi ipo vitani kwa miaka 75 sasa?

Chuo alichopelekwa ksusoma kiko wapi mpaka aishie Ghaza?

Tusilete ushabiki wa kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…